Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jamani hebu tuachane na hizi kelele, tutumie muda huu kumshawishi mwandishi aendelee na story au mnasemaje? Kila mmoja wetu aende pm ya insider man tumuombe aendelee na story maana alishafika pazuri sana. Lakini pia tusimpinge medecin kwa anacholalamikia nae tumuombe aache mada iendelee.
Pm imefungwa labda wale ambao mnaaccess nae mfanye hivyo
 
Kwann mnamuabudu medecin
Hatumwabudu ila hoja yake ina mashiko, hoja yake ni kuwa story sio ya kweli na watu wamekiri kuwa katika kusimulia lazima kuna mambo utaongeza kunogesha story sasa hapo kuna tofauti gani na story ya kutunga?

Insider aseme kweli kuna matukio kachezesha ila hayana ukweli.
 
Ametoa mawazo nyie mnamjaza upepo...

Tumekosa Sasa ndio atakuwa na amani?

Ukisikia uchawi ndio huo, nyote wachawi.

Wadada tunahangaika kuachna na umbea nashangaa wanaume wanaubeba
Basi cha kufanya tuwaambie mods wamblock medecin asipate access ya kucomment japokuwa haitakuwa haki maana hili ni jukwaa huru na hajavunja sheria yoyote sana sana katoa mawazo yake tu.
 
Hivi unapata shida gani huko moyoni juu ya hii story? Mbona ccm inakudanganya Kila siku na bado unaitikia hewala🤲.

Kama mnaona hii story inauongo Basi mtuambia ukweli ni upi.
Rafiki yangu mi naishi uhalisia hiyo ccm unayoitaja naijua rangi ya bendera yao tu ni kijani, kiufupi sifuatilii siasa hata chembe, hivyo hapo unansingizia fuatilia hata comments zangu huwezi kuta nimeshobokea siasa sijui bandari sijui kuuzwa kama kuuzwa tushauzwa kitambo hapo ni kubadilishiwa mteja tu.
Sema mi napenda uhalisia usitupange simulizi ya ukweli afu ndani uhalisia hamna, na katika kazi ya fasihi inatakiwa iburudishe, ielimishe ili watu waifuatilie lazima isisimue sio unasoma story za mtu za daily routine ye kila siku ni anakutana na zali la mentali tu, hata wanaotumia ndumba (hata masonia) au wanaomtegemea mungu kuna ups and down za kutosha, kujisifu kwingi sijui gentlemen sijui mstaarabu hizo promo tunazijua. Mi mwenyewe nikiamua kukufunga kamba kwa story nakufunga na hamna boya anashtuka ila ukiona mtu kashtukiwa na watu wawili watatu ujue kuna walakini
 
Sisi tunafuatikia hadithi ya insider ninyi mnafuatilia maisha yake. Wanaume hamna haya nyie
 
Usifikiri wote tuna maisha magumu kama wewe fala, niko nje ya nchi kabla hujajiunga jf, nina biashara za kueleweka hapo mjini kwenu, nina exposure kubwa na mwaka huu nilikuwepo huko kununua mashamba morogoro. Usifikiri tunavyocomment wote tuko kama wewe jobless, wengine jf ni zaidi ya mtandao ndio maana tunapoona kuna wajinga wanakuja kuharibu mtandao kwa kuleta uongo hatuwezi kuvumilia.View attachment 2703002
Ungepiga picha upande wa visa zinapogongwa..wengi tuna passport pia tukiamua kuzitupia hapa..weka pages za visa zilipogongwa
 
Hapa wewe ndio unaonekana mtoto pampja na kuwa u member humu Toka enzi zile SUMAYE,LOWASSA, KINGUNGE wakiimba slogan ya Mabadiliko Lowasa... MUNGU anakosolewa kwa lipi Sasa? Na wapi huko hukosolewa??
hata haqa jf kuna nyuzi kibao zimeandlkwa za kumkosoa Mungu, zitafute utaziona.
 
Rafiki yangu mi naishi uhalisia hiyo ccm unayoitaja naijua rangi ya bendera yao tu ni kijani, kiufupi sifuatilii siasa hata chembe, hivyo hapo unansingizia fuatilia hata comments zangu huwezi kuta nimeshobokea siasa sijui bandari sijui kuuzwa kama kuuzwa tushauzwa kitambo hapo ni kubadilishiwa mteja tu.
Sema mi napenda uhalisia usitupange simulizi ya ukweli afu ndani uhalisia hamna, na katika kazi ya fasihi inatakiwa iburudishe, ielimishe ili watu waifuatilie lazima isisimue sio unasoma story za mtu za daily routine ye kila siku ni anakutana na zali la mentali tu, hata wanaotumia ndumba (hata masonia) au wanaomtegemea mungu kuna ups and down za kutosha, kujisifu kwingi sijui gentlemen sijui mstaarabu hizo promo tunazijua. Mi mwenyewe nikiamua kukufunga kamba kwa story nakufunga na hamna boya anashtuka ila ukiona mtu kashtukiwa na watu wawili watatu ujue kuna walakini
Hoja yako ina mashiko mkuu, wanaopinga hii story sio wajinga na wanaikubali nao sio wajinga. Kila mmoja anaifuatilia hadithi kwa mtazamo wake, mwingine anataka tu kuburudika basi akalale ila mwingine anapima je hadithi ina uhalisia au la, kama msimualiaji alisema kuwa ni hadithi ya kweli basi lazima apate upinzani pale watu wanapoona uhalisia umepotea.
 
The best thing was to ignore them as shule za kata zimezalisha kizazi kinacho jifanya kinajua kila kitu kwa kuhoji hoji ...ila ni criticism ya mambo yasiyo na msingi...kwenye mambo ya msingi kama bandari, katiba, ajira hutawaona kwakuwa hawana uwezo wa to analyze critical issues... So wewe fikisha lengo lako litimie Kuna wengi wako upande wako na wanafurahia kile umekiwa wakifanya.
Shule za kata tena?
 
Hivi unapata shida gani huko moyoni juu ya hii story? Mbona ccm inakudanganya Kila siku na bado unaitikia hewala🤲.

Kama mnaona hii story inauongo Basi mtuambia ukweli ni upi.
Afu siwezi pata shida moyoni kwa mtu nisiyemjua wala kumtambua, wanangu wana chakula cha kutosha miezi mbili mbele na emergency juu,
Sema siku zote msema ukweli hapendwi watu wanapenda constant reassurance kwamba what they believe is true even if its not as long as it's their comfort zone ukikosoa tu fita mura, hilo ni tatizo kisaikolojia 'cognitive resonance' I know what I'm dealing with
 
Back
Top Bottom