Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wazee nimerudi, vipi tuanzie tulipoishia au nilegeze kama jamaa aendelee na story? maana hata mimi ni fan wake ila sipendagi uongo. Nina uwezo wa kumwambia aendelee au asiendelee na akakubali.

Angalizo: Atakayenijibu vibaya ndio mbaya wenu asiyetaka story.
Wewe ni kibogoyo kama vibogoyo wengine huna makali. Mjanja poli wewe
 
Yaani sie binadamu!!!, mtu huna mpango nayo stori unaona chai, kwanini usiachane nayo, haya mmefukuza mwamba imebaki kupiga mastori kwenye Uzi wa watu!! , HAYA ANDIKENI ZENU AMBAZO SIO CHAI TUSOME!!
 
Ndugu zangu nitakuwa nashusha Episode 3 kila week.

Ijumaa, Jumamosi & Jumapili

Tukutane ijumaa.
Asante Mkuu,ubarikiwe!Story inatuondolea stress za kazi na maisha,achana na hao wanaojifanya wajuaji,sisi wengine tunaburudika na kujifunza.
 
Yaani sie binadamu!!!, mtu huna mpango nayo stori unaona chai, kwanini usiachane nayo, haya mmefukuza mwamba imebaki kupiga mastori kwenye Uzi wa watu!! , HAYA ANDIKENI ZENU AMBAZO SIO CHAI TUSOME!!
Uzi umevamiwa na wasiojielewa,sasa si wangeenda kwenue siasa kuchallenge km wanajua sana,kwani story zote au movies zinakuwaga real?
 
Ndugu zangu nitakuwa nashusha Episode 3 kila week.

Ijumaa, Jumamosi & Jumapili

Tukutane ijumaa.
Tunashukuru hata kwa kuturudia kaka mkubwa... Nilikuwa na"scroll tu kutafuta mwendelezo wa stori nakuta maujinga + mabishano ya hovyo ya baadhi ya memba..... Keep it up kaka mkubwa
 
Kufanya biashara na wewe sio sababu ya kunianika, mimi ni verified member na na watu wengi tu najuana nao physically including you, sasa kunijua jina na details zangu kadhaa usidhani unayajua maisha yangu yote.

Nilikuwa msamvu najenga hostel ya mzee pale MUM ndio nikawasiliana nawewe wakati nje ya hapo hatujuani kihivyo
Karibu sana Musoma
 
Uzi uko na 351k views and over 1k comments!

Kuukatisha kwa sababu na ngedere wawili watatu ni kuikosea heshima hadhira yako. Anyway, naheshimu maamuzi yako. I'm out!


NB: Hassan Killo, wewe ni msengerema.
Mura Ebu tuma picha ya huyo mkungu .
 
Baadhi ya watu humu jf ni wajinga kama kitu ni chai achana nacho nenda kweye nyuzi ambao sio chai ila ujinga ni tatizo kubwa sana
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
Kwa experience yangu ndogo ya kufatilia story kwny JF story ikiwa nzurii kuna mamluki wanakuja na kuanza kupinga na kutoa maneno ya ovyoo.
Ila insider endelea kushusha nondo binadam ndo tulivyo walimpinga yesu kristo sembuse wewe
 
Ili kuzuia hii Hali ya matusi na comments ambazo zinaweza mkatisha tamaa muandishi nashauri developers wa jamiiforum waweze kuanzisha function ya kulock comments kama ilivyo kwenye Instagram na Twitter nawasilisha.
 
Acha kususa mtoto wa kiume, kama kuna mahali unawanywesha watu chai lazima uambiwe ukweli, kuna matukio mengi umeyaongeza chumvi na nimelijua hilo kutokana na kwamba huko Dar kabla wewe hujaja chuo kusoma tayari mishe hizi za kuzunguka tumezifanya kwa hiyo ukijaribu kujaza chumvi kidogo tu sisi tunajua.

Matukio yako mengi hasa episode za mbele yamekosa uhalisia kwa sababu umeandika kwa lengo la kujionyesha kuwa wewe ni gentleman, kila demu anakutaka wewe n.k. Ingekuwa kweli usingeachwa na demu wako wa chuo. Halafu kwa nini kila siku wateja wako ni wanawake tu tena wale wenye uwezo wao? Hakuna kupindisha lugha wewe ni muongo.

Tukirudi upande wako halisi ni kuwa wewe ni kweli ni taxi driver na mitaa mingi unaijua kutokana na kazi yako ya udereva ila matukio mengi umeyapika sio halisi, madereva wengi mna laana hiyo ya kuongea uongo kisa mnakutana na watu tofautitofauti.

Anyway usiwanyime watu wako mwendelezo wa hadithi ila nakuonya acha kuandika vitu vya uongo, simulia yale matukio halisi tu bila kujaza sukari au chumvi. Lakini pia ina option ya kuwaomba radhi hadhira yako then uwambie kuwa unachanganya matukio ya kweli na uongo ili kunogesha story, kufanya hivyo sio dhambi.

Mwisho kwa wale wote wanaodhani niko hapa eti namuonea wivu mleta simulizi, acheni huo ujinga. Nimeruka na wanawake wakali Dubai na Marekani miaka hiyo kwa hiyo sina nikichoacha katika mapenzi, ninachofanya ni kuitetea hadhira ya jf wasidanganywe maana huu mtandao sio fb useme utakuja utaandika uongo halafu watu wakuchekee. Humu wako watu critical thinkers ambao kuwadanganya sio rahisi.
Mzee wangu una stress sio bure. Huenda sio maisha magumu ila njia ulizopitia ni ngumu.
Watu kama wewe huwa si wepesi kusaidia maana mliyopitia yanawafanya muwe na uchungu na mafanikio yenu (kama yapo).

Mkiona au kusikia mtu anapata kamseleleko basi humchukia huyo mtu kama unavyofanya hapa.
Mpaka unafikia hatua unamuattack jamaa kua ana laana.

Soma nyuzi zinazokufutahisha mkuu, hizi ambazo zinakufanya ujiskie vibaya achana nazo. Zinakuongezea makunyanzi usoni wakati bado kijana mdogo tu wa miaka 33.
 
Back
Top Bottom