Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,861
- 15,836
[emoji28][emoji28][emoji28]Humu ndani watu wanamakasiriko sana kutokana na ugumu wa maisha tunayoishi ila siyo kila mtu maisha yake ni magumu kama tunayopitia wengine?
Tujifunze kuelewa hilo

Tusome tu mkuu hahahahHila na mimi nimeshtuka! Hii story ni ya kutunga haina uhalisia wowote! Kwa watafutaji tunajua hela ni mgumu kuipata! Sasa huyu jamaa kwanza wateja wake ni 'ke' na wote wanahela na wanampenda! Dah! Na wanashobokea kigari aina ya ist eti kwasababu ni kisafi!! Mh? Utajiri wa iryn hauendani na maisha halisi yakupanga apartment za kushare wapangaji kibao! Angalia matanuzi sehemu za starehe! Bili ya watu wawili eti laki tano! [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] n.k.
We ndio lofa kabisa, mleta story amesema ni story ya kweli ila katika kusimulia anasimulia matukio ambayo hayana uhalisia, hapa lazima aambiwe ukweli. Kama ni kuburudika tu angesema mwanzo kule kuwa ni story ya uongo ila sio kutudanganya.Sasa hii inapunguza nini kujifunza na kuburudika? Mbona huwa tunakaa sebuleni na netfrix kuangalia / kulipia filamu mbalimbali wakati tunajua wanaigiza? .
Kwani kuna kupungukiwa na nini? Au wivu tu?
Kazi yake ya udereva kumuendesha iryn kwa siku 3 analipwa laki 3 means kwa siku analipwa laki 1 ila ajabu akatoa chap elfu 50 kumpa mlinzi means mafuta ya sh ngapi kwa siku anatumia, savings ni kiasi mpaka atoe tu kirahisi elfu 50. Huyu jamaa ni muongo matukio mengi kayaongeza hasa ya kujisifusifu kupendwa na wadada mara kujiita gentleman mara kujifanya anajenga n.k mbapo nadhani ana malengo yake binafsi jukwaani. Kuna watu hasa mademu wa humu wanaenda kupigwa na kitu kizito pm.Wewe fala kasome.vizuri jamaa amelipa dollar 6500 sawa na million 17.
Aliyetaka kumbaka iryn.
Hivi million 17 mnaijua nyie.
Halfu insider akampa mlinzi elfu 50 chai chai
Kama huyo mtaalaam wa kuwaondoa watu wanaopinga humu yupo basi aanze na mimi, sisi humu tupo kwa ajili ya check and balance na tuko wengi kama kampuni kwa hiyo hata ukiniban mimi atakuja mwingine kumnyoosha mtoa story asiendelee kuwadanganya matomaso nyinyi.Ila nyie watu mnaojidai kupinga kila kitu kwenye hii stori mbona kama mnatafuta tu attention. Ni kama vile mnamuonea jamaa wivu kwa kuwa uzi wake unapendwa na kufatiliwa na wengi.
Ni simple tu kama huyaamini anayosema usiingie kwenye huu uzi tuachieni sisi wajinga tunaoamini. Simpe as that.
Jamani kama kuna wataalamu wa kuwaondoa hawa watu wanaoharibu huu uzi hebu saidieni wasiweze kuchangia humu wanachafua tu hali ya hewa. Better kuwablock waende kwenye nyuzi zingine. Ajitokeze mtu kuwaondoa please
Leta story acha kusikiliza watuNdugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.
Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,
Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.
Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.
Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.
Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.
Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.
Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.
ALL THE BEST
Dah mkuu naheshimu mawazo yako japo nimejisikia vibayaNdugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.
Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,
Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.
Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.
Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.
Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.
Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.
Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.
ALL THE BEST
Huko episode za nyuma msimuliaji mwenyewe alisimulia kuwa iryn alimwambia mara moja moja imetokea katombwa na wateja ila mpaka awe kampenda, sasa huko sio kujiuza. Sisi watetezi wa walaji tuna details na tunasoma between lines kuhakikisha walaji hamdanganywi na mtoa simulizi.Wapi umemkuta akijiuza zaidi ya kufanya biashara zake za saloon na massage, maana yeye kama yeye anajiyosheleza na mishe zake hizo za mama ni ziada tuu
Kwahiyo ikiwa ya uongo ndio utaridhika kuwa msimuliaji ana maisha magumu kama wewe?!We ndio lofa kabisa, mleta story amesema ni story ya kweli ila katika kusimulia anasimulia matukio ambayo hayana uhalisia, hapa lazima aambiwe ukweli. Kama ni kuburudika tu angesema mwanzo kule kuwa ni story ya uongo ila sio kutudanganya.
Mkuu Achana nao bhana Hao mapunguani Wew endelea na story tuNdugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.
Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,
Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.
Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.
Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.
Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.
Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.
Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.
ALL THE BEST
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.
Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,
Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.
Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.
Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.
Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.
Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.
Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.
ALL THE BEST
Usifikiri wote tuna maisha magumu kama wewe fala, niko nje ya nchi kabla hujajiunga jf, nina biashara za kueleweka hapo mjini kwenu, nina exposure kubwa na mwaka huu nilikuwepo huko kununua mashamba morogoro. Usifikiri tunavyocomment wote tuko kama wewe jobless, wengine jf ni zaidi ya mtandao ndio maana tunapoona kuna wajinga wanakuja kuharibu mtandao kwa kuleta uongo hatuwezi kuvumilia.Humu ndani watu wanamakasiriko sana kutokana na ugumu wa maisha tunayoishi ila siyo kila mtu maisha yake ni magumu kama tunayopitia wengine?
Tujifunze kuelewa hilo
Kuna watu laki kadhaa wanafuatilia bila kuweka michango yao humu,kwanini uwahukumu kwa vitendo visivyo vya kiungwana vya watu wawili au watatu?Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.
Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,
Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.
Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.
Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.
Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.
Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.
Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.
ALL THE BEST
usifanye hivyo mkuu unatukosea sisi mashabiki wako, kumbuka mti wenye matunda ndio hupigwa maweNdugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.
Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,
Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.
Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.
Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.
Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.
Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.
Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.
ALL THE BEST
Mm pia nasubiria hadith ya kunyandua irynMUDA UNAVYOZIDI KWENDA WANA WANAZIDI KUKAZA KUWA UZI NI FAKE!!
we shusha ivo ivo mkuu, episode inayofata weka jinsi unavyomnyandua iryn
Sina maisha magumu dada, nilichonacho kinanifanya kuwalipa watu 30 mishahara na wanahudumia familia zaoKwahiyo ikiwa ya uongo ndio utaridhika kuwa msimuliaji ana maisha magumu kama wewe?!
Kwa nyongeza tu mpaka watu wanachambua matukio hata ya nyuma means wanafuatilia kwa umakini,kilikuwa ni kitendo cha kumuongeza nguvu sio kumkatisha tamaa.INSIDER HAPO UTAKUWA UNAKOSEA SANA.
Hata the best movies in the world hazikosi critics, unfortunately JF hawana option ya kuenyesha viewership ila I am sure kuna watu wengi wanafuatilia your story kuliko sisi critics. You can stop a story just because few of us tuna question the realistic of the story, from the story unavyoadisia and how you handle issues you are BETTER THAN THIS. Kuacha just because of critics, you have a very good talent of telling a very interesting story whether it’s true of fiction and JF is one of the better place to show readers what you have. Huwezi fanya kitu bila kupata critics. Pia imagine thread ingekuwa inaenda bila mabishano ya critics isingefika mbali hivi and very active, soon unaweza beat record ya RIKIBOY. Please for the sake of the other critics naomba nikuombe uendelee kutupa burudani.
Wewe sio kila mtu ana maisha magumu watu wapo vyema tu lakini hayo maisha ya fantasy ni kwenye Netflix tu, jamaa kaangalia series za Netflix kacopy matukio anakuja kuwashika maskio maboya.Kwahiyo ikiwa ya uongo ndio utaridhika kuwa msimuliaji ana maisha magumu kama wewe?!