Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nakusihi tena ndugu mwandishi utakaporudi na hizo episodes zako hakikisha unaandika vitu vya kweli usitufanye watu wajinga hapa, yaani tukae tusome story tukiamini tunajifunza kumbe wewe unatudanganya hilo halitakubalika.
Wewe ni n'gombe sana unamwambia ahakikishe wewe kama nani? Huo muda wa kuandika unamlipa? Kama hukuipenda ungepita hivi.. unatetea hadhira ... hadhira ipi? Tunga ya kwako acha uzuzu.. Huku hata username unayotumia ni fake alaf unazungumzia uhalisia kwani we ndo Mello?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Haya nyie mlio kua mnasema story ni ya uongo haya leteni hiyo ya ukweli sasa.

Ndio maana mm mnanionaga Sifai nina majibu mabovu kisa watu wa sampuli hii na kupitia watu wa sampuli hii wamefanya hadi account yangu iwe limited (but I don't care) kwa sababu ya moyoni nilisha yatoa.

Hata hii account ikiwa burned kabisa kisa nyie wapumbavu fresh tu. Maana kama ndio uhuru wa maoni huu sasa sio ni uharibifu.

Ona sasa thousands of good peoples wana katiliwa haki yao ya kupata kile wanacho kipenda kisa wapumbavu watano tu. I do hate them.

Now Mr mello ulisha ni limit baadhi ya features kwenye account yangu kisa watu wa sampuli hiyo. Kwa sasa naomba uni burn completely. Hadi hapa hakuna cha maana uzalendo umenishinda kupenda vya nyumbani ngoja nikamuunge tu mkono bwana meta,Twitter, tiktok na kubwa la maadui telegram .
 
Malalamiko yako haya yameegemea wapi mbona hueleweki, unalalamika kulimitiwa, unalalamika waharibu uzi au unamlalamikia melo?
 
Nimekuwa msomaji wa hii story tangu imeanza ila kutokana na mambo kadhaa yaliyojitokeza nimeona nilog in nami nichangie.

Kiukweli story ilianza vizuri sana tena sana ila nadhani mleta story alizidiwa na misifa matokeo yake akaharibu kwa kuleta sifa za kijinga. Mimi naungana na wote wanaopinga hii story kuwa sio ya kweli na nitaleta sababu zangu kadhaa. Lakini pia nasubiri eposides zijazo ili nipime mizania kama anaendelea kutunga au atajirekebisha. Nitakuwa napita mara kwa mara kufanya uhariri wa hii story.
 
INSIDEMAN Mungu anakuona kwa arosto hii uliyoamua kutufanyia.

ETI hadi ijumaa
Jameni
Ni kujiaibisha na kujidhalilisha kubembelezq mwanaume mwenzako. Jambo limeshatokea mwache aamuae yeye kuendelea au la.

Vijana wa siku hizi ndio maana mnaolewa kirahisi. Mungu mwenyewe anakosolewa na Bado anatupa oxygen, sembuse INSIDER?
 
Ni kujiaibisha na kujidhalilisha kubembelezq mwanaume mwenzako. Jambo limeshatokea mwache aamuae yeye kuendelea au la.

Vijana wa siku hizi ndio maana mnaolewa kirahisi. Mungu mwenyewe anakosolewa na Bado anatupa oxygen, sembuse INSIDER?
Vijana jobless wanapenda kusimuliwa story ili waburudike ukiwaambia ukweli wanakuona hater.
 
Ndugu INSIDER MAN hakikisha code unazipiga nati vizuri utakaporudi. Kuna watu wanakuchimba nahisi, ujikute umeregeza code katika kuwathibitishia hii story. As story fanatics were are not interested to know the real characters/actors. Mwaga vitu.
Kwan amesema atarudi Tena si amesha hitimisha story yake
 
Wewe ni chiz tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Soma na hii@dr namugari
 
Anyway mimi napita tuu kila iitwapo leo kuona kama mwedelezo umewekwa. Nb kama mnaona ni chai leteni za kwenu makabwela nyie wote mliosababisha mdau asitishe usimuliaji.
 
siingii JF hadi ijumaa kwa herini

afu huyu @medicin niliandaa essay ya matusi kumtumia kule PM lakini amshukuru shetani wake kamwambia aifunge PM yake la sivyo angejinyonga,analeta tabia zakina jems delishaz apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…