Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiongozi naona umeamuaMwambieni aharakishe hiyo episode mpya nataka kuitolea maoni leoleo kabla sijalala.
HAMISI KILOMwambieni aharakishe hiyo episode mpya nataka kuitolea maoni leoleo kabla sijalala.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aiseeWahuni wameharibu huu uzi kwa kupita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowoo.
OYA HAKUNA WAHUNI WENYE TABIA ZA KIKE HUYU NI CHOKO MMOJA KAJA MJINI KWA DADA YAKE ALIPO OLEWA ANAONA NAE KAYAPATIA MAISHAWahuni wameharibu huu uzi kwa kupita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowoo.
Wewe utakuwa na jambo la ziada unataka ndgTatizo chai imezidi apunguze uongo au aseme sio story ya kweli.
Hii Dunia unavyoona sio Kila mtu ni mtu, Kuna majini, vibwengo, mashetani na binadu Hila Kwa macho ya nyama huwezi kuona. Utagundua Kwa matendo kama hayo ya kukatishana tamaa, roho za husda. Mkuu wewe wapotezee Shusha mzigo. Uzi wako ni Bora mno hivyo Wana wivu tu ndo maana una viewer wengi. Kama mtu hataki aache kufatilia. Ukiona mtu anafatilia na kuponda ujue you're the best than them. Wivu tu huo mkuu.Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.
Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,
Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.
Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.
Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.
Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.
Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.
Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.
ALL THE BEST
Wewe na wote mnaosema story hii ni chai, hebu orodhesheni matukio ambayo msimuliaji mnasema amedanganya. Halafu mtuambie ukweli ni upi ?Mwambieni aharakishe hiyo episode mpya nataka kuitolea maoni leoleo kabla sijalala.
We ndo mjinga ondoa hiyo Edina isomeke Mama Mjinga, mama zima linang'ang'ana na hadithi za abunuwas si ajabu huyo mtoto umetelekezewa unatafuta fantasy za kukufariji, ma post yako yenyewe ya kipuuzi tu unaonekana unawashwa, zama pm ukunweUmeandika ujinga.
eti kuna mdau anasema watu wanadanganywa, watu nao wanasema awaache na uzi waoMnagombana nini hapa??
Wewe jamaa utakuwa wasumbuliwa na msongo wa mawazoNakusihi tena ndugu mwandishi utakaporudi na hizo episodes zako hakikisha unaandika vitu vya kweli usitufanye watu wajinga hapa, yaani tukae tusome story tukiamini tunajifunza kumbe wewe unatudanganya hilo halitakubalika.
Oya dogo hasani killo tuliza matako hayo basi mbn una jihangaisha hivo. Una shida gani?Nakusihi tena ndugu mwandishi utakaporudi na hizo episodes zako hakikisha unaandika vitu vya kweli usitufanye watu wajinga hapa, yaani tukae tusome story tukiamini tunajifunza kumbe wewe unatudanganya hilo halitakubalika.
Mods sasa hivi wamekuwa wa hovyo Sana kiasi kwamba wanaruhusu mashoga kuaribu stories zinazoletwa hum.Acha kususa mtoto wa kiume, kama kuna mahali unawanywesha watu chai lazima uambiwe ukweli, kuna matukio mengi umeyaongeza chumvi na nimelijua hilo kutokana na kwamba huko Dar kabla wewe hujaja chuo kusoma tayari mishe hizi za kuzunguka tumezifanya kwa hiyo ukijaribu kujaza chumvi kidogo tu sisi tunajua.
Matukio yako mengi hasa episode za mbele yamekosa uhalisia kwa sababu umeandika kwa lengo la kujionyesha kuwa wewe ni gentleman, kila demu anakutaka wewe n.k. Ingekuwa kweli usingeachwa na demu wako wa chuo. Halafu kwa nini kila siku wateja wako ni wanawake tu tena wale wenye uwezo wao? Hakuna kupindisha lugha wewe ni muongo.
Tukirudi upande wako halisi ni kuwa wewe ni kweli ni taxi driver na mitaa mingi unaijua kutokana na kazi yako ya udereva ila matukio mengi umeyapika sio halisi, madereva wengi mna laana hiyo ya kuongea uongo kisa mnakutana na watu tofautitofauti.
Anyway usiwanyime watu wako mwendelezo wa hadithi ila nakuonya acha kuandika vitu vya uongo, simulia yale matukio halisi tu bila kujaza sukari au chumvi. Lakini pia ina option ya kuwaomba radhi hadhira yako then uwambie kuwa unachanganya matukio ya kweli na uongo ili kunogesha story, kufanya hivyo sio dhambi.
Mwisho kwa wale wote wanaodhani niko hapa eti namuonea wivu mleta simulizi, acheni huo ujinga. Nimeruka na wanawake wakali Dubai na Marekani miaka hiyo kwa hiyo sina nikichoacha katika mapenzi, ninachofanya ni kuitetea hadhira ya jf wasidanganywe maana huu mtandao sio fb useme utakuja utaandika uongo halafu watu wakuchekee. Humu wako watu critical thinkers ambao kuwadanganya sio rahisi.
Kweli bhn.. tunasubiri episode nyingine sisi.Nashukuru kuna mtu kanifundisha namna ya kublock/ignore, usitukane mtu kama anakukera just ignore, matusi hayapendezi [emoji120]
Asante sana mkuu kwa maamuzi yako, hakika umewahamasisha wengi sema kila mmoja kuja kukwambia jinsi mapambano yako yalivyomuhamasisha ni kazi.Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.
Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.
Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.
Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.
Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.
Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.
Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;
1. Niandike Epsode zote then nizipost?
2. Ndani ya week niwe napost episode 3?
Option ipi kwenu itafaa?
BY INSIDER MAN
mm naomba tuwasiliane kama kuna haja ya kulipia mm nipo tayari ndugu pleaseNdugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.