baby zu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,816
- 4,770
Antonnia anza na hii ni tamu balaa
nHewala...
Ingependeza uweke na muda kabisa mkuu, kama ilivyo vipindi vya luninga au radio, kwamba 10 kamili sharp unajua kuna kipindi fulani...
Yaani kama ulivyo smart kwenye muda katika visa unavyosimulia, mathalani muda wa kumchukua Iryn, Mama 2 n.k...