Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Hii story inahamasisha watu kujiunga na uber. Kitu ambacho ni kizuri kwa kuongeza ajira na vipato. sasa wale wenye ubinafsi waliopo humo uber hawataki watu wajue waingie. Ndio chanzo cha kumshambulia mleta mada. Mleta mada angelijua hili lisingemsumbua kuwaignore hawa watu.Nadhani lawama na hasira zote nizielekezee kwa moderators, namshukuru aliyumpaa ban yule mbaba anajiita 2025.
Nailaumu jf haisimamii haki,hailindi watumiaji. Baadaya yule na wenzake kupigwa ban bado niliona mtu kaandika ujinga Tena nahisi INSIDER MAN hata WhatsApp unaweza ukatupa ujuzi huu ulialoanza kutupa hapa.
Tupatie link wadau tutakuja. Ni wazo langu.
Lkn sitaacha kuilaumu jf na hata ikitaka inipe ban tu. Kuwakosa watu wastaarabu kama INSIDER MAN na Kuna mtunzi mwingine anaitwa UMUGHAKA yaani waandishi nyie muwastaarabu sana. Mungu awalipe mnachostahili
Mleta mada kuwakomoa watu wa aina hii wewe ungeendelea kwa nia ya kuwasaidia wengine wapate mwanga. Kusitisha ni sawa na kuwaacha wenye nia ovu washinde.
cc. INSIDER MAN