Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Antonnia anza na hii ni tamu balaa
n
 
Piga block ubwa wote wanaobweka bila sababu, Hata wakileta comment za kiwaki hutaziona,
 
Ila Kuna mijitu humu jukwaani inakera,kwani hamna kazi za kufanya jameni?kutwa mko jamvin mnalilia story na kucoment upuuz kwenye huu uzi hadi,unapoteza ladha,aggrrrh mwacheni mleta story atulie ataleta kwa wakti wake akiwa tayari,acheni kujichatisha kwenye huu uzi,mna nyuzi zenu kibao za kuongelea upupu,nendeni huko🙏
 
Jaman story ni nzuri sana tunashindwa kuvumilia
 

Chukua soda kwa mangi nakuja kulipa.

Unaingia humu unakuta reply 100+ unajua labda mwenye thread kaendelea kumbe ni chitchat za wadau pambaf kabisa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Nilishaacha kuleta story humu jf kutokana na mambo haya haya ya ujuaji wa watu humu.
Unakuta umeandika stori na hakuna mahali umesema story ni ya kweli, ila linaibuka jitu kusema story yako sio ya kweli. Unabaki kushangaa tu
 
Humu ndani nimegundua watoto wengi wa kiume wana wivu kuliko hata dadazao....[emoji1787]

Yani dah ongea na wadogo zako Sijui ni maisha maana wana stress hadi wanahamishia huku Jf[emoji28][emoji28][emoji28]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka dah
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]my ribs dah
 
Kama mizee ya upinde.


Inalilia story tu.
 
Insider kwanza tunakushukuru kwa experience ambayo umetupa hata kama isingekua kweli ila the way una narate mazingira ni uhalisia na inatoa picha halis ya baadh ya issues so tunashukuru sana..
Tatizo la JF ni wajuaji sana hata iliongea jambo lolote kuna wa kucŕush na wa kuunga mkono ni haki na uhuru wao.. kwa sis tulioipenda tunasikitika ila kwa wapingaji wamepata walichokitaka.. Binafsi tunakushukru kwa kila mafunzo na burudani tuliyoipata hapa.. niseme tu ubarikiwe sana Insider..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…