INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #2,741
Kilichofanya IRYN asitishe mkataba ni nini?
1. Wivu?
2. Masuala ya Usalama?
3. Sababu ya kutomshirikisha mambo yangu na kuwa msiri sana.?
4. Kumpa simu Mama J ambayo alinipa mimi kama zawadi ?
5. Sababu mimi ni Mme wa mtu ?
6. Alijua namuuza kwa Muajemi ?
7. Kuna mambo Mama J alimwambia?
8. Kumkodishia Uber wakati mimi ni Dereva wake.
Haya ni mawazo mbalimbali ya wafuatiliaji wa hii story, acha tuone ni nini kiliendelea maana mambo yalishapita tayari.