Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

HAHAHAHAHA TUMA UWAPROVE WRONG HAWA JAMAA ILA USISAHAU KUWAIGNORE WENGINE WEMBE NI ULE ULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]imebidi nicheke tu
 
UNAJAZA SERVER MBONA KAMA KIAZI
 
EPISODE 21



TO BE CONTINUED

Sunday: 19:00

Views ndio habari humu JF, nimekusoma nikafurahi umelitambua Rasta baada ya kuzira.

ila umeboa kwa kuwakasirikia wachokozi wa humu...

ANDIKA haraka malizia, views zisipungue.. ya kuruka masuki yanakimbizaga wengi.. weka hata episodes 3 kwa siku umalize.

Hasira hasara.. hakika JF muhimu kuwa strong na mineno ya wengine.

Nimependa.. coz maeneo yote nayafahamu.. na unajua kuhadithia..

Imagine anayesoma yupo huko kwetu na mie kijijini hata Jiji la Dar hajawahi kufika..
 
Woyooooo[emoji23][emoji23]
 
Uzi umejaa comment za watu wenye mawazo hasi tu.
Mungu hatunusuru yani ety lijianaume linakomaa kumuonea wivu mwanaume mwenzie kisa tu ni msafi, anaosha gari yake vzuri, anapata pesa nzuri.
Baraka zinaanzia kwa wazazi zinafuata kwa watoto wetu na watu tunaowapenda.
Sa ww ndugu yangu ulishawatolesha mimba kina Mwajuma, umkumbuki mama ako hata kwenye maombi unategemea Mungu akubariki kwa kipi.
Wanaume kueni na tabia za kiume sio aaaeeeiiiioouuuu, Alafu ukiitwa wew ni upinde uchukie kitimoto wewe🤨🤨🤨🤨
 

Utaharibu Uzi ukituma.. acha wamfikirie wanavyomfikiria..

Endeleza ugumu kwao.. usikatishe unayotaka kutuletea leo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…