Jinsi biashara ya kondomu ilivyonifilisi mwaka 2003 huku motivational speaker akiwa kisababishi

Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-

"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".

Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.

Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.

Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.

Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.

Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Ungeuza Gongo
 
Usilaumu yeyote bali mwenyewe kwani, uliponzwa na ujinga na umalaya mwanangu.
 
Bangi unazovuta now , zinataka kukufikisha mbali mkuu😄
Mkuu wewe ni mdogo sana kwangu, hiyo title ya ukuu ninayokupa ridhika nayo kabisa maana ukiendele ninaweza kukunyima hata hicho kidogo ninachokupa.

Beira Boy kijana huyu nitamvua title ya ukuu akiendelea hivi.
 
Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-

"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".

Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.

Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.

Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.

Motivational 🔊 siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.

Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
hivi hizo tarakimu unaziandikaje?
 
Back
Top Bottom