Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wanawake sijui wakoje daaah ety naterminate mkataba kisa kumjua mkewe alitaka umle Ili msumbuane
 
Ona hii tutusa uko sawa kweli wewe
 
" Wanawake ni kama Watoto, wanapenda kujaribujaribu mambo na kukujaribu ili kuona how smart and tough you are "

Nimeikuta huko nikamkumbuka iryn alivonuna na kuomba kuterminate mkataba [emoji38][emoji38]
 
Utaipendaje wakati huna fikra za kujifunza
 
INSIDER MAN naomba ukishamaliza ku end trip please tunaomba utupie kaepisodi kaliko pelea apo chini maana wadau wanakiu ya Hatari km, ingekuwa ni movie wadau wangesha inunua iyo Episode chap, ebu tupia Mzee baba tujue Iryn anazengua Nini....?
 
Huyu irene alitakiwa awe partner in crime wewe ukajifanya kupaka rangi [emoji23][emoji23]. Bro wanawake wanawivu sana asikuambie mtu. Naamini huko mbele lazima ulisota sana.

Naongea nikiwa na experience [emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa akili nyingi sana hadi aka zitumia kwenye mapenzi [emoji23][emoji23] hata hao wengine masingo maza atawakosa niamini mm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…