Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapo Iryn kamuonea huruma jamaa[emoji23]...Kaona kumkalisha masaa zaidi ya moja mme wa mtu noma. Kajishtukia. Kaona jamaa kawa kama ndugu (anaona atamkalisha ndugu yake, tena mume wa mtu masaa zaidi ya moja kumsubiria).

My view.
 
AM WELL EDUCATED MAN , 25 years by age , Student at DIT institute of Technology mwaka wa Mwisho batchelor wa Civil Engineering, Am in need of party time job mpaka mwezi wa 1 mwakani… Nina leseni ya gari and someone who can be trusted, kama unagari na hautumii sana let’s have a deal tufanye kazi.. au nyengine inayo fanana na hii…
Natanguliza shukrani [emoji120].
0766566085 Dar es salaam
 
A Dit student, halafu ushakuwa well educated man? Mkuu hongera sana [emoji119][emoji119]
 
Hapo Iryn kamuonea huruma jamaa[emoji23]...Kaona kumkalisha masaa zaidi ya moja mme wa mtu noma. Kajishtukia. Kaona jamaa kawa kama ndugu (anaona atamkalisha ndugu yake, tena mume wa mtu masaa zaidi ya moja kumsubiria).

My view.
Nahisi hiyo pia ni sababuz aliona kuwa na ukaribu kama walivyokuwa wanakaa Kwa irylin haikuwa poa. Ni kama mtu anaejutia
 
Kama tulivyokuwa tunasubiri kuliwa kwa Edna na Roma kwenye story ya singanojr siku alivyoliwa ilikuwa sherehe[emoji3][emoji3]
@singanojr mwenyewe yupo hapa analia alosto anaomba story iendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Kicheko
Reactions: ram
Kilichofanya IRYN asitishe mkataba ni nini?

1. Wivu?
2. Masuala ya Usalama?
3. Sababu ya kutomshirikisha mambo yangu na kuwa msiri sana.?
4. Kumpa simu Mama J ambayo alinipa mimi kama zawadi ?
5. Sababu mimi ni Mme wa mtu ?
6. Alijua namuuza kwa Muajemi ?
7. Kuna mambo Mama J alimwambia?
8. Kumkodishia Uber wakati mimi ni Dereva wake.

Haya ni mawazo mbalimbali ya wafuatiliaji wa hii story, acha tuone ni nini kiliendelea maana mambo yalishapita tayari.
 
Wazo langu halipo kumkodishia uber wkt wewe ni dereva wake kamind kwamba ujampa preority
 
Kama tulivyokuwa tunasubiri kuliwa kwa Edna na Roma kwenye story ya singanojr siku alivyoliwa ilikuwa sherehe[emoji3][emoji3]
Aliliwa kwa mbinde sana edna. kwa aibu akaliwa ofisini roma alinifurahisha siku hyo
 
  • Thanks
Reactions: ram
Kilichofanya IRYN asitishe mkataba ni nini?

1. Wivu?
2. Masuala ya Usalama?
3. Sababu ya kutomshirikisha mambo yangu na kuwa msiri sana.?
4. Kumpa simu Mama J ambayo alinipa mimi kama zawadi ?
5. Sababu mimi ni Mme wa mtu ?
6. Alijua namuuza kwa Muajemi ?
7. Kuna mambo Mama J alimwambia?
8. Kumkodishia Uber wakati mimi ni Dereva wake.

Haya ni mawazo mbalimbali ya wafuatiliaji wa hii story, acha tuone ni nini kiliendelea maana mambo yalishapita tayari.
Zote ni sababu [emoji23]
 
Kuna mambo mama J alimwambia kumbuka iryn mama yake alikufa kutokana na presha sababu ya usiri wa babake so akaona akae pembeni kuokoa hii familia ukizingatia alimpenda sana junior so hakutaka insider man anogowe na ukaribu wake tena for de sake of his family.
 
Back
Top Bottom