Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iryne kakupa stress ukajikuta upo tayari kubeba bom la msomali, najaribu imagine maumivu uliyopata siku mbili kwa kumkosa Iryne daa mi msomaji najiona nimeumia zaidi.
 
Dah! hii story 🔥 👍
 
Duh haya bhana nahisi kama story itaanza kupoteza ladha kwa kutokuwepo kwa Iryn lakini tunataka kujua kilichoendelea kati ya Iryn na Muajemi au kati yako na Muajemi.

Na je Iryn atakutafuta tena baadaye hasira zake zikipoa? Huyo Iryn ni wivu wa kike kabisa hapo anaonekana alishakupenda tena sana lakini tunataka kujua kama atakumiss huko mbele akutafute?

Hata mimi siamini mambo ya nyota lakini kwa jinsi unavyoonekana ni kama una nyota ya kupendwa na nyota ya bahati.. hata hapa JF uzi wako unapendwa tu pamoja na wengine kusema ni chai ila sisi tunapenda tu kufuatilia..

tupia kama 2 hivi leo tuburudike bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…