Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sasa unatakiwa uniombe kama wenzio walivyokuja pm kuniomba niache jamaa aendelee na story, bila ya kuniomba nitaendelea kuwatetea walaji wa humu jf wasiokuwa na uwezo wa kusema.
Wee jamaa sio bahati mbaya, itakuwa nati zimecheza kidogo aisee...
 
Shida ya jf kila mtu msomi,mjuaji,tajiri,ana connection,ana pisi kali,katembea abriad yaani ana kila kitu. Tatizo linaanzia hapo na ndipo wakosoaji walipo kwenye makundi hayo. Mleta story tusamehe kwa niaba yao na tunashukuru kwa uamuzi wako wa kuendelea na story.
Hii ni generalization yako tu..

Jf kuwa watu wengi tu wako honest na wanavyoishi.
 
Mnaokuja pm kuniomba nilegeze msimamo wangu sitaki, nimeamua kwa hiari yangu kuwatetea walaji kwa hiyo sishauriki katika hilo, lengo ni kuiona jf yenye maudhui ya kweli na maana sio kunyweshana chai ya moto na
Naiweka hii kwa herufi kubwa:

KWA NIABA YA WALE WASOMAJI WA KIMYA KIMYA KAMA MIMI, HATUELEWI WANAOSEMA WANA MALENGO YA KUIONA JF YENYE MAUDHUI YA KWELI NA MAANA…!!! HATA KWENYE SIMULIZI???

TUKO WENGI TUNAOIFUTILIA SIMULIZI HII NYUMA YA PAZIA NA INATUBURUDISHA, INATUFUNZA NA HATA KUTUPIMISHA DARAJA YA MAISHA TULIYOFIKIA NA PENGINE KUTUPA “MUNKARI” YA KUPAMBANA ZAIDI.

UNABISHANAJE NA SIMULIZI? INGEKUWA IMEWEKWA KWENYE KITABU “HARD COPY” TUNGECHORA CHORA HUMO? ZIKO TOPICS ZENYE KUHITAJI “MAJIBIZANO” YA KITAALUMA etc, SIO SIMULIZI. TUREJEE KUZIELEWA FAIDA ZA SIMULIZI.

YOTE YALIYOSIMULIWA NA INSIDER MAN TUNAISHI NAYO NA SIO MAGENI AU HAYAWEZEKANIKI. NA LA KUSHANGAZA ZAIDI MIONGONI MWA WANAOONA NI “CHAI” WANAJINADI “WAKO VIZURI KIFEDHA NA KIAKILI”!

INASIKITISHA ZAIDI HATA LUGHA ZINAZOTUMIKA KUMUELEKEA MSIMULIAJI ZINA UKAKASI MWINGI.

SIELEWI ILA NI MAONI YANGU KWA WASIMAMIZI WA JF WAWATAZAME WALE WACHANGIAJI WENYE NIA YA KUBOMOA “UZI WA MTU” NA WAWAONDOE!!

MWISHO NAKUPONGEZA SANA BWANA INSIDER MAN, HATA HAPO ULIPOFIKISHA SIMULIZI TUKO WENGI TULIOKUWA TUNAFUATILIA NYUMA YA PAZIA NA TUMECHOTA KITU/VITU KWENYE SIMULIZI YAKO!
AHSANTE SANA KWA MUDA WAKO NA KILA LA KHERI!

AS- SALAMU ALAYKUM!
 
Sasa kama ni kweli mtu hawezi kusimulia matukio yote yakawa kweli na lazima atwist story yake, hapo story inabaki kiwa ni ya kweli au ya kutunga?

Me nadhani medecin anachotaka mwandishi aseme kuwa hii sio story ya kweli, kuna matukip ya kutengeneza ili kuvutia wasomaji.
Sasa Yeye anataka kama nani?!

Halipii, wala haimgharimu chochote, mwenzie anasimulia Yeye anatafuta makosa. Utajuaje makosa Au uongo wa msimuliaji kama huijui hio story?!
Na kwa nini Asiache kusoma akaangalia mada zingine huko?!
 
Rafiki yangu mi naishi uhalisia hiyo ccm unayoitaja naijua rangi ya bendera yao tu ni kijani, kiufupi sifuatilii siasa hata chembe, hivyo hapo unansingizia fuatilia hata comments zangu huwezi kuta nimeshobokea siasa sijui bandari sijui kuuzwa kama kuuzwa tushauzwa kitambo hapo ni kubadilishiwa mteja tu.
Sema mi napenda uhalisia usitupange simulizi ya ukweli afu ndani uhalisia hamna, na katika kazi ya fasihi inatakiwa iburudishe, ielimishe ili watu waifuatilie lazima isisimue sio unasoma story za mtu za daily routine ye kila siku ni anakutana na zali la mentali tu, hata wanaotumia ndumba (hata masonia) au wanaomtegemea mungu kuna ups and down za kutosha, kujisifu kwingi sijui gentlemen sijui mstaarabu hizo promo tunazijua. Mi mwenyewe nikiamua kukufunga kamba kwa story nakufunga na hamna boya anashtuka ila ukiona mtu kashtukiwa na watu wawili watatu ujue kuna walakini
Sasa wewe unakerwa, yaani kifupi unaona wivu.
Tupe wewe story yako nzuri dada.
 
How to Handle Negative Criticism
APRIL 1, 2015
  • COPY BY😀aryl Lindsey
o-VINTAGE-MOTHER-SCOLDING-facebook.jpg


Criticism hurts. It can come from a superior at work or from a perfect stranger with an iPhone and a loud opinion. It can be about your work, your writing, your looks, your personality. It can ruin a whole day and topple self-esteem.
the-everygirl-gallery-nordstrom-sale-main-post-1.png

CURRENTLY TRENDING / FASHION
The Nordstrom Sale Is Open to Everyone—These Are Our Editor’s Favorite Picks
stock up before it's too late—prices go up on August 7th
SHOP NOW
It’s easy to be defensive when on the receiving end of such criticism. When we fear the judgment of others, both hurtful words and helpful critiques alike can seem like bitter condemnation.
I spent the better part of my life wholly concerned with the opinions of others. The fear of judgment and disapproval was crippling. What was I so afraid of? Words can be hurtful, yes, but they are just words. I look back now at the time spent fretting over what others thought of me and see it as time wasted.
It’s impossible to control what a person will say, but it is possible to be in control of the way you internalize, process, and react to criticism.

NjMRndamwewnu.gif

1. Stay Calm​

Step back from the situation. Your first instinct might be to immediately respond or defend yourself, but resist the urge; delay your response until you’ve gathered your thoughts. By allowing your emotions to run their course before addressing the situation, you prevent yourself from acting defensively or saying something you may regret later. If you receive a critical email or blog comment, allow yourself at least an hour before you respond. If the criticism occurs in person, respond graciously with a polite but generic response (i.e. “I appreciate the input! It gives me something to think about.”). Address the issue again after you’ve had a bit of time (and space) to think on it.

poohgif.gif

2. Consider the Source and the Value of the Criticism​

There are two types of criticism: constructive and destructive. Constructive criticism comes from a positive place and is meant to help you better yourself. Destructive criticism is meant only to tear you down. It can be harder than you might think to discern between the two: Not all constructive criticism is delivered gently and not all destructive criticism is delivered harshly. Set aside the tone and focus on what is actually being said: is there something to be learned from the critique or are they just useless, hurtful words?
Another tip to help you discern the helpful from the hurtful? Consider the source of the criticism. Is it coming from a faceless, nameless stranger on the Internet? A teacher or a co-worker who respects you? Take the time to ask yourself whether or not the opinion of the person criticizing you is worth worrying about. Once you’ve identified criticism as destructive rather than constructive, it becomes easier to forget about it and continue going about your business of being awesome.

YJS5YoOGlhaAo.gif

3. Acknowledge That You Might Be Wrong​

This is perhaps the most crucial and most difficult step for most of us. If you’ve identified criticism as constructive, allow yourself to acknowledge that the person offering said criticism, no matter how harsh or poorly worded, might just have a point. It’s good to be confident in yourself and your abilities, but it’s also important to accept that there will always be someone who knows more than you do on one subject or another. If you stay on the defensive, you rob yourself of valuable opportunities for growth.

R2MKX7UeL9o9a.gif

4. Understand That You Can’t Please Everybody​

That being said, you might just take time to think about it and find that you still disagree with the criticism offered. If that is the case, stick to your guns and politely continue to go about doing what you’re doing. It is impossible to please everybody, and at one point or another you’ll need to decide what feels right to you and go with it. I believe it was an ancient Greek philosopher who once penned the wise words “The haters gonna hate, hate, hate, hate, hate…” and let me tell you, even in the year 300 B.C. that guy was on point.

AeWoyE3ZT90YM.gif

5. Respond With Grace​

Destructive criticism never warrants a response. Quickly click “delete” on hateful emails that benefit no one and wash your hands of that negativity. The same can be said for in-person interactions. Constructive criticism, however, should be addressed respectfully once you’re ready to do so. Thank the person for their input and then agree or disagree as you see fit, taking the time to politely explain your reasoning, if necessary. You have the power to turn these critiques into learning experiences or opportunities for valuable discussion…use it!

Related Articles​

Get Exclusive Content​

Our newsletter is jam-packed with giveaways to editors’ picks to free downloads!


Stay in the Loop​

Join our community through your favourite social media platform.

Contact Us​

Have a story to tell? Looking to advertise? We’d love to hear from you.
GET IN TOUCH
© 2023 THE EVERYGIRL MEDIA GROUP, LLC
 
Tusipangiane Maisha ....then peleka upumbavu wako uko kama unapendwa kudanganywa ni wewe sio Kila mtu..nishakuambia tupo jf Kwa sabb mbalimbal.. idiot kabisa
Huna sababu yoyote unatafuta attention tu.
Ukianzisha uzi wako unabuma unaamua kupitia nyota za wanaume kama hivi.
 
Mkuu INSIDER MAN kwa experience kuandika yote inachosha na utajikuta baadhi ya episodes unalipua unless ingekuwa kazi yako angalau Hilo lingekumotivate. Fanya angalau 4 episodes kwa wiki ambapo hii itakupa muda wa kufanya mambo yako mengine ya muhimu zaidi lakini pia engagement positive itakumotivate kuendelea kuandika.

Asante sana kwa kuamua kuendelea kusimulia hii story
 
Muhimu uwe unaandika vitu vya kweli la sivyo spana ziko palepale, hatuwezi kukuona unawadanganya watu eti kwa sababu tu waburudike ikiwa mwenyewe umesema ni story ya kweli. Ukidanganya matukio tutaendelea kukusakama maana ndio kazi yetu kurekebisha tabia. Mtu mzima kudanganywa tena na mtu hata humjui ni ujinga.
Ukisema anadanganya maana yake ukweli wewe unaufahamu sindio? Mlikua pamoja na jamaa katika harakati zake? Hebu nisahihishe kama nakosea.
 
Hebu tuzingatie Hili

Medecin , fungua hii link ya jamaa hapa bonyeza button tatu za juu then IGNORE, hakuna mahala utaona comment zake, unajua tatizo la akili lipo na dawa yake haipo. Hapo ndipo shida ilipo,

Asitokee mtu kumjibu, hili litaisha, uzi wa kula tunda kimasihara uliishi muda mrefu sababu tuliamua kupuuza wapuuzi wanaojidai wao ni wajuaji zaidi
 
Unaona tabia chafu unatuletea mpaka hapa kwenye story, nilijua wewe mdada kumbe bwabwa. Wanaume hawana hizo.
Critical thinker man ndo walivyo huwaingizi kingi kizembe, sio we shoga sijui malaya unafurahia story za kutunga ili tu usome jinsi sijui prisca akiwa anawekwa nawe upate starter ya kutafuta basha
 
Kichwa yako laini saana, kama ulisoma vzr alisema $10,000 alimtajia mteja kisa hataki kumpa huduma! Akasema ni mbinu wanayoitumia kuwakataa baadhi ya wateja.

Pia ni asset sio assert.
Tatizo exposure, njie mkiwa na access ya kukopa ni gari. Ndo Maana nashangaa mtu anaingiza hela hana gari.
 
Mkuu hawa misukule ni ngumu kuibadilisha, watu wanadanganywa ila wanakenua tu. Nimeshamwambia mtunzi azingatie matukio yawe na uhalisia au aweke wazi mapema tu kuwa ni story ya uongo. Haiwezekani watu na pumbu zetu tukae chini tusome uongo unaodaiwa ni kweli.
Idiot
 
Back
Top Bottom