Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,609
- 10,491
Safi sana mkuu INSIDER MAN sasa fanya kutushushia episode 2 kwa usiku huu kinywaji kishuke taratibuu
Oy mnafeli sasa na mawazo zenu ya kibinafc hayoKama vip insider afungue group atulipishe amalizie story
wadanganyika wanapenda chai ,,waende uko FB sio hapa jf .Mnaokuja pm kuniomba nilegeze msimamo wangu sitaki, nimeamua kwa hiari yangu kuwatetea walaji kwa hiyo sishauriki katika hilo, lengo ni kuiona jf yenye maudhui ya kweli na maana sio kunyweshana chai ya moto na joto hili.
tupo jf Kwa sabb tofautitofauti,,but wengine tupo straight hatupend uongo!! Tupo na aregi na kitu inaitwa uongo..Kaka kuweni na ustaharabu kama unahisi anadanganya ni kwanini uko hapa jifunze kutokukwaza wengine itakusaidia maishani mwako
Ikienda haraka hata hao Wanaopenda kuuliza uliza maswali yasiyo na maana wanakosa muda ..ila ikikaa muda mrefu kati ya episode Moja na nyingine ndipo watu huanza kuzozana na to question everything...kwangu naona speed ya ku post uliyokuwa nayo ni nzuri na hata uongeze kidogoMdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.
Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.
Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.
Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.
Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.
Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.
Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;
1. Niandike Epsode zote then nizipost?
2. Ndani ya week niwe napost episode 3?
Option ipi kwenu itafaa?
BY INSIDER MAN
Mkuu shusha vitu ila usikawie sana kutupa ukimnyandua iryn maana wanga watajipanga kuja kukuangasha tena ukatuacha na arosto 😄😄😄😄Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.
Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.
Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.
Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.
Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.
Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.
Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;
1. Niandike Epsode zote then nizipost?
2. Ndani ya week niwe napost episode 3?
Option ipi kwenu itafaa?
BY INSIDER MAN
Sasa unafanya nini hapa alafu punguza kujikuta mjuaji ni vyema ukamuukiza maswali mtoa mada kuliko kujifanya unajua kuliko mtoa habari,tupo jf Kwa sabb tofautitofauti,,but wengine tupo straight hatupend uongo!! Tupo na aregi na kitu inaitwa uongo..
Bila kujalisha nani anadanganywa!!
Tusipangiane Maisha ....then peleka upumbavu wako uko kama unapendwa kudanganywa ni wewe sio Kila mtu..nishakuambia tupo jf Kwa sabb mbalimbal.. idiot kabisaSasa unafanya nini hapa alafu punguza kujikuta mjuaji ni vyema ukamuukiza maswali mtoa mada kuliko kujifanya unajua kuliko mtoa habari,
Kama unahisi wadanganywa pita mbali na uzi huu,
Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.
Muhimu uwe unaandika vitu vya kweli la sivyo spana ziko palepale, hatuwezi kukuona unawadanganya watu eti kwa sababu tu waburudike ikiwa mwenyewe umesema ni story ya kweli. Ukidanganya matukio tutaendelea kukusakama maana ndio kazi yetu kurekebisha tabia. Mtu mzima kudanganywa tena na mtu hata humjui ni ujinga.Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.
Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.
Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.
Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.
Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.
Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.
Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;
1. Niandike Epsode zote then nizipost?
2. Ndani ya week niwe napost episode 3?
Option ipi kwenu itafaa?
BY INSIDER MAN
Mkuu hawa misukule ni ngumu kuibadilisha, watu wanadanganywa ila wanakenua tu. Nimeshamwambia mtunzi azingatie matukio yawe na uhalisia au aweke wazi mapema tu kuwa ni story ya uongo. Haiwezekani watu na pumbu zetu tukae chini tusome uongo unaodaiwa ni kweli.Ana
Anapenda kunywesha watu chai hataki wahoji kwann imezidi sukari ha aha haaa...!!na mitanzania inapenda Sana kudanganywa thus why kile chama kinatawala milele
Nashukuru wewe mwerevu, ila tahadhari siyo kila mtu anafaa kutukanwa ndg kuwa makini na zingatia hiloTusipangiane Maisha ....then peleka upumbavu wako uko kama unapendwa kudanganywa ni wewe sio Kila mtu..nishakuambia tupo jf Kwa sabb mbalimbal.. idiot kabisa
Sister kama ni uongo achana nayo fanya mambo mengine.Mkuu hawa misukule ni ngumu kuibadilisha, watu wanadanganywa ila wanakenua tu. Nimeshamwambia mtunzi azingatie matukio yawe na uhalisia au aweke wazi mapema tu kuwa ni story ya uongo. Haiwezekani watu na pumbu zetu tukae chini tusome uongo unaodaiwa ni kweli.
Tatizo chai imezidi apunguze uongo au aseme sio story ya kweli.Kaka kuweni na ustaharabu kama unahisi anadanganya ni kwanini uko hapa jifunze kutokukwaza wengine itakusaidia maishani mwako
OYA KAMA UNAONA NI UONGO SI UPITE KUSHOTO MTOTO WA KIUME UNATOA WAPI TABIA ZA KIKEMuhimu uwe unaandika vitu vya kweli la sivyo spana ziko palepale, hatuwezi kukuona unawadanganya watu eti kwa sababu tu waburudike ikiwa mwenyewe umesema ni story ya kweli. Ukidanganya matukio tutaendelea kukusakama maana ndio kazi yetu kurekebisha tabia. Mtu mzima kudanganywa tena na mtu hata humjui ni ujinga.