Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii story ishakuwa Isidingo, ukisoma title unajua ndani kuna matukiio, kumbe upuuzi tu wa mapenzi, hela, sijui kuonana na watu nje ya nchi, nimesikitika sana kutumia bando langu kusoma historia ya mtu ambayo haina hata cha kustaajabisha wala kufunza.
Kuna story ukianza sehemu ya kwanza tu hutamani kuacha ila sio hii Isidingo mtu anatuhadithia daily routine zake hakuna hata visa vya kusisimua. 🚮
 
Kitendo cha iryn kutokuwa na gari na kupanga appartment za kushare wapangaji watatu nilianza kuwa na mashaka na stori.

Insider kiukweli ni dereva wa uber Ila nimekuja kugundua ni mpenzi wa bata.

Ndo maana imekuwa rahisi kutengeneza hii fiction.

Utajiri wa iryn hauendani na uhalisia wa maisha yake.

Yaani ninavyojua foreigners walivyokuwa wagumu kutoa Hela mtu from no where Anatoa hela anavyojisikia.
Sasa hii inapunguza nini kujifunza na kuburudika? Mbona huwa tunakaa sebuleni na netfrix kuangalia / kulipia filamu mbalimbali wakati tunajua wanaigiza? .
Kwani kuna kupungukiwa na nini? Au wivu tu?
 
Bado ubongo wako.mzito.

Demu Ana appartmet ,saloon Kali,mirathi za maana,

Kutwa kuzunguka kwenye hoteli sijui kufanya massage.

Et analipwa dollar Elfu 10000.

Na hatoi uchi.

Anamlipainsider laki 3 kwa siku 3..

Hii story haina uhalisia hasa hapo kwa iryn sukari imekuwa nyingi.
Wapi kasema analipwa $10,000 nafikiri jifunze kusoma kwa utulivu na unakini amesema ni $1500
Alafu siyo kila mtu anaona fahari kumiliki gari? Kama akili zako zinakufanya uamini gari ndiyo utajiri basi haiko hivyo kwa wengine
Acha fikra na akili hizo ndh
 
Mwanzoni mwa stori kuna mtu alitajiwa dau la dollar 10000 Ili afanyiwe massage

We fala hakuna tajiri asiye na gari hii dunia.

Gari kwa mwenye hela ni Luxury ila kwa masikini ni assert.

Iweje uwe tajiri kutwa kutafuta wanaume kuwafanyia massage na kushinda kwenye ki ist cha mshikaji
 
Mwanzoni mwa stori kuna mtu alitajiwa dau la dollar 10000 Ili afanyiwe massage
Alisema kwa wale wateja wanataka sex anawatajia hilo dau ili wasiendelee nae maana ukimjibu vibaya mteja anakurecommend vibaya kwenye huo mtandao na mwisho wa siku kazi utakua hupati hivyo anawatajia dau kubwa ili kuwavunja moyo, jaribu kuelewa kaka
 
Why afanye kazi ya massage? Bado it’s a job ambayo sio respectable kwa mtu mwenye hela vile asinge jihusisha nayo. She makes more from her mother’s business than hio kufuata watu massage. Pia hapo uliposema mtu analipa 1500$ for a massage bila happy ending kidogo kuna fikirisha. The value of amount mentioned ni very unrealistic.
Mie naomba nikujibu hapa.
Huyu binti akalelewa kizungu elewa,wenzetu hakuna Cha kudhalilishana Wala Nini , they do what they passionate about, yaani unaweza ukakuta mtt wa waziri Ni gay ama anaigiza porno Ni ishu za kawaida.wazungu wanaoana na wanyama. They don't care about your feelings or how will you feel, think , consider them since it's none of their business.

Pia kusema kuwa $1500 Ni nyingi,kwa hapa bongo Ni nyingi Ila kwa nje Ni ya kawaida mno. Kama hutaki tafuta Bei za wanawake ukiwa nje na wakiwa umri mdogo ule amefunga 18 yrs akiwa chuoni na anajiuza na kufanya masaje utaziona. Achana na wale umri umeenda.
Bei hao mademu kila mtu anazo standard zake,Kuna demu hapa hapa bongo yaani Kama haupo hotel ya nyota tano Wala humuiti ukamle. Anakuambia Bei zake ziko juu na watu wanatoa hela.
Wenzetu sio tegemezi kisa maza ana hela Basi abweteke.
Kupanga Ni hulka ya mtu pia elewa.

Yaani ulivyo wewe sio universal standard,yaani unavyofikiria sio kuwa namie nafikiria ivyo na vice versa is true.

Yaani elewa the way we differ physically the same we differ mentally even though fuvu is the same
 
Wapi kasema analipwa $10,000 nafikiri jifunze kusoma kwa utulivu na unakini amesema ni $1500
Alafu siyo kila mtu anaona fahari kumiliki gari? Kama akili zako zinakufanya uamini gari ndiyo utajiri basi haiko hivyo kwa wengine
Acha fikra na akili hizo ndh
Wewe fala kasome.vizuri jamaa amelipa dollar 6500 sawa na million 17.

Aliyetaka kumbaka iryn.

Hivi million 17 mnaijua nyie.

Halfu insider akampa mlinzi elfu 50 chai chai
 
Mie naomba nikujibu hapa.
Huyu binti akalelewa kizungu elewa,wenzetu hakuna Cha kudhalilishana Wala Nini , they do what they passionate about, yaani unaweza ukakuta mtt wa waziri Ni gay ama anaigiza porno Ni ishu za kawaida.wazungu wanaoana na wanyama. They don't care about your feelings or how will you feel, think , consider them since it's none of their business.

Pia kusema kuwa $1500 Ni nyingi,kwa hapa bongo Ni nyingi Ila kwa nje Ni ya kawaida mno. Kama hutaki tafuta Bei za wanawake ukiwa nje na wakiwa umri mdogo ule amefunga 18 yrs akiwa chuoni na anajiuza na kufanya masaje utaziona. Achana na wale umri umeenda.
Bei hao mademu kila mtu anazo standard zake,Kuna demu hapa hapa bongo yaani Kama haupo hotel ya nyota tano Wala humuiti ukamle. Anakuambia Bei zake ziko juu na watu wanatoa hela.
Wenzetu sio tegemezi kisa maza ana hela Basi abweteke.
Kupanga Ni hulka ya mtu pia elewa.

Yaani ulivyo wewe sio universal standard,yaani unavyofikiria sio kuwa namie nafikiria ivyo na vice versa is true.

Yaani elewa the way we differ physically the same we differ mentally even though fuvu is the same
Wewe nawe haujui kusoma amelipa Dollor 6500
 
Wewe fala kasome.vizuri jamaa amelipa dollar 6500 sawa na million 17.

Aliyetaka kumbaka iryn.

Hivi million 17 mnaijua nyie.

Halfu insider akampa mlinzi elfu 50 chai chai
Mie nitukane matusi yote mpaka YAISHE.
Hapo ilikuwa Ni baada ya kuzuia kesi isifunguliwe Mana alikuwa anataka ngono kwa lazima wakati wao wamelewana masaje pekee jamani. Pia alitaka kum rape,alimharibia simu,usumbufu na kumuomba msamaha Mana pale Kuna jamaa alidaia kuwa anao ushahidi akamshtaki sema demu akamsamehe.
Demu ukimsoma Yuko mtandao ambao mademu wanuka vumbi hawamo. Anaulipia $4500 ili kujiunganisha na wateja classic. Kuna watu hawajui hapa duniani Kuna watu Wana hela mpaka wanawaza kuwa wazifanyie Nini Mana kila kitu wameshafanya na wanakimiliki.
Afrika kweli Kuna umasikini. Mtu anatumia dola alfu kumi kwa starehe mwingine anakosa buku moja tzs ya kununua nusu mchele akapike. Akisikia mtu anatumia 25M kwa Bata,kesho anaenda kwa mchungaji ama mganga kutatuliwa shida zake za umasikini
 
Ila nyie watu mnaojidai kupinga kila kitu kwenye hii stori mbona kama mnatafuta tu attention. Ni kama vile mnamuonea jamaa wivu kwa kuwa uzi wake unapendwa na kufatiliwa na wengi.

Ni simple tu kama huyaamini anayosema usiingie kwenye huu uzi tuachieni sisi wajinga tunaoamini. Simpe as that.

Jamani kama kuna wataalamu wa kuwaondoa hawa watu wanaoharibu huu uzi hebu saidieni wasiweze kuchangia humu wanachafua tu hali ya hewa. Better kuwablock waende kwenye nyuzi zingine. Ajitokeze mtu kuwaondoa please
 
Mie naomba nikujibu hapa.
Huyu binti akalelewa kizungu elewa,wenzetu hakuna Cha kudhalilishana Wala Nini , they do what they passionate about, yaani unaweza ukakuta mtt wa waziri Ni gay ama anaigiza porno Ni ishu za kawaida.wazungu wanaoana na wanyama. They don't care about your feelings or how will you feel, think , consider them since it's none of their business.

Pia kusema kuwa $1500 Ni nyingi,kwa hapa bongo Ni nyingi Ila kwa nje Ni ya kawaida mno. Kama hutaki tafuta Bei za wanawake ukiwa nje na wakiwa umri mdogo ule amefunga 18 yrs akiwa chuoni na anajiuza na kufanya masaje utaziona. Achana na wale umri umeenda.
Bei hao mademu kila mtu anazo standard zake,Kuna demu hapa hapa bongo yaani Kama haupo hotel ya nyota tano Wala humuiti ukamle. Anakuambia Bei zake ziko juu na watu wanatoa hela.
Wenzetu sio tegemezi kisa maza ana hela Basi abweteke.
Kupanga Ni hulka ya mtu pia elewa.

Yaani ulivyo wewe sio universal standard,yaani unavyofikiria sio kuwa namie nafikiria ivyo na vice versa is true.

Yaani elewa the way we differ physically the same we differ mentally even though fuvu is the same

Malezi nitakubaliana na wewe. Ila wazazi wake bado ni africans. Mtu asomeshwe mpaka nje alafu aje afanye kazi ya massage tena Bongo. Alikuwa na access ya kwenda other places kama Dubai, paris au hata london sio Bongo. Pia kuhusu bei ya 1500$ sikatai people pay mpaka 10,000$ massage ila very rare and even impossible for a British guy. From descriptions ya body structure ya IRYN ni zile bantu bodies waingereza hawapendi hizo. Wao ni zuchu type. And tumia logic, ili ulipe 1500$ for a massage lazima utakuwa unalala hotel ya nyota 5 kuendelea sasa description ya insider ya hapo alipoenda inaelekea ni sehemu ya kawaida. Mfano alipoengelea yule muarabu sijui kutoa zawadi ya 30m mara kumpa insider 5m hio inauhalisia, ARABs are ballers and have money balaaa na hawanashida kutumia hela kutimiza fantasy zao, ila muingereza hapana kwa kweli. I have lived there for 5 years, hapa insider kaongeza chumvi.
 
Nimekuwa nikifuatilia story tokea episode one. Kuna kipindi na doubt kama ni fiction ila sasa INSIDER anakupa zile details za ndani mpaka unasema mtu hawezi kutunga. Kama hii episode ya mwisho alivyo describe the horizon, kuanzia games zilizokuwepo. Picha kwenye kile kidaraja na cost za kwenda kwenye island. Kwa ambao mmefika pale ni accurate kabisaa na ile cocktail yao ya nanasi. Yaani akiwa anaelezea outing zake the accuracy of the details za sehemu ni very impressive kusema jamaa ana tunga.

Shida yangu tu ndio Maana nasubiria conclusion ni huyu IRYN. From the story she seems as a well off woman. Ana hela sana and pia ana vyanzo vingi vya mapato kutoka kwa mama yake. Why afanye kazi ya massage? Bado it’s a job ambayo sio respectable kwa mtu mwenye hela vile asinge jihusisha nayo. She makes more from her mother’s business than hio kufuata watu massage. Pia hapo uliposema mtu analipa 1500$ for a massage bila happy ending kidogo kuna fikirisha. The value of amount mentioned ni very unrealistic. Tena for a British guy hapo kidogo umeongeza salt, nadhani huwajui waingereza wewe when it comes to spending. Pia ukaongezea swala la French account, yaani a UK resident awe na account ina a french bank na ikatokea tu as coincidence na Irene nayo anayo. Unajua procedure za kufungua akaunti nje ya nchi especially European countries, Iry sio resident wa France. Kama alisoma inakuwa ni temporary account and it expires the moment your student visa has exhausted.
Hizo details za ndani ndo anazitumia kama silaha ya kuifanya story ionekane ni true whille its just a fiction, imaginary fantasy.
Nlimshtukia pale alipokua akitoa details za sijui hotel ya wapi ipo sehemu gani kwa pembeni kuna nini sijui nyuma yake zamani ilikuwa nini, too much details that make nonsense.
Jamaa anaonekana kweli ni uber afu born town hivyo maeneo mengi anayajua ndo anayatumia kama silaha kutuaminisha ni ukweli.
Ingekuwa ni kweli kulikuwa hakuna haja ya kutoa details zote hizo you'll just go straight to the point.
 
Mwanzoni mwa stori kuna mtu alitajiwa dau la dollar 10000 Ili afanyiwe massage

We fala hakuna tajiri asiye na gari hii dunia.

Gari kwa mwenye hela ni Luxury ila kwa masikini ni assert.

Iweje uwe tajiri kutwa kutafuta wanaume kuwafanyia massage na kushinda kwenye ki ist cha mshikaji
Wapo
 
Wewe fala kasome.vizuri jamaa amelipa dollar 6500 sawa na million 17.

Aliyetaka kumbaka iryn.

Hivi million 17 mnaijua nyie.

Halfu insider akampa mlinzi elfu 50 chai chai
Mbona tunakoseana heshima ndg, sijakutukana lakini ushaanza nitukana, kwanza uliposema $10,000 ni uongo alafu hapo alipo toa hiyo $ 6500 malipo ya massage yalikuwa ni $1500
Baada ya kuvunja simu ya Iryn na arassment aliyomfanyia ya kutaka kumbaka ndipo alitakiwa kulipa $ 7500 kama sijakosea na jamaa akaomba akasema yeye anaweza kulipA $ 6500 jifunze kusoma na kuelewa na usiwe mropokaji ndg,
 
Back
Top Bottom