Duu muda wa kulinda ndoa?Tukutane 00:00,
Naisubiria hiyo.Tukutane 00:00,
[emoji23][emoji23]INSIDER mimi kuna sehemu sijaelewa jana ulisema Irine na mama J walikuchezea mchezo mzigo ukashindwa kusimama, nimeshindwa kuelewa pale ilikuwaje kuwaje na connection ya story ya leo. Naomba kama hutojali ungetupatia kile kipande ili tuweze ku-connect na hiki cha leo.
[emoji3][emoji3][emoji3] eeeh bhana au wewe umeelewa ndugu yangu[emoji23][emoji23]
Nimepata role model wangu kwenye hii story mzee pama
INSIDER mimi kuna sehemu sijaelewa jana ulisema Irine na mama J walikuchezea mchezo mzigo ukashindwa kusimama, nimeshindwa kuelewa pale ilikuwaje kuwaje na connection ya story ya leo. Naomba kama hutojali ungetupatia kile kipande ili tuweze ku-connect na hiki cha leo.
Mzee kama anawezaa kujenga nyumba na kununua gari kwa mpigo maanake mzee ki uchumi yuko vizur sana ukizingatia mimi natak nianze kuchepuka nikiwa nimejipata vizuri ko mzee ana ni inspire sana nikomae😎Kwanini?
INSIDER mimi kuna sehemu sijaelewa jana ulisema Irine na mama J walikuchezea mchezo mzigo ukashindwa kusimama, nimeshindwa kuelewa pale ilikuwaje kuwaje na connection ya story ya leo. Naomba kama hutojali ungetupatia kile kipande ili tuweze ku-connect na hiki cha leo.
Umenikumbusha magofu la laptaWanaume wengi ndivyo tulivyo, hatuweki wazi mambo yetu haraka haraka. Information is power, don't over share.
Kwani mm ni maandazi kama ww unae subiri wanaume waanzishe threads alafu mje mdakie na kuleta ujuaji wenu tumewachokahuna lolote mshamba tuuuu
baada ya kufika ndani hakutaka kuchelewesha hisia zake kwangu, alivua nguo zake haraka haraka na kubaki mtupu kama alivyozaliwa. kusema kweli mtoto aliumbika lakini cha ajabu siku hii jogoo hakuwika kabisa. ilyne alilia sana baada ya kuniona nipo kwenye hali ile. niliwaza labda mary dada yake na prisca amenifanyia mchezo wa kiswahili maana alinishuhudia live nikipima oil kwa mdogo wake.Wapi niliandika mkuu?
Pale umeona sasa hapo nashindwa kuapata connection maana unasema jogoo alishindwa kuwika halafu Irene alichukua simu wakaongea na mama JWapi niliandika mkuu?
Sio yeye kaandikaPale umeona sasa hapo nashindwa kuapata connection maana unasema jogoo alishindwa kuwika halafu Irene alichukua simu wakaongea na mama J
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huyu hakuwa insider ni mjanja Mmoja tu aliyejitungia.baada ya kufika ndani hakutaka kuchelewesha hisia zake kwangu, alivua nguo zake haraka haraka na kubaki mtupu kama alivyozaliwa. kusema kweli mtoto aliumbika lakini cha ajabu siku hii jogoo hakuwika kabisa. ilyne alilia sana baada ya kuniona nipo kwenye hali ile. niliwaza labda mary dada yake na prisca amenifanyia mchezo wa kiswahili maana alinishuhudia live nikipima oil kwa mdogo wake.
ilyne aliamua aniambie ukweli ambao umeniuma sana.
IRYNE: Insider kumbe ndio maana ulikuwa hutaki kunimaliza haja zangu kipindi chote hiki.
INSIDER: Niliinama chini nikikosa cha kujibu.
kumbe yule jirani alikuwa anachungulia na kusikiliza maongezi yetu,, hii siku nilijuta kwanini nimemtafuta huyu mrembo wa ajabu.
wakati huo huo IRYNE alichukua simu yake na kuamua kumpigia Mama J wangu, kuna maongezi waliongea japo nilikuwa nasikia kwa mbali, ndipo nilipojua kumbe Iryne na
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ooooh basi sawa ujue nilikuwa sielewi elewi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huyu hakuwa insider ni mjanja Mmoja tu aliyejitungia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ooooh basi sawa ujue nilikuwa sielewi elewi.
Ebhana poa.