Jinsi biashara ya kondomu ilivyonifilisi mwaka 2003 huku motivational speaker akiwa kisababishi

Jinsi biashara ya kondomu ilivyonifilisi mwaka 2003 huku motivational speaker akiwa kisababishi

Yani ulichukulia kondomu ni kama chaja au USB ? Kwa kuanza tu ukaweka 4m kama vile una experience na hiyo biashara asee ulitanguliza maslahi na siyo ndoto
Motivational speakers waliniingiza vichakani aise 😅
 
Labla lili-expire humo ndani kwa ndani 😂
Kama lilikuwa lime expire kwa ndani nimefanya vyema zaidi kunyetuka maana ningemwagia mtoto wa watu huenda angechubuka nyeti.

Nyeto sometimes huwa mkombozi wa mambo fulani fulani 😎
 
Kama lilikuwa lime expire kwa ndani nimefanya vyema zaidi kunyetuka maana ningemwagia mtoto wa watu huenda angechubuka nyeti.

Nyeto sometimes huwa mkombozi wa mambo fulani fulani 😎
Unatoa bao gumu mpaka binti anaogopa anajisemea huyu ndo anatoa vidudu vyake vya ukimwi aniambukize au 😂
 
Unatoa bao gumu mpaka binti anaogopa anajisemea huyu ndo anatoa vidudu vyake vya ukimwi aniambukize au 😂
Yaani uchungu unatawala sehemu yote ya haja ndogo ya binti maana bao lililokuwa linatoka lilikuwa na ukakasi wa aina yake.
 
Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-

"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".

Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.

Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.

Kwa hakika kukosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.


Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.

Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Kaka pole sana ndugu yangu najua Usha powaa kitambo na maisha yakasonga mbelee
 
Back
Top Bottom