secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #81
Jamaa bado ana stress za kufilisika mpaka leo so tumwombee apunguze mawazo.angalia tu uone ipoweka comma

Asante mkuu.
Haha hichai aise, kama ni kweli ungetakiwa uweke kwenye location sahihi na uzigawe kwenye matawi ya nzima ungetoboa, kuliko kuuza mtaani eti kwenye duka moja ndom za M4 babaki dah ulifurahisha sana watuaise hapo kitaIlikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Kuna kijiji kimoja kupo masasi wewe kama ni mgeni kwenye kijiji cha ukienda dukani kununua condom hawakuuzii mpaka useme mpenzi wako ni nani?Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Hata maduka ya chupiHahaha mkuu watu wengi wananunua condom kama dawa za kulevya. Huwez anzisha duka la condom tu utegemee utauza sana maana watu wataogopa kuingia kwa kuwa kila anayeingia anajulikana kaenda nunua condom.
Watu ni wazinzi ila hawataki kujulikana
Hicho ni kiasi gani mkuuIlikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Hahahaha,walihisi labda atakuwa ni Katibu Tarafa anaenda kuzigawa bure kwa wananchi wake.Waliokuuzia ndom zenyewe walishangaa huyu mwamba ana danguro au🤣
Huyo mauki nimewahi achana na pisi yangu kisa huyo jamaa , manzee haelewii kitu Kila kitu anafanya references kwa mauki nikaona this is shithole from unscrupulous woman how Kila kitu anarejea huyo tukachana amekuja kujua miaka hii kuwa alikuwa mpuziHawa jamaa ni wapuuzi sana, kuna moja anaitwa Mauki yeye kazi yake kudanganya watu.
Sasa hivi sikubali kudanganywa tena, akadanganye watoto wake.
Milioni tano mkuuHicho ni kiasi gani mkuu
Naumia sana ninapoukumbuka mkasa huu.Uzi pendwa kwa 2025 ni huu , kama ni true story dah ulitisha sana.
Jamaa yangu aliwachukia wazazi wake kisa wanapendelea kumrejelea dogo mmoja anaitwa Joel Nanauka katika Kila wanachosema 😂😂Huyo mauki nimewahi achana na pisi yangu kisa huyo jamaa , manzee haelewii kitu Kila kitu anafanya references kwa mauki nikaona this is shithole from unscrupulous woman how Kila kitu anarejea huyo tukachana amekuja kujua miaka hii kuwa alikuwa mpuzi
Vp kama mpenzi wako n binti wa muuza duka?Kuna kijiji kimoja kupo masasi wewe kama ni mgeni kwenye kijiji cha ukienda dukani kununua condom hawakuuzii mpaka useme mpenzi wako ni nani?
Yani ulichukulia kondomu ni kama chaja au USB ? Kwa kuanza tu ukaweka 4m kama vile una experience na hiyo biashara asee ulitanguliza maslahi na siyo ndotoIlikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Unanunua kondomu halafu unaanza kunyetuka ili upime wingi na ubora wa bao lako yaani ubora wa shahawa.Mm nanunua sabuni tuu 🔥