Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nampngeza sana mwamba kwa kutokua kitombi.
Ukiwa kitombi wakati ndo unasaka pesa basi wateja wa kike wasahau, na hao ndo wanatoa sana pesa sio sisi wazee wa kubageini hata jero.

Kwa biashara inayokukutanisha sana na ke jitahidi sana usiwe na makoloni, yatakupotezea muda, wateja, pesa na kukudidimiza mno.

Maendeleo yoyote ni kafara, hapo jamaa katoa kafara ngono zembe.
 
My take; Iryn alikasirika kwa kuwa jamaa hakumuweka wazi kuhusu familia yake huenda hisia zake jamaa ana mambo mengi anaficha. Mnakumbuka alisafiri kwenda Dodoma kwa ndege na hakumwambia kama mtu wa karibu na mwajiriwa wake? Huenda Wasiwasi ilikuwa jamaa yuko kwa ajili ya kumchunguza na hofu ni kwamba alikuwa ameshaanza kumwamini na kumwambia mambo yake mengi. Sidhani kama hasira ni kutomla maana hilo linaweza tokea wakati wowote kwa makubaliano.

Kumbuka imani ya Iryn kwake ilitokana na kutomla akiwa hajiwezi hivyo haiwezi kuwa sababu hiyohiyo ya kuachana. Hapa itakuwa ilikuwa issue za kiusalama
 
Kama mwanamke ni mwelewa basi atamheshimu Insider maisha yake yote.

Binafsi imewahi kunitokea same scenario na Binti Classmate na Best yangu sana tukiwa chuo. Mzuri balaa. Ila nilivyojipima nikaona kabisa siyo level yangu nika keep ushkaji.

Tumemaliza chuo tumerejea makwetu mpaka leo ni zaidi ya miaka Kumi nina familia yangu ila Binti ananikubali kinoma, ananiambia hajawahi kutana na mwanaume wa aina yangu. Mpaka ananiulizaga ana kasoro gani, mbona sijawahi kumwonesha kutaka kumla, wakati madume yote yalikuwa yanamyongoza.

Na alikuwa akipata mpenzi mpya sina noma, ila yeye haishi kuwaponda wapenzi wangu niliokuwa namu introduce.

Mpaka leo ni zaidi ya miaka 10, Binti ananiheshimu kama Kaka, na Mumewe ananiheshimu maana amekiri wakizinguana ni mimi pekee huweza kumtuliza Binti.. Na mpaka leo Binti anatamani nimle, ila nimekaza tu ili kuweka heshima.

Ninaamini kama una maslahi mengine na Binti, usiingize mambo ya mapenzi. Utaharibu!
Very true hii inatokea sana ila kuna wakati wengine wakiona unazingua wanakata mawasiliano au kukutamkia shombo.
 
Very true hii inatokea sana ila kuna wakati wengine wakiona unazingua wanakata mawasiliano au kukutamkia shombo.
Ndiyo maana nikasema kwa mwanamke anayejielewa.

Wanaoongea shombo mara nyingi ni hawa vinuka mkojo wasiojitambua na kujua thamani ya Utu wao.
 
Wakuu naomba mnionyeshe Episode ya 18,19 ipo no ngapi ?
Nimeikuta ya 20 ipo 2379/

Hizi mbili nimezisaka bila mafanikio.
Asanteni
 
Kama mwanamke ni mwelewa basi atamheshimu Insider maisha yake yote.

Binafsi imewahi kunitokea same scenario na Binti Classmate na Best yangu sana tukiwa chuo. Mzuri balaa. Ila nilivyojipima nikaona kabisa siyo level yangu nika keep ushkaji.

Tumemaliza chuo tumerejea makwetu mpaka leo ni zaidi ya miaka Kumi nina familia yangu ila Binti ananikubali kinoma, ananiambia hajawahi kutana na mwanaume wa aina yangu. Mpaka ananiulizaga ana kasoro gani, mbona sijawahi kumwonesha kutaka kumla, wakati madume yote yalikuwa yanamyongoza.

Na alikuwa akipata mpenzi mpya sina noma, ila yeye haishi kuwaponda wapenzi wangu niliokuwa namu introduce.

Mpaka leo ni zaidi ya miaka 10, Binti ananiheshimu kama Kaka, na Mumewe ananiheshimu maana amekiri wakizinguana ni mimi pekee huweza kumtuliza Binti.. Na mpaka leo Binti anatamani nimle, ila nimekaza tu ili kuweka heshima.

Ninaamini kama una maslahi mengine na Binti, usiingize mambo ya mapenzi. Utaharibu!
Mle
 
Iryn kilichomuudhi
1. Insider msiri sana, yaani si muwazi.
Hata mimi sipendi kuwa na rafiki msiri msiri wakati mimi namweleza mambo yangu. Nahisi kama ananichora
2. Muongo.
3. Insider anapenda sana pesa, kiasi cha kuanza kumuuza kwa mwajemi kwa tamaa ya pesa.
 
Yaani Iryn kaamua kwa busara kiasi. Maana ningekuwa mimi ningevunja mkataba hapo hapo maana unaonekana mi mtu dangerous.

Imagine unapewa siri nzito, na pesa juu na ukaombwa akufahamu ati unamunyesha dada yako ila familia yako hapana... kwanini unaficha nini?

Nakudelete mara moja. ... kama outing muajemi yupo
Nilivaa viatu vya Irene nimegundua amekasirika alionesha smiling face kibinadam
 
Back
Top Bottom