Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Angesema hadithi sawa lakini ye katuaminisha mwanzo ni true story ndo alipokosea, hajui kuna watu humu jf hatuna bongo nyepesi yaani hatuangalii Netflix wala hatujashikwa na series za kikorea, hivyo ukisema kitu ni true story tunafuatilia tupate la kujifunza ila ukisema ni hadithi tu pia tutafuatilia labda tutapata la kutuburudisha kama hamna tutaondoka kimyakimya.
Sio unasema true story afu unawafunga kamba watu, lazima tuloshtuka tukupopoe kwa sababu umetupotezea muda tumefuatilia true story isiyo burudisha, elimisha wala kusisimua zaidi ya kujimwambafy na kujipigia promo kwa jf's b*tchz, angetoa tangulizo this is for the ladies, maniqqa tungepita kushoto.
Bandiko lolote litalonipotezea muda kulisoma afu mwisho wa siku nigundue anatufunga kamba lazima nimpe za uso kabla ya kuacha kulisoma.
Una hoja mkuu, mwandishi mwanzoni alideclare kuwa ni hadithi ya kweli ila ndani kuna matukio hayana uhalisia lazima watu washtuke na waseme ukweli. Upo njia sahihi mkuu mwambieni tu ukweli mwandishi ajirekebishe.
 
Nadhani lawama na hasira zote nizielekezee kwa moderators, namshukuru aliyumpaa ban yule mbaba anajiita 2025.

Nailaumu jf haisimamii haki,hailindi watumiaji. Baadaya yule na wenzake kupigwa ban bado niliona mtu kaandika ujinga Tena nahisi INSIDER MAN hata WhatsApp unaweza ukatupa ujuzi huu ulialoanza kutupa hapa.

Tupatie link wadau tutakuja. Ni wazo langu.

Lkn sitaacha kuilaumu jf na hata ikitaka inipe ban tu. Kuwakosa watu wastaarabu kama INSIDER MAN na Kuna mtunzi mwingine anaitwa UMUGHAKA yaani waandishi nyie muwastaarabu sana. Mungu awalipe mnachostahili
Sure mkuu
 
IMG_20230730_161025.jpg
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
Mkuu inasikitisha ila ndio basi ushaamua ila nimejifunza kwa kiasi fulani kwa upande wangu.

Naomba nije dm
 
Dhahiri kabisa Mkuu, kuna watu unajiuliza ni mental health au kitu gani yaani anapata muda wa kusoma kila aya bado anakuwa mkosoaji wa maneno ya kashfa na accusation baada ya kuuliza vizuri kwa hoja. [emoji23]
Bongo hii watu wengi Wana tatizo la afya ya akili sio Bure ,coz it doesn't make sense mtu kasoma episodes are 18 na anakosoa in such a way kitu kisiendelee .
 
Pole dogo achana na watu ambao hako exposed na maisha na wanadhani Kwa kuwa wao hawana Hela basi ni watu wote Kuna watu hapa mjini hawajui shida weka mambo tuendelee kujifunza binafsi hii story imenifundisha mengi
'Kuna watu hapa mjini hawana shida' hilo hakuna asolijua ila uongo utabaki kuwa uongo tu
Na wenye exposure ndo wanajua chai ilipo, ila wa 'madongo kuinama' wanaona bonge la movie la kusisimua?
 
Sina maisha magumu dada, nilichonacho kinanifanya kuwalipa watu 30 mishahara na wanahudumia familia zaoView attachment 2703007
Mbona Kama inferiority mkuu. Ama jamaa akakusarisha mno. Mana wahenga walisema debe tupu------
Na pia wa English walidai the more the louder the less ,
Ila ungetulia nothing to prove to anyone life Ni lako na hapo unaonyesha ukomavu wa ku handle emotions ,Mana dunia ya sahivi Vita kubwa is about yourself or internal battle
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
***** walai
🥲🥲🥲
 
Acha kususa mtoto wa kiume, kama kuna mahali unawanywesha watu chai lazima uambiwe ukweli, kuna matukio mengi umeyaongeza chumvi na nimelijua hilo kutokana na kwamba huko Dar kabla wewe hujaja chuo kusoma tayari mishe hizi za kuzunguka tumezifanya kwa hiyo ukijaribu kujaza chumvi kidogo tu sisi tunajua.

Matukio yako mengi hasa episode za mbele yamekosa uhalisia kwa sababu umeandika kwa lengo la kujionyesha kuwa wewe ni gentleman, kila demu anakutaka wewe n.k. Ingekuwa kweli usingeachwa na demu wako wa chuo. Halafu kwa nini kila siku wateja wako ni wanawake tu tena wale wenye uwezo wao? Hakuna kupindisha lugha wewe ni muongo.

Tukirudi upande wako halisi ni kuwa wewe ni kweli ni taxi driver na mitaa mingi unaijua kutokana na kazi yako ya udereva ila matukio mengi umeyapika sio halisi, madereva wengi mna laana hiyo ya kuongea uongo kisa mnakutana na watu tofautitofauti.

Anyway usiwanyime watu wako mwendelezo wa hadithi ila nakuonya acha kuandika vitu vya uongo, simulia yale matukio halisi tu bila kujaza sukari au chumvi. Lakini pia ina option ya kuwaomba radhi hadhira yako then uwambie kuwa unachanganya matukio ya kweli na uongo ili kunogesha story, kufanya hivyo sio dhambi.

Mwisho kwa wale wote wanaodhani niko hapa eti namuonea wivu mleta simulizi, acheni huo ujinga. Nimeruka na wanawake wakali Dubai na Marekani miaka hiyo kwa hiyo sina nikichoacha katika mapenzi, ninachofanya ni kuitetea hadhira ya jf wasidanganywe maana huu mtandao sio fb useme utakuja utaandika uongo halafu watu wakuchekee. Humu wako watu critical thinkers ambao kuwadanganya sio rahisi.
Mwanaume umeaandaa bandiko refu kwenye uzi alioutrendisha mwanaume mwenzako ni kama mwanamke flan hivi...

Mtu mwenyewe unajihisi unaongea fact kibao kumbe ni umekosa attention kwenye maisha yako ikabidi u set low standards uje kupata even some crumbs of attention humu kwenye fake id's

Sadly hata hiyo attention unayoipata unaipata negatively because for the hell of your life never got to be appreciated sincerely by someone in your pathetic life...

Umeandika complete garbage but the egoistic you didn't forget kuonyesha ushawahi fanya hayo mambo as if sisi audience give a fuvk about your currently pathetic life ambayo hadi wadada wa dubai walishindwa kukusave ukawa stable emotionally
 
Hata mie nimemjibu mbona Kama anayo inferiority complex,kula k Ni suala la kawaida kabisa. Ila Mara nimeajiri watu30,
Akitaka aonyeshe hata jina moja kwa passport yake,aje aonyeshe Ilo Ilo jina kwa id like mpiga kura ama driving license,na pia aje aonyeshe Ilo Ilo jina kwa bank statement ya Leo Leo kupitia kwa internet banking,pia aonyeshe umiliki wa business kwa nje huko kwa jina Ilo Ilo,mie nikikaa naye huyu atakimbia. Pia mtu mwenye kuridhika Hana haja ya kupambana kutaka kuonekana kuwa ameridhika ama ana maisha Yake. Pia sio wa kwanza kula k nyeupe,Kuna watu wamepiga nadhani karibia mataifa yote dunia nzima Ila wako kimya Mana sio sifa.

Pia aonyeshe na viza akiwa hizo nchi kwa jina lake,.

Ila sio kupiga picha ubao wa currency Trading airport anapost hapa ndio tuamini.

Mana yote uliyofanya naweza nikapakua picha zake alizoposti humu namie nikapost mahala Kama kujimwambafai kuwa Niko nje ya nchi.

Na sio kuwa nje ndio uko njema kiasi kwamba unawazidi watu maisha walioko hapa nyumbani.
Kuna watu wako vijijijini wanawazidi maisha walioko ulaya kipesa na kila kitu.

Sema Ni ule tu ulimbukeni wa kwenda nje at once na kimuhemuhe ama shobo,unapagawa kidizaini. Dubai nauli to and fro Ni ndogo nadhani.
Na hapo alifaki Malaya ambao sio asili ya kiarabu labda Asia ndio wako wnaauza k
 
Usifikiri wote tuna maisha magumu kama wewe fala, niko nje ya nchi kabla hujajiunga jf, nina biashara za kueleweka hapo mjini kwenu, nina exposure kubwa na mwaka huu nilikuwepo huko kununua mashamba morogoro. Usifikiri tunavyocomment wote tuko kama wewe jobless, wengine jf ni zaidi ya mtandao ndio maana tunapoona kuna wajinga wanakuja kuharibu mtandao kwa kuleta uongo hatuwezi kuvumilia.View attachment 2703002

Mimi kinachonipa Mawazo ni anavyodai anatetea walaji .

Mfano tumesimuliwa Iryn sometimes analiwa huko kwenye biashara yake ya body therapy, na mwanamke kuliwa ni sahihi akiwa ameridhia mwenyewe.

kinachonipa ukakasi kwa huyu Hassan ni kwanini anatoa upinzani iryn kuliwa ikiwa ni mwanamke ?

Maswali ambayo inapaswa tujiulize je

Hassan kipa katoka ?

Hana Stamala Wajada ?

Ame left group ?

Kavuliwa ubingwa ?
Mimi Nazani uyu bwana mdogo Hassan kilo atakua ame left group haiwezekani mtoto wa kiume kuumia kuliwa akina iryn,Prisca et al.
 
Nimejisikia vibaya sana hii story kukatishwa kwa sababu ya ujuaji wa watu wachache.
Lakini mtoa mada kama utamua kutujali sisi tuliokuwa tunafuatilia na kujifunza naomba ufanye jambo moja kwa ajili yetu Andika stori yako mpaka iishe the upositi vipande vyo vilivyobakia kwa pamoja.
Hii itasaidia usivunjike moyo Lakini Utakuwa umetusaidia sana ambao tulikuwa tunaifuatilia stori yako na hatuna hatia.
Ukiangalia stori inafuatiwa na watu zaidi 355,000 kutuchinja Utakuwa hujatutendea haki.
Yote kwa yote uamuzi ni wako.
 
Back
Top Bottom