Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Mkuu insider mim ni miongon mwa watu wanaofuatilia na kunufaika na hii story.Nashukuru kuna mtu kanifundisha namna ya kublock/ignore, usitukane mtu kama anakukera just ignore, matusi hayapendezi [emoji120]
Sio watu wote hum wamesoma fasihi au wanaielewa fasihi . Kwa Sisi wanafasihi hatuna Shida na ukweli au uongo wa simulizi muhim tunatambua story inapaswa kubalance pande mbili za fasihi yaani fani na maudhui.
Simulizi inapaswa kubalance vyote fani na maudhui kitu ambacho wewe unakimudu Sana.
Ujumbe tunapata na burudani tunapata.
Unaposimulia story haimaanishi utaandika kila kitu isipokuwa utachagua matukio yapi uweke na yapi usiweke.