Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii nchi bado ina majitu magiiiingaa sana…Comments nyingi kweli kumbe ni kuna ubwege wa watu wachache sana wanaoleta miyeyusho mkuu INSIDER MAN weka episodes iwe chai iwe asali walaji wapo.
 
Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.

Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.

Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.

Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.

Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.

Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.

Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;

1. Niandike Epsode zote then nizipost?

2. Ndani ya week niwe napost episode 3?

Option ipi kwenu itafaa?

BY INSIDER MAN
Ndani ya week u-post episode 3
 
Nachosikitika kuna mtu anaweza kimbilia kufanya biashara ya Uber only sababu ya kusoma simulizi ya kipuuzi kama hii.
Ukitumia nguvu na muda wako kudanganya namna hii unapata faida gani?
 
Eb
Nachosikitika kuna mtu anaweza kimbilia kufanya biashara ya Uber only sababu ya kusoma simulizi ya kipuuzi kama hii.
Ukitumia nguvu na muda wako kudanganya namna hii unapata faida gani?
Endelea kusikitika mkuu hakuna atajayekuzuia.
Njia anazopita huyu jamaa wa kuitwa
INSIDER MAN basi tambua kuwa 99% wa vijana wa Kitanzania hawawez kupita sababu ya tamaa za kijinga hasa hasa kwenye ngono.

Ukiwa real na unajitambua na Una malengo yako basi uwezekano wa kutoboa katika unachokifanya ni mkubwa sana
 
Kwa hiyo huyu dereva taxi ametoboa?

Huyu anaandika maisha anayoyaota.
 
Eb
Endelea kusikitika mkuu hakuna atajayekuzuia.
Njia anazopita huyu jamaa wa kuitwa
INSIDER MAN basi tambua kuwa 99% wa vijana wa Kitanzania hawawez kupita sababu ya tamaa za kijinga hasa hasa kwenye ngono.

Ukiwa real na unajitambua na Una malengo yako basi uwezekano wa kutoboa katika unachokifanya ni mkubwa sana
kweli kabisa kupenda sifa na kutovumilia nyege kunakwamisha vijana weng sana
 
Ushauri kwa watunzi/wasimuliaji wote, njia nzuri ya kuepukana na mambo ya kukatishwa tamaa kabla ya lengo la stori yako kuitimiza jitahid uandike yote na uitume yote.

Ushauri kwa wasomaji, kwenye kila stori kuna la kujifunza iwe niya uongo ama ukweli, kikubwa tuburudike.
Tuthamini kujitolea kwa waandishi wa humu jf.
 
Mkuu acha ushamba ficha ujinga huo,, Kuna apartments kibao masaki Huku nazifahamu kodi 1500-3000usd na Bdo mnaishi watu wengi na mnaonana vzuri tu
Muambie huyo. Sent staff wetu wanakaa apartment za watu wengi na ni USD 3000 kwa mwezi..
 
Yah! huoni unavyochukulia serious?!

Unapofuatilia post ya mwanaume, hasa story yake na kuanza kuleta zogo, huoni uko serious?!
Huwezi hata kuanzisha thread maana huna jipya la kushare zaidi ya kuhangaika na walizoanzisha wenzao.
Tulia tu, kuna watu tuko serious na jf, tunaweza kupata jambo jipya hapa, hata burudani tu.
kama upo seriously na jf..WEWE ni mwehu uliefeli Kila kitu ktk maisha .pole Yako..jf ilikua real before 2015...toka mda uo Hadi sasa wanaojiunga ni weupe kichwan kama WEWE unashabikia vistory vya kijinga...!!!

Siwezi kushare chochote coz wapumbavu ni wengi humu ndani Zaid ya werevu..hakuna watachoelewa Zaid ya ushabiki wa kijinga kama wako
 
Naona maisha yamekuchapa kweli kweli unatafuta pa kutolea stress
Kwani umelazimishwa usome simple katafute uzi mwingine
Kila mtu na mtazamo wake..asa ujinga wako unataka nishabikie uongo niwe mwendawazimu na mpumbav kama wewe..big no!!

Tusilazimishane ujinga ,,wewe kama umechagua kuwa jinga keep it up.
 
Kila mtu na mtazamo wake..asa ujinga wako unataka nishabikie uongo niwe mwendawazimu na mpumbav kama wewe..big no!!

Tusilazimishane ujinga ,,wewe kama umechagua kuwa jinga keep it up.
Sasa kwanini unafuatilia ujinga kama kweli wewe ni mwerevu? Kila mtu ana mtazamo ila huu mtazamo wako ni wakijinga na kifala sana. Ukiona haikufai achana nayo soma vichwa vinavyokufaa mambo ya uber waachie wanauber
 
kama upo seriously na jf..WEWE ni mwehu uliefeli Kila kitu ktk maisha .pole Yako..jf ilikua real before 2015...toka mda uo Hadi sasa wanaojiunga ni weupe kichwan kama WEWE unashabikia vistory vya kijinga...!!!

Siwezi kushare chochote coz wapumbavu ni wengi humu ndani Zaid ya werevu..hakuna watachoelewa Zaid ya ushabiki wa kijinga kama wako

JF imeweka Forums za kila aina usipangie mtu nini asome, kama wewe unaona hapakufai unang’ang’ania nini? Si uende majukwaa ya werevu huko
 
Sasa kwanini unafuatilia ujinga kama kweli wewe ni mwerevu? Kila mtu ana mtazamo ila huu mtazamo wako ni wakijinga na kifala sana. Ukiona haikufai achana nayo soma vichwa vinavyokufaa mambo ya uber waachie wanauber

Mtu kama huyu kubishana naye ni kumpa tension tu, just ignore him.
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
Mimi ndio maana humu huwa nawaletea mastory ta kijinga tu yasio na maana
 
Back
Top Bottom