Jinsi biashara ya kondomu ilivyonifilisi mwaka 2003 huku motivational speaker akiwa kisababishi

Jinsi biashara ya kondomu ilivyonifilisi mwaka 2003 huku motivational speaker akiwa kisababishi

Mkuu ulitaka kujiua kwa sababu ya laki tano!!??? Chai hii...
mkuu umemsoma vibaya mbona maelezo yake ameandika kwa tarakimu kwamba alichukua mzigo wa condom wa million 4.! hapo ilikuwa lazima adate na kama angekuwa kweli hii story yake huo mzigo baada ya kudoda angeenda kuuza kwenye guest house na lodge hata kwa nusu bei ila kwakuwa ni chai hii sio kesi.
 
Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-

"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".

Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.

Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.

Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.


Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.

Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Sasa ulikopa milioni 4 au laki 4?

Pole sana...😁
 
Hahaha mkuu watu wengi wananunua condom kama dawa za kulevya. Huwez anzisha duka la condom tu utegemee utauza sana maana watu wataogipa kuingia kwa kuwa kila anayeingua anajulikana kaenda nunua condom.
Watu ni wazinzi ila hawataki kujulikana
Hahaha 😂 aise ilikuwa hasara kubwa sana
 
mkuu umemsoma vibaya mbona maelezo yake ameandika kwa tarakimu kwamba alichukua mzigo wa condom wa million 4.! hapo ilikuwa lazima adate na kama angekuwa kweli hii story yake huo mzigo baada ya kudoda angeenda kuuza kwenye guest house na lodge hata kwa nusu bei ila kwakuwa ni chai hii sio kesi.
Hii ni true story kabisa.

Sina jadi ya kudanganya.
 
Back
Top Bottom