Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Hahaha 🤣, mkuu kwa bahati nzuri unajua kabisa kuwa Mimi huwa sidanganyi.
Ulipata hasara kubwa sana sababu mwaka 2003 milioni 5 ilikuwa ni sawa na milioni 50Milioni tano.
Yaani avmcha tu mkuu.Ulipata hasara kubwa sana sababu mwaka 2003 milioni 5 ilikuwa ni sawa na milioni 50
Nilikuwa mnyonge kwa takribani miaka mitano.Wenzako wanaenda ng'adu kwa ng'adu wewe unauza vidhibiti mwendo
Hapo bora ungeuza P2
Nilikuwa mnyonge kwa takribani miaka mitano.Wenzako wanaenda ng'adu kwa ng'adu wewe unauza vidhibiti mwendo
Hapo bora ungeuza P2
Huyo namjua mkuu an kuna watu wanataka tujichanganye tuuHawa jamaa ni wapuuzi sana, kuna moja anaitwa Mauki yeye kazi yake kudanganya watu.
Sasa hivi sikubali kudanganywa tena, akadanganye watoto wake.
Ikawaje?Motivation speak mmoja anaitwa nnanuka kubabake alifanya mwanangu eliwizzy akaacha chuo akawa anatengeneza sabuni za magadi maninaaaa 😂😂😂😂😂
Ni mpuuzi sana, hata nikimkuta mtoto wangu anamsikiliza nitamwadhibu vikali kwa kusikiliza mambo ya hovyo.Huyo namjua mkuu an kuna watu wanataka tujichanganye tuu
Jamaa angu mpaka leo anajuta kwanini aliacha chuo mi nilimwambia usiache mazima Bora uendelee kula boom kaka ila akaona mi lafa..I
Ikawaje?
Sasa Mimi sikujua hilo, nilizama kwenye biashara mzima mzima.mkuu,ungezitumia wewe before hazija expire,halafu tangu lini mimi na uliwahi kusikia kuwa kuna duka la condom? condom zinapatikana zahanati,phamarcy,na maduka ya dawa au kituo maalumu kw ajili ya bidhaa hii adhimu nchini.
Hahaha, atakuwa BICHWA KOMWE -Kaka ukipewa akili zangu bichwa lako litapasuka😁
Aah wapi nani afuge lasta?Kaka ukipewa akili zangu bichwa lako litapasuka😁
Rasta sio makalio kila mtu anamiliki tu bro.Aah wapi nani afuge lasta?
Aaah wapi mademu wa kizungu nikitaka kuwapata mbona nawapata tu siyo lazima niwe na Rasta mtumishRasta sio makalio kila mtu anamiliki tu bro.
Nan kasema anataka mademu wa kizungu bro?Aaah wapi mademu wa kizungu nikitaka kuwapata mbona nawapata tu siyo lazima niwe na Rasta mtumish
Nyie machalii mnaeleweka nyie si huwaga mna hesabu za mbali sanaNan kasema anataka mademu wa kizungu bro?