Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Bwana Hassan Killo, uko Msamvu hapo Morogoro. Usiniulize nimekufahamu vipi, nakushauri tu uache kusumbua watu humu. Eti "nimeruka na mademu wakali Dubai", hapo Msamvu kuna sehemu inaitwa Dubai?

Kwa mfano, hii story ikiwa ni fiction, wewe unapungukiwa nini? Stop this nonsense!
Kufanya biashara na wewe sio sababu ya kunianika, mimi ni verified member na na watu wengi tu najuana nao physically including you, sasa kunijua jina na details zangu kadhaa usidhani unayajua maisha yangu yote.

Nilikuwa msamvu najenga hostel ya mzee pale MUM ndio nikawasiliana nawewe wakati nje ya hapo hatujuani kihivyo
 
Mdau kumbe anaitwa Hassan Kilo yupo msamvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kususa mtoto wa kiume, kama kuna mahali unawanywesha watu chai lazima uambiwe ukweli, kuna matukio mengi umeyaongeza chumvi na nimelijua hilo kutokana na kwamba huko Dar kabla wewe hujaja chuo kusoma tayari mishe hizi za kuzunguka tumezifanya kwa hiyo ukijaribu kujaza chumvi kidogo tu sisi tunajua.

Matukio yako mengi hasa episode za mbele yamekosa uhalisia kwa sababu umeandika kwa lengo la kujionyesha kuwa wewe ni gentleman, kila demu anakutaka wewe n.k. Ingekuwa kweli usingeachwa na demu wako wa chuo. Halafu kwa nini kila siku wateja wako ni wanawake tu tena wale wenye uwezo wao? Hakuna kupindisha lugha wewe ni muongo.

Tukirudi upande wako halisi ni kuwa wewe ni kweli ni taxi driver na mitaa mingi unaijua kutokana na kazi yako ya udereva ila matukio mengi umeyapika sio halisi, madereva wengi mna laana hiyo ya kuongea uongo kisa mnakutana na watu tofautitofauti.

Anyway usiwanyime watu wako mwendelezo wa hadithi ila nakuonya acha kuandika vitu vya uongo, simulia yale matukio halisi tu bila kujaza sukari au chumvi. Lakini pia ina option ya kuwaomba radhi hadhira yako then uwambie kuwa unachanganya matukio ya kweli na uongo ili kunogesha story, kufanya hivyo sio dhambi.

Mwisho kwa wale wote wanaodhani niko hapa eti namuonea wivu mleta simulizi, acheni huo ujinga. Nimeruka na wanawake wakali Dubai na Marekani miaka hiyo kwa hiyo sina nikichoacha katika mapenzi, ninachofanya ni kuitetea hadhira ya jf wasidanganywe maana huu mtandao sio fb useme utakuja utaandika uongo halafu watu wakuchekee. Humu wako watu critical thinkers ambao kuwadanganya sio rahisi.
Story ni yake anaelezea kile anataka yeye, ameamua kusimulia wateja wake aliyechagua yeye, huwezi mpangia kile Cha kusema kwa kuwa so far hujui ana lengo Gani katika simulizi yake ndio maana Kuna baaadhi ya watu amewataja na akasema story zao atazisema baadae.... Pamoja yakuwa wataka kuwa critic kwenye hii story nadhani Sasa umezidi mipaka na imekuwa a personal heatrage towards his writing..hii si sawa..kama hupendezwi na uandishi wake acha kumfuatilia maaana hakuna humu aliyekutuma kuwa muwakilishi wetu against the story of INSIDER MAN
 
Insider man, hata siku moja usishindane na mjinga na wala usimpe mjinga uhalali wakukushinda embu fikiria lengo lako la kuanzisha uzi huu naamini kabisa kabla hujaamua kuandika hapa najua ulijua fika utakutana na changamoto maana siyo kila mtu atakubakiana na mawazo yako na mwisho wa siku ukaamua kuja hapa na kuelezea yale ukiyopitia na lengo lako siyo kutufurahisha au kututingia ila ukitamani kama vijana wenzio tupate somo la maisha! 1- nidhamu ya kazi
2- umakini na uadilifu wa kile unavhokifanya
3- kuyashinda matamanio ya miili yetu hasa ngono
4 - kuheshimu na kuwathamini wengine
Hakika nakupongeza kwa hilo ndg, kwani wapo tuliojifunza mengi kwa story hii yako na tulitamani sana kuendela kujifunza mengi kutoka kwako
Pia uliahidi hutakubali kuvunjwa moyo na hao wahafidhina na pia ungetoa connection kwa wengine au njia ya namna ambavyo wanaweza kufanikiwa kama wewe
Nakuomba ndg kubali kuonekana hujui lakini kumbuka unafanyika kuwa baraka kwa watu wengi hasa wasomaji tunaokuguatilia kila saa ndg, tunakuomba tejea na makizia simulizi yaki kaka na Mungu atazidi kukubariki maana nia na dhamira yako ni watu tujifunze kupitia safari yaki! Insider piga moyo konde na endelea kutoa darasa kaka
 
Kufanya biashara na wewe sio sababu ya kunianika, mimi ni verified member na na watu wengi tu najuana nao physically including you, sasa kunijua jina na details zangu kadhaa usidhani unayajua maisha yangu yote.

Nilikuwa msamvu najenga hostel ya mzee pale MUM ndio nikawasiliana nawewe wakati nje ya hapo hatujuani kihivyo
Bwana mdogo na ukali wote wa maneno kumbe fundi uashi, embu jaribu kuwa mstaarabu kwenye nyuzi za watu. Pia kumiliki pasi ya kusafiria sio ujanja, unaweza kuwa nayo na usiitumie ipasavyo kama inavyotakiwa.
 
Story ni yake anaelezea kile anataka yeye, ameamua kusimulia wateja wake aliyechagua yeye, huwezi mpangia kile Cha kusema kwa kuwa so far hujui ana lengo Gani katika simulizi yake ndio maana Kuna baaadhi ya watu amewataja na akasema story zao atazisema baadae.... Pamoja yakuwa wataka kuwa critic kwenye hii story nadhani Sasa umezidi mipaka na imekuwa a personal heatrage towards his writing..hii si sawa..kama hupendezwi na uandishi wake acha kumfuatilia maaana hakuna humu aliyekutuma kuwa muwakilishi wetu against the story of INSIDER MAN
Kwenye hili mimi ndiyo namshangaa huyu mdau Medicine yaani anaumia sababu jamaa anaelezea wateja wanawake wanavyomkubali. Jamaa atakuwa na shida mahali huyu
 
Kwanza binafsi nikupongeze kwa moyo mkunjufu kabisa, pamoja na hayo umejitahidi sana hata kufikia hapa ulipo amua kuishia (niliona hili mapema sana na nikaanza kuhisi kama hii simulizi haitokua na mwisho mzuri kutokana na ujuaji wa wengi hapa jf).
Nakupongeza sana na ingekua mimi ndio wewe kwa maneno ya wapuuzi humu ningesha acha kuandika muda mrefu sana.
Lakini pamoja na kuburudika, nimejifunza mambo mengi kupitia simulizi hii ingawa nilitamani iendelee but sina namna nyingine ya kubadilisha maamuzi yako.
Jf ilikua nzuri sana miaka ya nyuma kidogo kabla vijana wengi maJobless hawajaanza kumiliki simu, ambazo wamekua wakizitumia vibaya kutokana na stress za ukosefu wa ajira, basi wanahamishia makasiriko na chuki zao kwa watu wengine ambao wamefanikiwa.
Vijana wa skuizi wamekua na maneno mengi, uvumilivu hawana na ujuaji mwingi usio maana ambao hupelekea makasiriko na wivu wa kijinga kwa watu wengine.
Ukitaka kujua jf imebadilika, chunguza utakuja kugundua memba wengi wameacha kuandika nyuzi na hakuna tena nondo za maana kama zamani wakati watu waliheshimiana sana hapa ndani.
Wengi tumebakia kua wasomaji tu, tumeacha tena kuweka mawazo ya maana na fikra pevu zaidi ya kua wasomaji na wachangiaji tu.
Nakuona kabisa moyo wako ulivyo vunjika, na kutokana na maneno ya wengi mabaya na matusi juu yako bila kusita naamini unaenda kutoweka ama kubadili ID ama kuanzisha ID nyingine, then unabadilika na kua mpenzi mtazamaji hapa jf.
Umenikukbusha wakati flan mti mmja alikuwa akileta story flan ya kukamatwa kwa mtoto mmoja wa kigogo wa nchi hii kukamatwa na wale wenye macho madogo.

Ile habari ilikuwa moto. Na kwamba ilikuwa kweli SI kweli sisi hayakutuhusu. Watoto wengi siku hizi wametuharibia mambo mengi Sana.

Nakumbuka sababu ya zito kuondolewa CDM ilikuwa humu ilikiwa kweli aunsi kweli hayakutuhusu.

Story kama hizi tunazisoma tukiwa sehem sehem anakuja mtu anabishia kitu ambacho hakimuhusu.

Umeongea vema Ushimen ila nalaumu wasimamizi
 
Kufanya biashara na wewe sio sababu ya kunianika, mimi ni verified member na na watu wengi tu najuana nao physically including you, sasa kunijua jina na details zangu kadhaa usidhani unayajua maisha yangu yote.

Nilikuwa msamvu najenga hostel ya mzee pale MUM ndio nikawasiliana nawewe wakati nje ya hapo hatujuani kihivyo
Kwanini hutaki Mtoa mada aelezea alivyokuwa anakubalika na wanawake hii wewe inakuumiza kivipi ?
 
Mods wakati mwingine muwe mnapiga watu pin wanaenda kuharibu nyuzi za watu kama mtu anaona ni uongo kwanini apoteze muda kusoma, please mods wakati mwingne muwadhibiti hawa mapema kabisa maana wanajikuta wajuaji lakini ni wajinga tuu
 
Kufanya biashara na wewe sio sababu ya kunianika, mimi ni verified member na na watu wengi tu najuana nao physically including you, sasa kunijua jina na details zangu kadhaa usidhani unayajua maisha yangu yote.

Nilikuwa msamvu najenga hostel ya mzee pale MUM ndio nikawasiliana nawewe wakati nje ya hapo hatujuani kihivyo
Kwa busara ya kawaida achana na criticism ya huu Uzi na endelea na mambo mengine as jinsi unavyo komaa ndio unavyozidi kuwaaminisha watu changamoto za kijamii zimekukumba na Sasa unatafuta a place to dump your frustrations
 
Mnaokuja pm kuniomba nilegeze msimamo wangu sitaki, nimeamua kwa hiari yangu kuwatetea walaji kwa hiyo sishauriki katika hilo, lengo ni kuiona jf yenye maudhui ya kweli na maana sio kunyweshana chai ya moto na joto hili.
Kuna mdau ameuliza mkuu hivi hapo Msamvu kuna sehemu inaitwa Dubai au Marekani ?
 
Wewe sio kila mtu ana maisha magumu watu wapo vyema tu lakini hayo maisha ya fantasy ni kwenye Netflix tu, jamaa kaangalia series za Netflix kacopy matukio anakuja kuwashika maskio maboya.
Anyway kuwa huru kumfata pm nawe uliwe ili ukale hizo bata kama utazipata.
Sishangai watu kuishobokea hii chai kwa sababu kuna watu wanatekwa na series za netflix na wanaona kama ni kweli mpaka kwenye kulia wanalia, kwenye kuchukia wanachukia na kufurahi wanafurahi bongo nyepesi design hiyo zipo mingi tu. Ila ukijichanganya penye chai si tunaita chai tu sio kahawa
Hivi unapata shida gani huko moyoni juu ya hii story? Mbona ccm inakudanganya Kila siku na bado unaitikia hewala🤲.

Kama mnaona hii story inauongo Basi mtuambie ukweli ni upi.
 
Bwana Hassan Killo, uko Msamvu hapo Morogoro. Usiniulize nimekufahamu vipi, nakushauri tu uache kusumbua watu humu. Eti "nimeruka na mademu wakali Dubai", hapo Msamvu kuna sehemu inaitwa Dubai?

Kwa mfano, hii story ikiwa ni fiction, wewe unapungukiwa nini? Stop this nonsense!
Msamvu sehemu gani nikamchape makofi[emoji28][emoji28]
 
Kwa busara ya kawaida achana na criticism ya huu Uzi na endelea na mambo mengine as jinsi unavyo komaa ndio unavyozidi kuwaaminisha watu changamoto za kijamii zimekukumba na Sasa unatafuta a place to dump your frustrations
Sasa unatakiwa uniombe kama wenzio walivyokuja pm kuniomba niache jamaa aendelee na story, bila ya kuniomba nitaendelea kuwatetea walaji wa humu jf wasiokuwa na uwezo wa kusema.
 
Back
Top Bottom