secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Motivation speak mmoja anaitwa nnanuka kubabake alifanya mwanangu eliwizzy akaacha chuo akawa anatengeneza sabuni za magadi maninaaaa 😂😂😂😂😂Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Ni wapi huko wanakopenda kumwagia ndaniHuku kwetu kondom ukiuza hata bure hawanunui
Kuna watu wengi tu waume kwa wake wanakwambia hawajai kutumia kondom na wakat huo ana umri wa miaka 30
Hawa jamaa ni wapuuzi sana, kuna moja anaitwa Mauki yeye kazi yake kudanganya watu.Motivation speak mmoja anaitwa nnanuka kubabake alifanya mwanangu eliwizzy akaacha chuo akawa anatengeneza sabuni za magadi maninaaaa 😂😂😂😂😂
Nakumbuka niliuza sana ndomu hata mm nimeuza sana njombe huko😂Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Kanda ya ziwa vikNi wapi huko wanakopenda kumwagia ndani
Hahaha 😂ulitaka watu waache kuipiga kavu na futa jingi?
Labda ndo maana sikupata watejaKipindi cha late 90's na mwanzo wa 2000 kondom za msaada zilizagaa kila sehemu.
Niliagiza nje mkuu.Waliokuuzia ndom zenyewe walishangaa huyu mwamba ana danguro au🤣
Basi walidhani ni shirika la ukimwi🤣🤣🤣Niliagiza nje mkuu.
Hahaha mkuu watu wengi wananunua condom kama dawa za kulevya. Huwez anzisha duka la condom tu utegemee utauza sana maana watu wataogopa kuingia kwa kuwa kila anayeingia anajulikana kaenda nunua condom.Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Milioni tano mkuu.Mkuu ulitaka kujiua kwa sababu ya laki tano!!??? Chai hii...