A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Mbona alishaweka wazi anamteja ambaye ni me, anampelekaga kwa mchepuko na huyu mzee anampa san maisha mwana, pia ana mteja ambaye ni either waziri au mbunge mstaafu, pia kuna msomali, na wengine wengi, na kana umekuwa mfuatiliaji hapo mwanzo alitueleza sana kuhusu huyu mzeeHila na mimi nimeshtuka! Hii story ni ya kutunga haina uhalisia wowote! Kwa watafutaji tunajua hela ni mgumu kuipata! Sasa huyu jamaa kwanza wateja wake ni 'ke' na wote wanahela na wanampenda! Dah! Na wanashobokea kigari aina ya ist eti kwasababu ni kisafi!! Mh? Utajiri wa iryn hauendani na maisha halisi yakupanga apartment za kushare wapangaji kibao! Angalia matanuzi sehemu za starehe! Bili ya watu wawili eti laki tano! [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] n.k.
Nashauri tusome story tuielewe kwanza ndiyo tutoe comments zetu,
Pia kuna mzungu yule alikuwa ni me, na hakuna mahali insider amesema kuwa wateja wake ni wa jinsia ya ke tuu, na pia hakuna mahali amesema anakutana na madem wakali tuu