Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nimemaloza aise nimesoma kwa muda wa masaa 24 mfulilizo kuanzia saa 2 aaubui mpaka saa 10 usiku nikaanza tena toka saa 2 asubui mpaka saa 6 mchana.

INSIDER MAN Mimi Naomba Connection kwa TYNER ya kupata kazi hapo uwanja wa ndege (JNIA) hata ya kuburuza mizigo ya wateja naamini kazi za hapo zitakuwa na posho na Tips kimtindo.

Nipe Connection nduguyangu INSIDER MAN hali tete mtaani.
 
Nimechekaaa kulikuta bumunda liko nje. Japo umechanganya mafail mkuu. Bumunda la kushikwa shikwa lilikuwa la Prisca alikuwa na strees zake,akalewa akapandwa na genye,akataka zimalizwe na insider na fail ulilounganisha ni la yule malaya aliechukua Uber kumbe hana hela,akataka amgawie kitumbua insider
 
Ni DM na picha yako bhasi[emoji3]
Kila jambo Lina wakati wake....

Ukifeli muda huu kutafuna pisi za humu.... kipindi story bado iko hot...... huko mbele usahau!!!

Mabinti wa humu wanalika kiulaini saana...../mnoo kwa story za hivi.... they feel like telemundo love!!!

But chunga usitoke njia kuu....
Diversion Huwa ni za muda tu.
 
Kwa kuitaja Oryx ina maana mzee baba haya matukio sio ya muda mrefu sana (miaka kidogo tu nyuma)...

Mtu mzima hii ni series ya moto kabisa haijapoa. Nafikiri Kuna matukio mengine ni ya mwaka huu.

Ile segment ya INSIDER MAN kumwambia Iryn I know what you want, akamvuta na akatoa ushirikiano ulishaanza kushangilia kwamba maandiko yametimia Mara graph ikashuka.

Uko salama lakini Kaka?
 
Mkuu INSIDER MAN siku moja moja uwe unatustukiza na ka episode walau kamoja nje ya utaratibu pindi nafasi inapopatikana,sio lazima isubiri wikiend.
Halafu unavyopenda mikataba,unaweza kuwa haya makubaliano yetu pia umeyaandika kwenye notebook.
Halafu kweli, tutulie tu, nadhani hapa tushawekwa kwenye mkataba ndani ya notebook [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkuu INSIDER MAN siku moja moja uwe unatustukiza na ka episode walau kamoja nje ya utaratibu pindi nafasi inapopatikana,sio lazima isubiri wikiend.
Halafu unavyopenda mikataba,unaweza kuwa haya makubaliano yetu pia umeyaandika kwenye notebook.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile segment ya @INSIDER MAN kumwambia Iryn I know what you want, akamvuta na akatoa ushirikiano ulishaanza kushangilia kwamba maandiko yametimia Mara graph ikashuka.

Hiki kipande kitaendelea tu mkuu, pale iliandikwa dibaji tu 😁, muda si mrefu chapter 1 itaanza...

Uko salama lakini Kaka?

Mungu ni mwema mkuu, natumai upo fresh pia...
 
EPISODE 30

Baada ya kufika home nilipark gari na ile naingia ndani namkuta Iryn yuko seblen akiwa amemshika mwanangu Junior. Na muda huo alikuwepo na wife, nilishtuka sana kumwona Iryn muda ule na sikujua kwanini Iryn alikuja home bila kutoa taarifa.

CONTINUE…..

Muda huu niliwaza huenda aliwasiliana na Mama Junior ndomana akaja home. Wote walikuwa wakinitizama ikabidi nimsalimie pale,

“Iryn habari yako karibu sana, hii saprize ya leo kiboko.”

“Ahsante nilim-miss mme wangu Junior nikasema nije nimsalimie na mama yake.”

Na pembeni ilionekana gari ya mtoto zile za kuendesha ambazo zinatumia remote na mtoto anaweza kuingia ndani akashikilia steering. Nikajua hii itakuwa ni zawadi ya Junior ameletewa na Iryn.

“Karibu sana naona hata Junior leo atalala vizuri”

Na mimi niliondoka nikaelekea chumbani sikutaka kubaki pale. Na muda ule chumbani nilikuwa nawaza ni nini ambacho kimemleta Iryn home. Niliwaza huenda wife ana mawasiliano ya siri na Iryn, na wakati nikiwa bado kitandani Mama J alikuja chumbani.

“Baba J mgeni wake anakusubiri unamwachaje bossy wako seblen?”

“Mimi niliwaacha ili muwe huru kuongea.”

“Sio vizuri hivyo.”

Muda huo nilitoka nakwenda seblen kuonana na Iryn.

MIMI: “Iryn ulikuja kwaajili yangu au Junior? Kama mimi ungenijulisha najua.”

IRYN: “Nilikuja kwaajili ya Junior ila kurudi kwako mapema imekuwa jambo jema maana pia nahitaji kuongea na wewe.”

MIMI: “Ulipaswa unipe taarifa kama usingekuta watu ingekuwaje?”

IRYN: “Niliamua kuja bila taarifa sababu nilijua lazima nitawakuta watu. Insider wewe ushakuwa Familia tayari sina haja ya kutoa taarifa navyokuja kwako hapa ni kama nyumbani tu, au hujapenda ujio wangu?”

Niliona Iryn anaongea point hivyo nilijikuta nakosa cha kuongea muda huu maana hata mimi huwa nakwenda kwake bila taarifa.

IRYN: “Insider najua nimekukose…….”

Ilibidi nimkatishe maongezi yake muda ule maana niliona nyumbani sio sehemu sahihi ya kuzungumza. Sikutaka wife ajue kinachoendelea.

MIMI: “Iryn hii sio sehemu sahihi ya kuzungumza nadhani mazingira unayaona, naomba tuondoke tutafute sehemu tukae chini tuzungumze.”

IRYN: “Sawa haina shida.”

Niliingia ndani nikachukua funguo ya gari Dualis ili tuondoke na muda huu Iryn aliagana na wife na akampa Junior laki moja. Na muda huu Junior alianza kumlilia Iryn wakati tukiondoka.

MIMI: “Twende tukale kitimoto leo”

Muda huu Iryn alikuwa akiniangalia sana na mimi nikimuangalia alikuwa anatabasamu.

IRYN: “Insider umenunua gari mpya?”

MIMI: “Napata wapi mimi hela za kununua gari wakati umenifukuza kazi.”

IRYN: “Insider wewe ni hustler hushindwi kununua gari kama hii, kwanini hujikubali?”

MIMI: “Mimi kama nanunua gari chaguo langu ni Audi Q5, lakini hii gari sio yangu.”

IRYN: “Hayo ndo maneno sasa, kama sio yako ni ya nani?”

MIMI: “Kuna Mzee mmoja nafahamiana naye ameniachia nimuangalizie kwa muda.”

IRYN: “Insider watu wanakuamini sana you’re very lucky.”

MIMI: “Yeah uaminifu tu ndo kitu muhimu kwenye hii Dunia.”

Tuliwasili pale Juliana na mimi nikaacha gari pale car wash ili lioshwe na nilimuachia jamaa yangu wa siku zote.

“Tajir naona una chuma mpya kabisa, hongera sana.”

“Kaka hizo jeuri sina mimi level zangu ni Ist tu.”

Baada ya kushuka muda huu macho yote yalikuwa kwa Iryn.

“Kaka acha kutolea macho mali za wakubwa.”

“Bro Msalimie shemeji bhasi.”

Iryn ilibidi atabasamu tu na aliniangalia kama akisubiri nitatoa jibu gani kwa jamaa. Na mimi nilinyamaza tu, sikusema kitu.

Tuliingia ndani na tukatafuta sehemu nzuri ya kukaa, muda huu mhudumu alikuwa amefika tayari na nikaagiza kitimoto nusu ya ku-roast na ugali wa donna.

Na muda huu tukisubiri odda yetu story ziliendelea,

MIMI: “Nambie Ex bossy wangu.”

IRYN: “Insider first of all I’m really sorry nilitumia hasira katika kufanya maamuzi that day.”

MIMI: “Iryn naomba niambie ukweli ni nini kilipelekea vile maana toka uje home that day ndo ulifanya yale maamuzi.”

IRYN: “Insider nilikuwa na hasira sana, sikuamini mtu ambaye nimekuamini na kukwambia siri zangu nyingi ukaamua kunificha suala la wewe kuwa na mke na mtoto.”

MIMI: “Iryn mbona nilikwambia nitakwambia siri zangu zote na nilikuahidi au umesahau?, afu naomba utambue jambo moja sisi Wanaume hatuna tabia ya kutoa siri zetu mapema huwa tuna buy kwanza time.”

IRYN: “Insider kuna vitu vya kuhide ila sio mtoto.”

MIMI: “Sasa Iryn ningekuwa na nia mbaya si ninge hide usione status zangu? anyway naomba nisamehe kwa hili kweli nilikukosea. Maendeleo yako kwa ujumla yakoje lakini?.”

IRYN: “Salama tu Grizmann alikuja ila aliondoka alikaa siku 2, anakusalimia sana.”

MIMI: “Grizmann ulimwambiaje kuhusu mimi?”

IRYN: “Nilimwambia umeenda kusalimia wazazi.”

MIMI: “Sounds great.”

Dada alituletea kitimoto na donna na tukaanza kula pale.

IRYN: “Insider mimi nakula sababu ya kitimoto niliki-miss nimeshiba hapa.”

MIMI: “Umeona kitimoto ilivyo tamu?”

IRYN: “Ni kitamu balaa”

MIMI: “Iryn unaonekana wa kizungu ila mambo yako ni ya kiswahili sana.”

IRYN: “Binadamu anatakiwa kuishi kutokana na mazingira.”

Na muda huu nilimwita dada na nikamwambia afunge takeaway ya kitimoto kingine kwaajili yangu na Iryn.

Tuliondoka Juliana na muda huu ilikuwa saa 12 jioni tayari. Nilimpeleka Iryn Kijitonyama na baada ya kuwasili pale tulishuka na kwenda ndani lakini gari niliiacha nje getini.

Baada ya kuingia ndani kulikuwa na bahasha mezani seblen, aliifungua na kutoa karatasi zilizokuwepo mle ndani na alinikabidhi. Na mimi muda uleule nikaanza kuzikagua ili nijue ni nini.

IRYN: “Insider nataka tusign deal mpya na hiyo ni Mikataba ya kazi, kwasasa utakuwa kama Operation Manager wa kampuni, kazi yako itakuwa ni kuchukua mizigo kule bandarini na kusupply kwenye saloon kama unavyofanyaga siku zote. Saloon zote kwa sasa nimeamua ziwe chini ya kampuni moja ile ya Masaki ili usimamizi uwe rahisi.”

MIMI: “Umefanya jambo zuri sana.”

IRYN: “Insider truly, I need you back, uendeleze ulikoishia please.”

MIMI: “Iryn mimi kama umenipa mkataba wa kurudi kazini siwezi kukataa kazi, nashukuru kwa kukuona umuhimu wangu na kuamua kunirudisha.”

IRYN: “Thank you Insider, ondoka na huo mkataba kausome vizuri afu utaurudisha ukija tena huku.”

MIMI: “Sawa haina shida Bossy wangu, hata kesho tutaonana.”

Ukweli baada ya Iryn kunipa mkataba wa kurudi mzigoni nilifurahi sana maana Biashara ya Uber ilikuwa ngumu sana kipindi hiki mambo yalikuwa ni magumu sana. Sikuwa na jeuri ya kukataa ule mkataba kwakweli.

Nilitumia dakika 45 kukaa pale kwa Iryn na niliondoka kurudi nyumbani moja kwa moja. Ndani ya dakika 20 nilikuwa niko home tayari nilipark gari vizuri na nikaingia ndani.

WIFE: “Ndo umetoka kumsindikiza Bossy wako?” Huku akionesha tabasamu la kinafiki.

MIMI: “Kuna sehemu nilipitia.”

WIFE: “Iryn ni mtu mzuri nimeshinda naye hapa toka asubuhi, tulikwenda sokoni na nikamfundisha kupika majani ya maboga.”

MIMI: “Leo umeamua kusema ni mtu mzuri wakati unasemaga humwamini.”

WIFE: “She is a nice person.”

MIMI: “Aya bwana.” Na mimi nikaingia ndani kuoga.”

Baada ya kuoga na kujiandaa niliamua kuupitia ule mkataba vizuri. Kwa ufupi mkataba ulikuwa mzuri na uli onesha mimi kuwa “Operation manager” na majukumu yangu ni pamoja na kuchukua mizigo bandarini na kupeleka kwenye saloon zote, jukumu lingine ni pamoja na kurecord mizigo yote inayoingia na kutoka.

Mkataba pia ulionesha ratiba za usiku zingeendelea kama kawaida na suala la mshahara ilikuwa ni 2,000,000/= kwa mwezi. Nikapiga hesabu nikitoa na cost za mafuta na mambo mengine siwezi kosa 1,500,000/= kama faida. Niiliona hili ni deal zuri sana na nikajisemea mwenyewe kwasasa hata nisipopiga bolt na uhakika wa maisha na deni la Mama wa2 nitalilipa haraka.

Baada ya kuupitia ule mkataba vizuri nili u-sign na nikaurudisha kwenye bahasha.

Kesho yake ambayo ni Jumapili nilikwenda kanisani asubuhi misa ya saa1 na baada ya kurudi niliamua kumpigia Prisca lakini bado alikuwa kaniblock. Na muda huu niliamua kumpigia kwa namba nyingine, na ndani ya muda mfupi alipokea simu.

MIMI: “Nambie bae, naona umeamua kuniblock. Kama umeniacha nambie bhana.”

PRISCA: “Insider I need to stay away from you.”

MIMI: “Naona unafanya maamuzi kwa kutumia hasira ila unaonekana unanipenda. Acha kuumiza hisia zako bwana, kesho nitaaa…..”

Prisca alikata simu wakati nikiendelea kuongea na mimi nikaamua kuachana naye lakini nikawaza kesho ambayo ni Jumatatu nitakwenda chuo kumcheki.

Mchana nilitoka home na nilimwaga wife kuwa natoka na moja kwa moja nilikwenda kwa Iryn. Baada ya kufika nilifungua geti na nikaingiza gari ndani. Nilikuwa bado navimba na Dualis gari ya Mzee maana alinambia niendelee kuitumia huku napima performance yake barabarani.

Wakati nimeshuka kwenye gari nilimwona yule jamaa jirani na nikamsalimia nikafungua mlango nikaingia ndani. Huyu mwamba alikuwaga ananiangalia sana kila nikija pale kwa Iryn, ni kama alikuwaga anajua mimi ndo nakula mrembo Iryn.

Baada ya kuingia ndani nilimkuta Iryn chumbani na nilisikia akiniita.

“Insider…… njoo huku ndani.”

Na mimi nilikwenda moja kwa moja mpaka chumbani kwake na nikaingia ndani. Nilimkuta akipanga nguo zake muda huu,

MIMI: “Nambie mummy, nakuona upo busy.”

IRYN: “Ndomana nimekuita huku tuendelee na mazungumzo wakati napanga nguo.”

MIMI: “Hujatoka leo?”

IRYN: “Nilitoka na Mama Janeth alikuja leo hapa home.”

MIMI: “Anasemaje ni kitambo sijamwona.”

IRYN: “Alikuwa anakuulizia pia, Insider mwezi huu nahama hapa itabidi unisaidie kutafuta apartment nyingine. Nataka sehem iliyotulia.”

MIMI: “Maeneo yaliyotulia ni Masaki, Oysterbay labda huko.”

IRYN: “Insider huko hapana, unajua huko kuna wafanyakazi wengi sana wa Organization X ambao wananifahamu hiki ndo najaribu ku-avoid.”

MIMI: “Ok hapo nimekuelewa, maeneo mengine ni Mbezi Beach, Mikocheni na Msasani.”

IRYN: “Atleast maeneo hayo, nataka tukitoka hapa twende saloon kule Mikocheni, niwapelekee na simu wale dada zangu.”

MIMI: “Sawa haina shida na mimi nilitoka kwenda seblen.”

Baada ya masaa 2 tulitoka pale kwake na uelekeo ulikuwa ni Mikocheni, na muda huu alikuwa kazishika simu mbili mkononi “Iphone 12 Pro Max”.

MIMI: “Sasa unawapa watu wa2 tu huoni kama wengine watajisikia vibaya?”

IRYN: “Insider hata maofisini kuna kuwaga na best worker na anapata zawadi mbele ya wenzake. Hiki nachofanya kitapelekea na wengine wafanye kazi kwa bidii, kila unayemwona pale ana target yake ya kila mwezi na pia nje na mshahara huwa nawapa bonus kulingana na kazi.”

MIMI: “Hapo sawa so umepanga kuwapa akina nani?”

IRYN: “Nitampa Lucy na Jacky”
(Lucy ni yule dada ambaye huwa anakuja na kuondoka na gari ya mzigo.)

MIMI: “Nilijua Lucy hawezi kukosa hapa.”

IRYN: “She is working too hard, anan-inspire kwakweli. Hizi simu pia zitawasaidia kwenye kupiga picha na kupost kwenye mitandao.”

MIMI: “Ni kweli kabisa.”

Tuliwasili pale Mikocheni na Iryn alitoka akaingia ndani akiwa amezishika simu mkononi na baada ya dakika 10 alirudi na akaingia kwenye gari.

MIMI: “Vipi ushawapa simu best worker wako?”

IRYN: “Nimewapa tayari na wamefurahi kweli. Hata wewe nilikupa lakini ulimpa mke wako, Insider kuna kitu nimekigundua kutoka kwako unaipenda sana familia yako.”

MIMI: “Unajua kwanini nilimpa simu wife? Niliona simu ya thamani kama ile kwa mimi kutembea nayo barabarani ingeweza hata ibiwa, ni risk kubwa sana kuifanyia Uber, niliona bora atumie wife tu kwa usalama zaidi.”

IRYN: “Hayo ni wewe mimi nilikupa na siwezi kuingilia matumizi yako, tunakwenda wapi now?.”

MIMI: “Nakusikiliza Bossy wangu.”

IRYN: “Natamani sana twende Beach”

MIMI: “Ok ngoja nikupeleke sehemu moja hivi ukainjoy but don’t ask me where to.”

IRYN: “No problem lets go.”

Tuliondoka pale Mikocheni na break ilikuwa Upepo garden, niliamua kumpeleka huku nilijua lazima angepakubali tu.

Baada ya kupark gari tuliingia ndani na tulikwenda kukaa sehemu nzuri ambayo ipo karibu na bahari, na muda huu ilikuwa jioni tayari na kulikuwa na kaupepo kazuri ka bahari kakipuliza.

IRYN: “Insider this place is amazing, I’m starting to like this place.”

MIMI: “Pametulia sana ila si unaona watu wamekaa ki-couples?”

IRYN: “Hahahahaaa so unataka kusema this area is special for couples?”

MIMI: “Indeed”

Muda huu mhudumu alifika kutusikiliza na alikuwa ni pini na wote tuliishia kuagiza wine na seafood. Sasa wakati dada anatoka eneo letu mimi niliishia kumwangalia akiondoka.

IRYN: “Insider umeshampenda dada wa watu.”

MIMI: “Hamna bhana namfananisha kama nilishawahi kumwona sehemu.”

IRYN: “Mmh acha uongo bhana, sema umemtamani dada wa watu.”

MIMI: “Nishindwe kukutamani wewe nimtamani yule dada?, kwanza kwako hata theluthi hafikii.”

Na muda huu Iryn aliishia kunipiga na kibao cha kichokozi.

Tulikaa sana na kadri muda unavyozidi kwenda ndo watu walizidi kumiminika kwa wingi. Kwa Jumapili Upepo garden panakuwaga na watu sana. Na sisi hatukutaka kukaa sana eneo hili hivyo tuliamua kuondoka.

Saa 3 ndo muda tuliotoka pale na nilimpeleka Iryn kwake na mimi nikarudi home kulala ili niwai kujipanga na majukumu ya jumatatu.

Kwa upande mwingine Iryn alifurahi sana baada ya kumrudishia mkataba na ku-sign na tulikubaliana jumanne ningeanza kufata mizigo bandarini.

Baada ya kurudi home nilikaa chini na nikapanga mipango mipya, sikutaka kufanya makosa tena kipindi hiki. Suala la Bajaji ya wife nilikuwa nimekamilisha nikapata wazo nimfungulie Junior account ya bank na iwe fixed account. Niliwaza nikipata pesa niwe namuwekea dogo hata kama kidogo.

TO BE CONTINUED.
 
Naam shusha nondo mkuu
 
Wakwanza kuimaliza [emoji23][emoji23]
 
EPISODE 30

“A TRUE STORY BY INSIDER”

Jumatatu majukumu yangu yaliendelea kama kawaida ile asubuhi na baada ya kuwadrop Maggy niliamua kwenda kupata breakfast.

Wakati nikipata chai niliweza kuwasiliana na Mzee, aliulizia kuhusu ubora wa gari na akasema jumanne jioni kama atapata nafasi bhasi atanipigia simu ili tuonane.

Saa 6 mchana niliwafata madogo wa kule Masaki na nikawapeleka makwao, sasa wakati namshusha mtoto wa mwisho (Carol) mama yake ndo alikuja kufungua geti. Na mimi nilihisi ni Mama yake Carol, na alikuja moja kwa moja mpaka dirishani.

MAMA CAROL: “Habari yako Insider pole na kazi.”

CAROL: “Good afternoon mom.”

MAMA CAROL: “Nenda ndani kabadilishe nguo afu ukale, nakuja.”

CAROL: “Uncle Insider byee.” Wakati anaondoka tukagonga tano.

MIMI: “Salama mama, leo ndo nakuona kwa mara ya kwanza.”

MAMA CAROL: “Napataga taarifa zako kutoka kwa Carol, I know you takecare about her. Thank you so much for your kind.”

MIMI: “Usijali dada yangu ni kazi yangu lazima nimjali.”

MAMA CAROL: “Sasa utanipa namba yako maana nakuwaga na kazi nyingi za kufanya.”

MIMI: “Haina shida.”

Nilimpa namba yangu na akanipigia simu ili nisave yake na baada ya hapo niliaga na kundoka eneo hili.

Na muda huu nilipata mteja alikuwa anakwenda Landmark hotel ya pale external Ubungo, tulitumia dakika 40 kuwasili pale hotelini.

baada ya kumshusha mteja, muda huu niliwaza kuonana na Prisca maana nilikuwa nimem-miss afu nilikuwa na upwiru. Nikampigia simu hakupokea kama kawaida yake, nilijua Prisca anataka nimbembeleze tu, na mimi suala la kubembeleza kama mtihani ningepata zero.

Baada ya kuona hataki kupokea simu nilimtumia text,
“Nakuja hapo chuo kuonana na wewe kama hutaki nije nambie nisije, nafikiri hii ndo itakuwa text yangu ya mwisho kukutumia.”

Nilikuwa bado niko pale hotelin kwenye parking za nje, nilisubiri majibu kwa dakika 10 lakini sikupata mrejesho wowote, nikaamua kuondoka nikatege request pale Mlimani city.

Wakati niko kwenye fly-over Prisca alinipigia simu na nikapokea simu yake,

“Insider am sorry nilikuwa class upo wapi now?”

“Niko Ubungo hapa”

“Bhasi njoo utanikuta hapa utawala.”

Ndani ya dakika 5 nilikuwa nimefika pale Utawala na alikuwa na best yake ambaye nilikuwa namwona kwa mara ya kwanza machoni mwangu. Nili wabeba na lengo langu tukapate lunch pamoja maana nilikuwa na njaa sana.

“Insider mambo, unatupeleka wapi?”

“Nataka twende UDASSA tukale mshakula?”

“No twende tukale.”

Ndani ya dakika kadhaa tulikuwa tuko pale Udassa na tuliagiza chakula kwa pamoja.

Muda huu nilianza kumshushia mabomu mbele ya rafiki yake hata sikujali.

MIMI: “Kwanini unaniblock? Huoni kama unafanya utoto?”

Na muda huu best yake alitoa kicheko cha kinafiki.

PRISCA: “Insider mimi nafikiri tutaongea badae, kwanza ulinikera ujue.”

MIMI: “Badae kwani unamwogopa rafiki yako? nataka aelewe utoto unaoufanya, unajiumiza mwenyewe ujue shauri yako.”

Prisca hakutaka kusema jambo lolote muda ila alikuwa mdogo kama priton.

MIMI: “Umemaliza classes?”

PRISCA: “Na kipindi cha saa 9 mpaka 11 jioni.”

BEST: “Hiki kipindi kina kera sana Prisca natamani kudoji.”

PRISCA: “Eva twende Ticha hatabiriki yule anaweza toa quiz.”

MIMI: “Hujanitambulisha best yako.”

PRISCA: “Insider huyu anaitwa Eva ni best yangu sana. Eve huyu anaitwa Insider ni Mpenzi wangu.”

EVA: “Nimefurahi kukufahamu Insider shemela wangu, nilikuwa nakusikia tu.”

MIMI: “Ahsante sana Eva best yako alinikera sana.”

EVA: “Anakupenda ndomana sisi wanawake tukimpenda mtu tunakuwa na wivu naye.”

MIMI: “Na wewe unawivu kwa boyfriend wako?”

EVA: “Mimi niko single maisha yangu ya mahusiano ni complicated sana.”

MIMI: “Sema wewe umeamua kuwa complicated na sio mahusiano.”

EVA: “Kweli Insider”

PRISCA: “Insider tupeleke class tunaelekea thieta”

MIMI: “Sawa mimi nitakuwa around nakusubiri.”

Nilifanya malipo na tukaondoka kuelekea venue za thieta nikawadrop na mimi nilikwenda kuonana na Lecturer ambaye ni rafiki yangu sana toka nikiwa chuo enzi hizo.

Nilikaa pale na Lecturer tukipiga story mbalimbali na yeye alikuwa akinishauri sana niendelee na Masters.

Saa 11 Prisca alinipigia simu kuwa ametoka class hivyo nikamchukue ili tuondoke. Nilimwaga Lecturer na mimi nikaondoka kumchukua Prisca na alikuwa na rafiki yake Eva.

“Insider, Eva tutamwacha hapo Mlimani city.”

Tuliondoka pale na baada ya kumdrop Eva pale Mlimani city sisi tuliendelea na safari ya kwenda Mbezi Beach. Sasa muda huu njiani nilikuwa nawaza namna ya kumla Prisca nikaona bila kumywesha wine itakuwa ngumu maana nilikuwa namwekea mikono mapajani lakini anaitoa. Na Prisca alionekana kuwa serious sana muda huu.

Nilikata kona pale Rainbow kuelekea beach.

PRISCA: “Insider tunakwenda wapi huku?”

MIMI: “Beach au hutaki?”

PRISCA: “No Insider nataka niwahi home leo, na assigment za kufanya.”

MIMI: “Leo ndo una assignment sindio?”

Na mimi sikutaka kumsikiliza niliendelea kukanyaga mafuta mpaka tukafika pale kwenye ile beach. Ukweli hii beach sikumbuki jina lake inaitwaje kwakweli.

Tuliagiza wine na tuliendelea na story pale,

PRISCA: “Hivi Insider ulikuwa na maana gani kuanza kuongea yale maneno mbele ya Eva?”

MIMI: “Mbona unaogopa au kuna siri anakufichia?

PRISCA: “Siri gani? What are you talking about?”

MIMI: “Why are you afraid? you look so nervous.”

PRISCA: “Siwezi kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja, ila wewe unaweza kuwa na wanawake wa2 kwa wakati mmoja.”

MIMI: “Prisca naomba nikwambie Ukweli waziwazi hata kama nina Wanawake 2 ila tambua wote nawapenda na nina wivu kote. Sasa nikuone au nijue una mwanaume mwingine hutaamini nitakacho kufanya.”

PRISCA: “Insider I’m not a prostitute please.”

MIMI: “I didn’t call you that.”

PRISCA: “So what do you mean?”

MIMI: “I mean I don’t want to see you with another Man.”

PRISCA: “I can’t have another Man.”

MIMI: “Baada ya hapa si tunaondoka wote?”

PRISCA: “No I have assignments to do”

MIMI: “Prisca 1 hour inatosha sana kwangu please”

PRISCA: “I can’t do sex today maybe next time.”

MIMI: “It’s alright.”

PRISCA: “Let’s go muda unakwenda ujue then kazi zinanisubiri.”

Nilihisi Prisca ananibania tu ila sio kama alikuwa hataki ila alikuwa anataka kunikomoa. Tuliamua kuondoka muda ule maana giza lilikuwa lishaingia tayari.

Tulitoka pale nje na kwenda Parking na eneo hili lilionekana kutulia sana na mimi nilikuwa nimepark gari karibu na ukuta.

Wakati tumefika kwenye gari Prisca alizunguka upande wa kushoto ambako kulikuwa na ukuta na mimi nikamfata hukohuko upande wake kabla hata hajaingia kwenye gari.

Baada ya kumsogelea nilimbana kwenye gari vizuri kwa mikono

“Insiderrr unatak…kufanya nini….”

Mimi muda huu hata sikuwa nikimsikia bali nilianza kuzitomasa nazi zake, japo alikuwa akitoa upinzani ila alianza kuelewa mapigo taratibu na hapo bila kuchelewa nikampa ulimi. Baada ya mkono kufika ikulu ndo alipata akili akawa ananitoa dizaini kama hataki niendelee na lile jambo.

Nilimbana tena vizuri, mtoto laini kama yule asingeweza kunizidi nguvu. Na uzuri alikuwa amevaa gauni hivyo kwangu ilikuwa ni ushindi tayari. Na muda huu niliendelea kutalii ikulu yake vizuri kabisa na yeye alianza kutoa chem chem kwa mbali na nikasema hapa inatosha kuweka mti wangu ndani.

Muda huu nilikuwa niko sayari nyingine kabisa nilikuwa sielewi na mnara wa voda ulikuwa umesimama wima. Palepale niliibetua gauni yake kwa juu na nikamuinamisha chini kwa shuleni tulikuwaga tunaita shika buti.

“Insider please don’t do…..”

Na muda huu nilikuwa nishapenyeza mti wangu ndani muda sana na ulikuwa ukipata joto asili, na baada ya kumwagalia bustani yake nilijikuta akili ishaanza kurudi kwa kasi. Tulijiweka sawa kwa haraka sana muda ule na wakati narudi upande wangu ili niingie kwa gari kuna dada alikuwa anakuja upande wetu, yeye alikuwa amepark gari baada ya sisi. Dada alihisi kuna jambo lilikuwa likiendelea lakini mimi hata sikujali wala nini maana simjui.

Baada ya kuingia kwenye gari Prisca hakuonesha kumind hata kidogo.

PRISCA: “Hivi Insider ulikuwa unajiamini nini pale?”

MIMI: “Nimekwambia niko horny lakini huelewi hunionei hata huruma, naona ulikuwa unataka hicho nilichofanya.”

PRISCA: “Umeshindwa kuvumilia?”

Na muda huu Prisca alifungua zip ya surual yangu na kuendelea kuchezea bakora yangu, sikutaka kuuliza tena kama mwanaume nilitambua anachotaka hivyo niliendesha gari mpaka Lodge.

Naam, ni mtanange uliondelea kwa saa 1 na mechi ilikuwa ni ya kasi balaa, maana timu zote zilihitaji ushindi na mechi ilimalizika kwa sare. Muda huu ilikuwa saa 3 tayari, hivyo nilimrudisha Prisca kwao na yeye alionekana kubadilika sana hata furaha yake ilirudi kwa kasi sana muda huu.

Baada ya kurudi home kama kawaida niliingia bafuni kuoga na baada ya kutoka nilikuta missed call za Iryn, Mzee Pama na Mama yangu Mzazi na kwa upande wa Whatsapp nilikuta Muajemi kanipigia pia.

Na muda huu niliwaza nianze na nani lakini nilianza na mama yangu. Tuliongea na mama mambo mengi sana hasa ya kifamilia na mama alinisisitiza sana kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.

Baada ya hapo nilimpigia simu Iryn na yeye alisema kesho kuna kazi natakiwa kwenda kuonana na Agent Posta kwaajili ya kuchukua mizigo.

Mzee Pama sikutaka kumpigia simu maana ulikuwa usiku, niliona sio heshima na busara hivyo nitampigia simu asubuhi.

Nilimpigia simu Muajemi na akasema Ijumaa mapema atakuwa Dar hivyo tutaonana akirudi. Nilipanga kumpiga kizinga cha pesa Muajemi ila niliwaza bila kumshawishi Iryn kwenda Zanzibar itakuwa ngumu na niliwaza siwezi ingilia maamuzi yake kwenye hili jambo.

********

Asubuhi nikiwa Posta niliwasiliana na Mzee Pama akanambia jumatano mchepuko wake anarudi hivyo nianze kuandaa mazingira mapema ya Driving school. Na mimi nikamwambia nitakwenda kufanya usajili leoleo akanambia kama kuna lolote nimjulishe.

Mchana Prisca alinipigia simu na baada ya kupokea tuliongea mengi tu na aliniuliza nina agenda gani na Mary.

MIMI: “Mary anataka nimpeleke Mikumi mwezi huu.”

PRISCA: “Honey naomba huo mpango ughairi atafute mtu mwingine wa kumpeleka sawa?”

MIMI: “Nilimuahidi lakini ujue, sitaenda usiwe na wasiwasi.”

PRISCA: “Sawa honey byee, see you later.”

Jioni mida ya saa 10 niliwasiliana na Iryn na akanipa namba za Agent maana alisema ni agent mwingine sio yule wa sikuzote.

Nilimpigia simu agent ni dada aliyepokea simu nikajitambulisha kwake na akasema niende ofisi zao zipo palepale Posta. Baada ya kufika pale alinipokea na nikaomba documents za mizigo.

MIMI: “Mzigo uko wapi?”

DADA: “Kuna store yetu ipo Kurasini nafikiri twende kule, mzigo ni mwingi inabidi utafute gari kubwa.”

MIMI: “Gari kubwa fuso au Canter?”

DADA: “Canter inatosha sana kuna Dereva nina kuunganisha naye muelewane.”

MIMI: “Kama Canter haina haja nina mtu wangu hapahapa Posta, acha niwasiliane naye nione namtumiaga siku zote.”

Niliwasiliana na Dereva wangu akanambia yuko around na leo hajapata kazi kabisa hivyo yuko tayari kufanya kazi. Na muda huu nilimpigia simu Iryn ili kumwuliza Mzigo unakwenda wapi na akasema wote unakwenda Masaki hivyo nitawasiliana na Mama Janeth.

Tulitoka pale Posta ofisini nikiwa na dada na tulikwenda moja kwa moja mpaka Kurasini uzuri store yao haikuwa mbali, ilikuwa Kurasini mwanzoni kabisa.

Dereva nilikuwa nishamwelekeza tayari hivyo tulimkuta pale na kazi ya upakiaji iliendelea, na wakati box zikipakiwa nilikuwa makini sana kuhesabu na baada ya kumaliza, hesabu ilikuwa sahihi kabisa.

Na muda huu Iryn alikuwa kashanitumia namba za Mama Janeth na baada ya kumpigia simu na kujitambulisha alinambia niende kwake moja kwa moja.

Ndani ya dakika 45 nilikuwa nimewasili pale Masaki na mzigo na tuliingia ndani kwa mama Janeth. Mzigo ndo ulikuwa unahifadhiwa hapa na palepale ushushaji uliendelea, kwa nje kulikuwa na chumba kikubwa kama store ndo mzigo ulikuwa unawekwa humo.

Na muda huu mimi nilikuwa nikiongea na Mama Janeth.

“Where have you been?, ni muda sijakuona.”

“Mama nilikuwa mkoani kusalimia wazazi mara moja.”

“Karibu sana, Iryn kashanambia masuala yote ya logistic na mizigo yatakuwa chini yako.”

“Ndiyo mama. Ahsante.”

Mama Janeth alikuwa ni mzungu ila alikuwa anakijua Kiswahili vizuri kabisa. Na muda huu Iryn alinipigia simu akanambia niende na box moja pale kwake.

Baada ya kumaliza kushusha mizigo nilifanya malipo kwa Dereva na mimi nikaaga kwa Mama Janeth. Nilitoka pale na break ilikuwa Kijitonyama kwa Iryn, nilitoa lile box na nikaliweka pale nje kibarazani.

Niliingia ndani na Iryn alikuwa jikoni akipika muda huu,

MIMI: “Ukiwa Jikoni unakuwa sexy sana.”

Na muda huu alikuwa akiimba wimbo wa Drake- “Don’t matter to me” ambao pia ulikuwa ukikika seblen kwenye speaker. Ni moja ya nyimbo ambayo alikuwa anapenda sana kuusikiliza kwenye playlist yake.

IRYN: “Insider pole na kazi, upo sharp sana mara hii usharudi Posta na kushusha mizigo.”

MIMI: “Mimi si Mjeshi? au umesahau tayari.”

IRYN: “Nakumbuka”

MIMI: “Unanipikia nini? Maana naskia njaa balaa.”

IRYN: “Napika makaroni ya nyama, hivi Insider una wasiliana na Muajemi?”

MIMI: “Last time kuzungumza naye alinambia yuko Saudia, vipi kuna nini?”

IRYN: “Anataka twende Zanzibar, mimi na wewe.”

MIMI: “Ohh wewe unaonaje?”

IRYN: “Nakusikiliza wewe twende au laah.”

MIMI: “Mimi nakusikiliza wewe Bossy wangu ukisema tunakwenda mimi siwezi kupinga ukisema No pia siwezi kubisha.”

IRYN: “Ngoja niangalie timetable zangu zikoje wewe unapenda kwenda?”

MIMI: “Mimi napenda maana sijawahi fika kabisa ndo itakuwa mara yangu ya kwanza.”

IRYN: “Mimi pia nilikwenda muda sana, afu nataka kuna jambo nilifanye ni ratiba yangu kila mwaka.”

MIMI: “Ni jambo gani?”

IRYN: “Itabidi twende kituo chochote cha watoto yatima chenye uhitaji sana. Naomba ufanye research Insider nakupa hii task.”

MIMI: “Haina shida nitafanya research na nitakutajia vituo wewe uchague.”

Nilikaa pale kwa Iryn mpaka saa 2 usiku na tulionekana kumisiana sana maana tulikuwa tukipiga sana story.

Nilirudi home muda huo na niliweza kuongea na Aggy na akanambia nijitahidi nimalizie finishing ile nyumba na yeye atakuwa mteja wangu.

Na muda huu mama J aliingia chumbani na alikuwa akiniangalia wakati naongea na simu.

WIFE: “Baba J unaongea na nani?”

MIMI: “Naongea na best yangu wa Dodoma ananisaidia kuangalia nyumba kule.”

WIFE: “Itabidi twende wote Dodoma namimi nikapajue.”

MIMI: “Sawa haina shida tutaangalia mwisho wa mwezi huu.”

WIFE: “Dogo anaendeleaje na bajaji?”

MIMI: “Amenambia anaendelea vizuri na weekend hii atatuma hela atakuwa anaingiza kwenye account yako. Naomba hizo Pesa uzitumie vizuri zikusaidie matumizi yako binafsi, mshahara wa dada, mtoto na masuala ya chakula hapa nyumbani. Mimi kwasasa nipambane na madeni.”

WIFE: “Sawa mmeingia mkataba wa kiasi gani kwa siku?”

MIMI: “25 kwasiku tumekubaliana hivyo”

Na muda huu niliandaa report ya kazi ya leo na kumtumia Iryn.

Usiku huu pia Iryn alipiga simu na akanambia nijiandae ijumaa tunakwenda Zanzibar wote.

Kumekucha, IRYN kakubali kwenda Zanzibar unafikiri nini kiliendelea kule?,

EPISODE 31[emoji116]
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…