Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tena wasichezee kabisa kuleta story za uongo hapa, matukio ya uongo halafu watu wanakenua tu. Mimi nitakuwepo kutwa nzima hapa kuhakikisha jamaa haleti uongo wake hapa.
salute!!!! Tukipata watu kumi wenye fikra pevu kama ww,,angalau chai zitapungua umu jf..
 
Mkuu hawa misukule ni ngumu kuibadilisha, watu wanadanganywa ila wanakenua tu. Nimeshamwambia mtunzi azingatie matukio yawe na uhalisia au aweke wazi mapema tu kuwa ni story ya uongo. Haiwezekani watu na pumbu zetu tukae chini tusome uongo unaodaiwa ni kweli.
kataa uongo!!
Kataa chai!!
Chai peleka fb!!
 
Insider tunashukuru kwa kukubali kumalizia story yetu. kwa jinsi hali ilivyochafuka humu ni bora uandike story yote kwa episodes zote mpaka mwisho kisha uziweke zote kisha waache wachawi waendelee kuwanga.. ila ni vema ukatuambia unaziweka lini ili watu wakae stand by..
 
Chuki hupofusha.
Huo msemo umebeba maana kubwa sana kwani kupitia comment za ndugu zetu hawa wanaojiita wakooaji wasiopenda uongo, unaona kabisa namna gani na kwa kiwango kipi wamejawa na chuki isiyo kipimo. Kama unaona ni uongo, basi pita hivi na usisome kwani haikupendezi kudanganywa ila ukumbuke kuna wenzako wanasoma na wanafurahia kwani inawapa relief na elimu kwa wakati mmoja.
Niwaombe hao wanaojiita wakosoaji, msiharibu uzi wa mtu kutokana na chuki zenu zenu za kipuuzi kwani hakuna aliyewalazimisha kusoma na kupoteza muda wenu bure kwenye kitu ambacho mmegundua kuwa ni uongo. Tuacheni sisi wadanganyika tuendelee kudanganywa kwani ndiyo mazoea yetu na imegeuka tabia.
 
Mkuu hawa misukule ni ngumu kuibadilisha, watu wanadanganywa ila wanakenua tu. Nimeshamwambia mtunzi azingatie matukio yawe na uhalisia au aweke wazi mapema tu kuwa ni story ya uongo. Haiwezekani watu na pumbu zetu tukae chini tusome uongo unaodaiwa ni kweli.
Kwqni tatuzo ni nini hata kama tukidanganywa?? Kina chochote anapunguza mifukon na akilini mwetu?? Kwann ww usiendelee na mambo mengine unayoona ya ukweli ukaachana na hili dogo la uongo!!
 
Wapi nimesema naumia, hilo nilitolea mfano wa moja kati ya mambo yanayoonyesha udanganyifu wa wazi, kama umetekwa na story ni wewe mkuu ila sisi wengine hatuko hivyo tunahoji palipo na sababu ya kuhoji.
Wengine kina nani, kwa nini unajipa uhalali wa kiwasemea wengine, jisemee mwenyewe usitafute kichaka cha "wengine". We jamaa unaonekana una mambo ya kijinga kabisa.
 
Personal attack haitasaidia kunirudisha nyuma, mimi nacritisize uzi wewe unaleta mambo binafsi. Kwa kuwa mna arosto na story basi jiungeni kumbembeleza msimulizaji aendelee ila sharti awe mkweli, akiweka chumvi tu mimi huyu hapa.
Bora mzee wako angetumia condom tu, kwa kutokutumia kwake kaleta shida duniani.
 
JF Inahitaji uvumilivu na “restrain”.
Kimsingi novels tusomazo ni 99% fiction. Sioni tofauti Kati ya fiction na real katika hadithi.
Lazima uwe na kipaji kikubwa kuandika story kama hii. Tunabeza lakini binafsi nawapa kongole watunzi na waandishi wa hadithi, be it real or fictional.

Inatia dosari muandishi/mtunzi wa hii story ku-mind kelele za chai/true story, because it makes no difference so long as the majority of your readers wameipenda.
I would like to advise INSIDER to ignore JF sadists.
 
Hebu tuzingatie Hili

Medecin , fungua hii link ya jamaa hapa bonyeza button tatu za juu then IGNORE, hakuna mahala utaona comment zake, unajua tatizo la akili lipo na dawa yake haipo. Hapo ndipo shida ilipo,

Asitokee mtu kumjibu, hili litaisha, uzi wa kula tunda kimasihara uliishi muda mrefu sababu tuliamua kupuuza wapuuzi wanaojidai wao ni wajuaji zaidi
Sio uliishi mkuu. Bado unaishi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tuendelee kula kimasiahara.
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
Bro endelea haters hawakosekani tonatofautian kiakili ila kuna sisi wengine tunajifunza mengi sana kupitia stori yako tunakuombz tuendelee na stori tumalizie
 
Kufanya biashara na wewe sio sababu ya kunianika, mimi ni verified member na na watu wengi tu najuana nao physically including you, sasa kunijua jina na details zangu kadhaa usidhani unayajua maisha yangu yote.

Nilikuwa msamvu najenga hostel ya mzee pale MUM ndio nikawasiliana nawewe wakati nje ya hapo hatujuani kihivyo
Hassani Killo,me nadhani ungetulia tu uache uzi wa watu uendelee
 
Usipovuta ugoro unakuaga na akili sana dakitare

Valeee, kuna watu wako na stress za maisha sasa wakiwa nyuma ya keyboard ndio muda waoutumia kushare stress zao na watu wengine...

JF hapa wengi tunatumia usernames ambazo sio majina wala utambulisho wetu rasmi nje ya hapa, sasa kwa mtu anayelia lia kwamba stori ni FAKE, je vipi kuhusu jina lako unalotumia hapa jukwaani ambalo nalo ni utambulisho FAKE tu...

Mwandishi yeyote hapa akiandika maisha yake halisi, lazima atatwist baadhi ya matukio kwa nia ya ama kunogesha kidogo stori na kuepusha kujulikana...

Kama stori ni FAKE, yes it might be FAKE then IGNORE...

Kama stori ni REAL, yes it might be REAL then ENJOY...
 
Wazee nimerudi, vipi tuanzie tulipoishia au nilegeze kama jamaa aendelee na story? maana hata mimi ni fan wake ila sipendagi uongo. Nina uwezo wa kumwambia aendelee au asiendelee na akakubali.

Angalizo: Atakayenijibu vibaya ndio mbaya wenu asiyetaka story.
Ila Hassani Killo una mikwara ya kitoto sana! Kwanini inakuuma INSIDER MAN kupendwa na mademu? We umevuliwa ubingwa au ni vp?
 
Back
Top Bottom