Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

Pole sana kijana. Hongera sana kwa kujifunza kuwa hakuna hela za ku-download. Iwe fundisho kwa mataahira wengine wanaopenda shortcut kwenye maisha.
Change your mindset
Kila siku Tunawashauri Kamari ni Dhambi.
Kubeti ni Dahmbi.
Hakuna aliyewhi kufanikiwa kwenye hizo kamari.

MSICHEZE KAMARI.
Sio betting hiyo kuweni na akili basi, tatizo la hizi shithole countries zilizochelewa kuyajua mabadiliko ya maendeleo ya kitechnolojia zinaishia kuumia kila siku sababu ya kukurupuka wenzio wakiwa wameshaamka.

Forex&Cryptocurrency sio utapeli wala aihusiani na betting, ni vile opportunity hii iliingia bongo bado watu wakiwa ktk mindset ya ujima kwamba, ili ufanikiwe lazima uvuje jasho na kujihusisha na kazi za kutumia nguvu akili kidogo, baada ya watu kuanza kuijua biashara hii kuna wachache waliitumia kama chance ya kuwatapeli wengi wajinga wasioijua.

Tofauti na hivi leo maendeleo ya internet yameleta ufahamu mkubwa wa watu kwa vitu walivyokuwa wakitapeliwa sababu ya ujinga wa kutokuvijua, the same thing utapeli uliokuwa ktk mitandao ya simu, leo hii elimu inatolewa kila mahala mitandaoni, tofauti na miaka 5 iliyopita.

Hivi leo kuna Contents creators kwenye social media wamejaa wakiwaelimisha kuhusu fursa za mitandaoni, trading channels kila mahala kuanzia TikTok, Facebook, Instagram, Whatsapp kote huku kuna walimu wa kutoa maarifa ya hizi opportunities, bila kusahau siku hizi kuna institutes nyingi mijini na nje ya miji zinatoa huduma ya kielimu kuhusu hii biashara, sasa mtu unafeli wapi?.

La mwisho kwa sasa kuna uhuru wa kupata elimu kwa njia rahisi kupitia simu yako yenye internet kupitia searching engines(google,) pia kuna AI zinazotoa maelezo ya kila jambo, je mtu unafeli wapi kupata mwanga wa jambo kabla ya kuanza lawama?.

Kwa kila jambo lazima skills(knowledge+experience) itumike ili upate ufaulu ktk jambo hili, mnaosema forex ni betting hamna tofauti na wale wanaokimbilia biashara/kilimo kisa trending wanayoona kwa wenzao waliofanikiwa/kuwashawishi wakihisi watafanikiwa kama wao.

Hauwezi kufanikiwa over night kwa jambo lolote lile haiwezekani, sasa nyie vilaza kwanini mnataka trading iwatajirishe kirahisi wakati kazi zingine hazitajirishi kirahisi hivi?.

Lack of exposure ndio inasababisha hii nchi tubaki nyuma kwa kila jambo, wenzetu nchi jirani kama Kenya, fursa za mitandaoni zinaboresha maisha ya watu sababu ya raia wao kujielimisha kwa kufuata dunia inataka nini kwa kuendana na technology, sisi tuko bize na siasa za kupigana, simba+yanga, kilimo cha mkono na upuuzi wa kila aina wakati huo fursa za maana zikitupita then baadae zikitufikia tunaita utapeli sababu ya kukurupukia.
 
Unalipaje mtu akufundishe FOREX na Wakati wewe ni Genius kutoka UDSM

Ukiona unaktiwa fursa jua we ndo fursa

Hiyo forex kwanini hukufanya mwenyewe kutumia P2P au arbitrage method ?

Yaan unaweka kuwa unanua Dollar kwa 2400 ila unauza kwa 2580 simple tu,

Au unauza Tzsh kupata dollars then unauza in Ug sh!

BINANCE AND KU COIN NIMECHEZA NAZO SANA HAKUNA MTU KAWAI NIFUNDISHA
 
Nyie ndio mnaosababisha elimu idharaulike, wengi wa waliosoma angalau kidogo na watumishi wa umma ndo mnaongoza kupasuka mbele ya std 2 dropout. Sielewi Huwa reasoning inakuwa wapi eti $1000 ndani ya week Moja upate 50,000$.
 
Forex ni biashara inayoendesha Kwa kuwatapeli wajinga ( beginners in town 😂😂
Una elimu yoyote kuhusu hili jambo au nawewe unaandika ili uonekane unajua?, kutapeliwa means umechezewa red wakati ulistahili jema?, then huo utapeli unatokeaje?

Je ni hawa fake mentors wanaotoa elimu isiyo sahihi kwa wanafunzi wao waliowalisha ndoto za mafanikio overnight?, au ni watu kuanza trading kabla ya kufaulu masomo ya jinsi ya kuimaster then wanaishia kufanya makosa sokoni, je huu ni utapeli au uzembe?.

Hivi mtu aliyenunua hisa zikiwa na bei ya 1,000Tsh then akaja kuuza kwa hasara ya 500Tsh baada ya thamani kushuka je mtu huyu utasema katapeliwa au uzembe wake wa kushindwa kujua market movement ya assets zake mpaka kushindwa kuuza mapema au katapeliwa vip?.

Je mtu anayenunua sarafu ya Kenya na kuja kuiuza kwa sarafu za Tsh kwa mtaji wa fulani akilenga faida ya kila ongezeko la percentage% kadhaa kwa kila ongezeko la thamani ya holding zake then baada ya siku kadhaa akapata hasara baada ya sarafu ya Tsh kupanda thamani dhidi ya Ksh baada ya yeye kushindwa kuchanganua performance ya hizi sarafu sokoni je mtu huyu atakuwa katapeliwa au ni uzembe wake.

Kuna muda muache ujuaji, jambo kama hulijui waachie wajualo watoe maoni, wewe tulia ujifunze.

Mtaendelea kulizwa kila siku sababu ya UPUMBAVU wenu
 
Change your mindset

Sio betting hiyo kuweni na akili basi, tatizo la hizi shithole countries zilizochelewa kuyajua mabadiliko ya maendeleo ya kitechnolojia zinaishia kuumia kila siku sababu ya kukurupuka wenzio wakiwa wameshaamka.

Forex&Cryptocurrency sio utapeli wala haiusinai na betting, ni vile opportunity hii iliingia bongo bado watu wakiwa ktk mindset ya ujima kwamba, ili ufanikiwe lazima uvuje jasho na kujihusisha na kazi za kutumia nguvu akili kidogo, baada ya watu kuanza kuijua biashara hii kuna wachache waliitumia kama chance ya kuwatapeli wengi wajinga wasioijua.

Tofauti na hivi leo maendeleo ya internet yameleta ufahamu mkubwa wa watu kwa vitu walivyokuwa wakitapeliwa sababu ya ujinga wa kutokuvijua, the same thing utapeli uliokuwa ktk mitandao ya simu, leo hii elimu inatolewa kila mahala mitandaoni, tofauti na miaka 5 iliyopita.

Hivi leo kuna Contents creators kwenye social media wamejaa wakiwaelimisha kuhusu fursa za mitandaoni, trading channels kila mahala kuanzia TikTok, Facebook, Instagram, Whatsapp kote huku kuna walimu wa kutoa maarifa ya hizi opportunities, bila kusahau siku hizi kuna institutes nyingi mijini na nje ya miji zinatoa huduma ya kielimu kuhusu hii biashara, sasa mtu unafeli wapi?.

La mwisho kwa sasa kuna uhuru wa kupata elimu kwa njia rahisi kupitia simu yako yenye internet kupitia searching engines(google,) pia kuna AI zinazotoa maelezo ya kila jambo, je mtu unafeli wapi kupata mwanga wa jambo kabla ya kuanza lawama?.

Kwa kila jambo lazima skills(knowledge+experience) itumike ili upate ufaulu ktk jambo hili, mnaosema forex ni betting hamna tofauti na wale wanaokimbilia biashara/kilimo kisa trending wanayoona kwa wenzao waliofanikiwa/kuwashawishi wakihisi watafanikiwa kama wao.

Hauwezi kufanikiwa over night kwa jambo lolote lile haiwezekani, sasa nyie vilaza kwanini mnataka trading iwatajirishe kirahisi wakati kazi zingine hazitajirishi kirahisi hivi?.

Lack of exposure ndio inasababisha hii nchi tubaki nyuma kwa kila jambo, wenzetu nchi jirani kama Kenya, fursa za mitandaoni zinaboresha maisha ya watu sababu ya raia wao kujielimisha kwa kufuata dunia inataka nini kwa kuendana na technology, sisi tuko bize na siasa za kupigana, simba+yanga, kilimo cha mkono na upuuzi wa kila aina wakati huo fursa za maana zikitupita then baadae zikitufikia tunaita utapeli sababu ya kukurupukia.
Umeandika upuuzi mtupu.
 
Forex na aviator ni ndugu
Forex haina tofauti na wewe unaenunua pesa ya zambia kutoka pesa ya Tsh ukilenga kupata faida ya percentage fulani sababu ya utofauti wa thamani ya pesa hizo kupitia njia rahisi ya internet inayokupa access ya soko kupitia njia za kutrade kidigital.
unapofeli ni sababu ya uzembe wako wa kushindwa kuchambua performance ya sarafu sokoni badala yake unatumia hisia zako badala ya uhalisia.

Unapohusisha forex na aviator unakuwa hujui lolote kuhusu hili jambo au umehadithiwa na vilaza waliofeli au hujui lolote.

Tusome jamani
 
Back
Top Bottom