Tamaa inaponza wengi. Uweke 1,000$ igeuke 100,000$ ndani ya wiki mbili, hivi huwa mnarogwa kwanza??. Kwa akili za namna hii chuo ulifikaje??.
Anyway Pole ila nakushauri utafute kwanza akili/maarifa na upunguze tamaa ndio uanze kutafuta pesa, maana kwa tamaa uliyonayo na akili havilingani kabisa, ukifanikiwa kupata 5,000$ kwa akili ulizo nazo unaweza ukaishia pabaya.
Usiondoke Dar, kama ushasema ulikuwa winga bila shaka vijisenti hukosi. Mikoani ngumu sana kutoboa, yani kama umekubali umeshindwa Dar basi hakuna mkoa utaenda hii Tz ukatoboa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.