Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Haya.nikushukuru tu INSIDER MAN . Nimeanza leo kuusoma uzi wako mpaka unaishia hapa kwenye kelele.
Itoshe kusema leo umenisindikiza toka napanda basi iringa mpaka muda huu nashuka Arusha.

Ahsante sana.

Ukiendelea sawaa ..ukikaza pia sawa.Yote ni maamuz yako na una sababu zako.

Kwakifupi vitoto hivi vingi vya JF ni shida sana
 
Huyo ndugu Medicin hana cha kujiviunia. Kazi kusimamia kazi za Dingi wake. Ana nini cha kwake binafsi?Whether it is true or not ,why does it bother him. Kila mtu ni grown up and they can decide otherwise. Rumour has that amepigwa PI na divorce
 
Hata mie nimemjibu mbona Kama anayo inferiority complex,kula k Ni suala la kawaida kabisa. Ila Mara nimeajiri watu30,
Akitaka aonyeshe hata jina moja kwa passport yake,aje aonyeshe Ilo Ilo jina kwa id like mpiga kura ama driving license,na pia aje aonyeshe Ilo Ilo jina kwa bank statement ya Leo Leo kupitia kwa internet banking,pia aonyeshe umiliki wa business kwa nje huko kwa jina Ilo Ilo,mie nikikaa naye huyu atakimbia. Pia mtu mwenye kuridhika Hana haja ya kupambana kutaka kuonekana kuwa ameridhika ama ana maisha Yake. Pia sio wa kwanza kula k nyeupe,Kuna watu wamepiga nadhani karibia mataifa yote dunia nzima Ila wako kimya Mana sio sifa.

Pia aonyeshe na viza akiwa hizo nchi kwa jina lake,.


Ila sio kupiga picha ubao wa currency Trading airport anapost hapa ndio tuamini.


Mana yote uliyofanya naweza nikapakua picha zake alizoposti humu namie nikapost mahala Kama kujimwambafai kuwa Niko nje ya nchi.

Na sio kuwa nje ndio uko njema kiasi kwamba unawazidi watu maisha walioko hapa nyumbani.
Kuna watu wako vijijijini wanawazidi maisha walioko ulaya kipesa na kila kitu.

Sema Ni ule tu ulimbukeni wa kwenda nje at once na kimuhemuhe ama shobo,unapagawa kidizaini. Dubai nauli to and fro Ni ndogo nadhani.
Na hapo alifaki Malaya ambao sio asili ya kiarabu labda Asia ndio wako wnaauza k
Mzee mimi sina shida ya kuona bank statement sijui amepiga mataifa mangapi hayo yote kwangu hayana maana
Kinachoniuma ni yeye kuharibu uzi ambao watu wote wapenda stori nzuri tuliupenda
 
Uzi uko na 351k views and over 1k comments!

Kuukatisha kwa sababu na ngedere wawili watatu ni kuikosea heshima hadhira yako. Anyway, naheshimu maamuzi yako. I'm out!


NB: Hassan Killo, wewe ni msengerema.
daah! Umewaza mbali sana....
 
Hatumwabudu ila hoja yake ina mashiko, hoja yake ni kuwa story sio ya kweli na watu wamekiri kuwa katika kusimulia lazima kuna mambo utaongeza kunogesha story sasa hapo kuna tofauti gani na story ya kutunga?

Insider aseme kweli kuna matukio kachezesha ila hayana ukweli.
Hebu orodhesha matukio ambayo ameeleza hayana ukweli, halafu utuambie ukweli ni upi.
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
Bro kama unaimalizia kuna PM tafadhali niendelezee na Mimi hizo episodes.
 
Hatumwabudu ila hoja yake ina mashiko, hoja yake ni kuwa story sio ya kweli na watu wamekiri kuwa katika kusimulia lazima kuna mambo utaongeza kunogesha story sasa hapo kuna tofauti gani na story ya kutunga?

Insider aseme kweli kuna matukio kachezesha ila hayana ukweli.
Kwani we jamaa unashida Gani? Iwe ya kutunga au ya ukweli wewe inakuhusu Nini ? Achana na hii mada story ni yake ana uhuru wa kuiandika atakavyo hulazimishwi kusoma na kujalipia kusoma... Damp your frustrations somewhere else
 
Back
Top Bottom