Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iryn ana wivu sana, na anakupenda sema wew ndo hujui kujiongeza mapema, ungekula mema ya inchi mpaka uchoke mwenyewe
Mjinga San naa hyu jamaa Nani alimdanganya kuwa maboss wanafurahia kila kitu ,mm niliwai muambia boss wangu kuwa Nina kiwanja burka estate Arusha pale boss alichukiaa Sana na Kaz na posho zilikoma alizokuwa ananipa Bo's atakiwi hata kufahamu unatona mke au watoto
 
Kuna demu 1 alikua mwanangu sana. Na alikua na boy friend wake, na Mimi sikuingilia mahusiano yake Wala kuwahi kumuonea wivu lakini ajabu nilivopata mwanamke wangu, yeye (huyo demu) akaanza kuninunia nunia bila sababu na visa vya hapa na pale

The same thing naona Kwa Iryn japo scenario ni tofauti ila women are the same. Kwa experience yangu hio naweza kusema Iryn alikua anakupenda. Alikua anasubiri ujiongeze lakini kumbe na wewe domo gundi, nadhani kukununia kwake ni turning point ya yeye kujitibia maumivu ili akusahau. When it comes to love pesa, uzuri wa mtu haujawahi kua dawa ya kutopata maumivu.
 
About Iryn, huo ni wivu wa kike, with time ata-subdue.

Nawaza tu muajemi na hizo deals anazoanza kukushirikisha. Ni kama anatafuta angle akubane ili atumie nyota yako kufanya mambo yake.

Good thing, kwa maelezo yako naona wewe ni mtu unayemwamini Mungu so plani yake inaweza isifanikiwe.
 
Mkuu wanawake hawaelewekagi ni very complicated [emoji3]
 
Bro kwa sasa bado uber inalipa?? Au manyoya tyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…