Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


The first four episodes were narrated well with eye catching incidents, unfortunately episode #5 you included unnecessary incidents. In the coming episodes avoid narrating unnecessary stories
 
Jamaa nae kashaanza miyeyusho. Acheni hizo tabia waandishi, mnawavuta watu kwenye story zenu watu wanaanza kufuatilia na kusifia uandishi matokeo yake mnaanza kuvimba vichwa na kuchelewesha muendelezo, that is not fair.
 
The first four episodes were narrated well with eye catching incidents, unfortunately episode #5 you included unnecessary incidents. In the coming episodes avoid narrating unnecessary stories
Mmeanza ujuaji wenu kama kaweka unnecessary incidents acha kusoma, hujui unnecessary incidents zinatupush kupoteza muda hatuna kazi za kufanya wengine, we kama, unaharaka zako huu uzi haukufai, tena mtoa uzi kwa herufi kubwa weka unnecessary incidents nyingi uzi unoge aisee usiwe na haraka ya kuandika ili umalize weka unnecessary incidents nyingi kunogesha story.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu account yangu ya bolt wameiblock Kuna mtu nilimpa access sasa imemletea sehemu ya kujipiga picha ili iverify alivyokuwa bwege akajipiga picha huku account sio yake ni yangu...ulishawahi kukumbana na hiyo changamoto...?
yani umeanza tuu bolt tayari account ishafungwa ?, rudi tuu kwenye kazi yako ya security guard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…