Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Naongea kwa sauti ya Iryn,YOU ARE A REAL GENTLEMAN.

Tuna heshimu muda wako,option yoyote ambayo ni best kwako tutaipokea,

Ukiweza kutokusoma comments itakua ni nzuri sana,na utawashinda wajinga wajinga wanaojiona wajuaji(wanakera sana,saana yani)

Big Up sana mwamba,ntakutafuta siku moja tukae mahali tunywe Heineken,bia yetu pendwa

Huku vijijini tunakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano

Iryn a real gentleman?????? It doesn’t settle well. Gentlewomen nacho ni kiingereza
 
Nitafute attention Kwa lipi..Kwan tunajuana umu?? hapa mm ni sehem ya kupumzisha akili tu,,kama ww unachukulia seriously jf pole zako .wajinga kama ww ndio mnakimbilia umu na kuchukulia mambo seriously..

Sijawah anzisha Uzi umu na sitofanya never coz najua wajinga umu wengi kama ww huwez nishaur chochote.. simply your nothing umo kichwan.
Yah! huoni unavyochukulia serious?!

Unapofuatilia post ya mwanaume, hasa story yake na kuanza kuleta zogo, huoni uko serious?!
Huwezi hata kuanzisha thread maana huna jipya la kushare zaidi ya kuhangaika na walizoanzisha wenzao.
Tulia tu, kuna watu tuko serious na jf, tunaweza kupata jambo jipya hapa, hata burudani tu.
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
Mkuu Mimi nitakutetea hapa naweka na kiti nitaua mtu we endelea Mimi nipo mbele yako
 
Yah! huoni unavyochukulia serious?!

Unapofuatilia post ya mwanaume, hasa story yake na kuanza kuleta zogo, huoni uko serious?!
Huwezi hata kuanzisha thread maana huna jipya la kushare zaidi ya kuhangaika na walizoanzisha wenzao.
Tulia tu, kuna watu tuko serious na jf, tunaweza kupata jambo jipya hapa, hata burudani tu.
Watu kama hawa natamani tusiwajibu wala kuwapa attention yoyote ile. Ni kutupotezea nguvu na muda

Mbaya zaidi tunaharibu Uzi wawatu kwa kuendelea kujibizana nao. Heri tuwapotezee tu

Dakitare Watu8 fanya mpango nami nivae jezi mwanalusanyi mwenzangu
 
Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.

Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.

Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.

Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.

Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.

Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.

Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;

1. Niandike Epsode zote then nizipost?

2. Ndani ya week niwe napost episode 3?

Option ipi kwenu itafaa?

BY INSIDER MAN

Asante kaka[emoji91][emoji91][emoji1430]
 
Rafiki yangu mi naishi uhalisia hiyo ccm unayoitaja naijua rangi ya bendera yao tu ni kijani, kiufupi sifuatilii siasa hata chembe, hivyo hapo unansingizia fuatilia hata comments zangu huwezi kuta nimeshobokea siasa sijui bandari sijui kuuzwa kama kuuzwa tushauzwa kitambo hapo ni kubadilishiwa mteja tu.
Sema mi napenda uhalisia usitupange simulizi ya ukweli afu ndani uhalisia hamna, na katika kazi ya fasihi inatakiwa iburudishe, ielimishe ili watu waifuatilie lazima isisimue sio unasoma story za mtu za daily routine ye kila siku ni anakutana na zali la mentali tu, hata wanaotumia ndumba (hata masonia) au wanaomtegemea mungu kuna ups and down za kutosha, kujisifu kwingi sijui gentlemen sijui mstaarabu hizo promo tunazijua. Mi mwenyewe nikiamua kukufunga kamba kwa story nakufunga na hamna boya anashtuka ila ukiona mtu kashtukiwa na watu wawili watatu ujue kuna walakini
Uko sahihi ..naunga hoja
 
Back
Top Bottom