EPISODE 30
“A TRUE STORY BY INSIDER”
Jumatatu majukumu yangu yaliendelea kama kawaida ile asubuhi na baada ya kuwadrop Maggy niliamua kwenda kupata breakfast.
Wakati nikipata chai niliweza kuwasiliana na Mzee, aliulizia kuhusu ubora wa gari na akasema jumanne jioni kama atapata nafasi bhasi atanipigia simu ili tuonane.
Saa 6 mchana niliwafata madogo wa kule Masaki na nikawapeleka makwao, sasa wakati namshusha mtoto wa mwisho (Carol) mama yake ndo alikuja kufungua geti. Na mimi nilihisi ni Mama yake Carol, na alikuja moja kwa moja mpaka dirishani.
MAMA CAROL: “Habari yako Insider pole na kazi.”
CAROL: “Good afternoon mom.”
MAMA CAROL: “Nenda ndani kabadilishe nguo afu ukale, nakuja.”
CAROL: “Uncle Insider byee.” Wakati anaondoka tukagonga tano.
MIMI: “Salama mama, leo ndo nakuona kwa mara ya kwanza.”
MAMA CAROL: “Napataga taarifa zako kutoka kwa Carol, I know you takecare about her. Thank you so much for your kind.”
MIMI: “Usijali dada yangu ni kazi yangu lazima nimjali.”
MAMA CAROL: “Sasa utanipa namba yako maana nakuwaga na kazi nyingi za kufanya.”
MIMI: “Haina shida.”
Nilimpa namba yangu na akanipigia simu ili nisave yake na baada ya hapo niliaga na kundoka eneo hili.
Na muda huu nilipata mteja alikuwa anakwenda Landmark hotel ya pale external Ubungo, tulitumia dakika 40 kuwasili pale hotelini.
baada ya kumshusha mteja, muda huu niliwaza kuonana na Prisca maana nilikuwa nimem-miss afu nilikuwa na upwiru. Nikampigia simu hakupokea kama kawaida yake, nilijua Prisca anataka nimbembeleze tu, na mimi suala la kubembeleza kama mtihani ningepata zero.
Baada ya kuona hataki kupokea simu nilimtumia text,
“Nakuja hapo chuo kuonana na wewe kama hutaki nije nambie nisije, nafikiri hii ndo itakuwa text yangu ya mwisho kukutumia.”
Nilikuwa bado niko pale hotelin kwenye parking za nje, nilisubiri majibu kwa dakika 10 lakini sikupata mrejesho wowote, nikaamua kuondoka nikatege request pale Mlimani city.
Wakati niko kwenye fly-over Prisca alinipigia simu na nikapokea simu yake,
“Insider am sorry nilikuwa class upo wapi now?”
“Niko Ubungo hapa”
“Bhasi njoo utanikuta hapa utawala.”
Ndani ya dakika 5 nilikuwa nimefika pale Utawala na alikuwa na best yake ambaye nilikuwa namwona kwa mara ya kwanza machoni mwangu. Nili wabeba na lengo langu tukapate lunch pamoja maana nilikuwa na njaa sana.
“Insider mambo, unatupeleka wapi?”
“Nataka twende UDASSA tukale mshakula?”
“No twende tukale.”
Ndani ya dakika kadhaa tulikuwa tuko pale Udassa na tuliagiza chakula kwa pamoja.
Muda huu nilianza kumshushia mabomu mbele ya rafiki yake hata sikujali.
MIMI: “Kwanini unaniblock? Huoni kama unafanya utoto?”
Na muda huu best yake alitoa kicheko cha kinafiki.
PRISCA: “Insider mimi nafikiri tutaongea badae, kwanza ulinikera ujue.”
MIMI: “Badae kwani unamwogopa rafiki yako? nataka aelewe utoto unaoufanya, unajiumiza mwenyewe ujue shauri yako.”
Prisca hakutaka kusema jambo lolote muda ila alikuwa mdogo kama priton.
MIMI: “Umemaliza classes?”
PRISCA: “Na kipindi cha saa 9 mpaka 11 jioni.”
BEST: “Hiki kipindi kina kera sana Prisca natamani kudoji.”
PRISCA: “Eva twende Ticha hatabiriki yule anaweza toa quiz.”
MIMI: “Hujanitambulisha best yako.”
PRISCA: “Insider huyu anaitwa Eva ni best yangu sana. Eve huyu anaitwa Insider ni Mpenzi wangu.”
EVA: “Nimefurahi kukufahamu Insider shemela wangu, nilikuwa nakusikia tu.”
MIMI: “Ahsante sana Eva best yako alinikera sana.”
EVA: “Anakupenda ndomana sisi wanawake tukimpenda mtu tunakuwa na wivu naye.”
MIMI: “Na wewe unawivu kwa boyfriend wako?”
EVA: “Mimi niko single maisha yangu ya mahusiano ni complicated sana.”
MIMI: “Sema wewe umeamua kuwa complicated na sio mahusiano.”
EVA: “Kweli Insider”
PRISCA: “Insider tupeleke class tunaelekea thieta”
MIMI: “Sawa mimi nitakuwa around nakusubiri.”
Nilifanya malipo na tukaondoka kuelekea venue za thieta nikawadrop na mimi nilikwenda kuonana na Lecturer ambaye ni rafiki yangu sana toka nikiwa chuo enzi hizo.
Nilikaa pale na Lecturer tukipiga story mbalimbali na yeye alikuwa akinishauri sana niendelee na Masters.
Saa 11 Prisca alinipigia simu kuwa ametoka class hivyo nikamchukue ili tuondoke. Nilimwaga Lecturer na mimi nikaondoka kumchukua Prisca na alikuwa na rafiki yake Eva.
“Insider, Eva tutamwacha hapo Mlimani city.”
Tuliondoka pale na baada ya kumdrop Eva pale Mlimani city sisi tuliendelea na safari ya kwenda Mbezi Beach. Sasa muda huu njiani nilikuwa nawaza namna ya kumla Prisca nikaona bila kumywesha wine itakuwa ngumu maana nilikuwa namwekea mikono mapajani lakini anaitoa. Na Prisca alionekana kuwa serious sana muda huu.
Nilikata kona pale Rainbow kuelekea beach.
PRISCA: “Insider tunakwenda wapi huku?”
MIMI: “Beach au hutaki?”
PRISCA: “No Insider nataka niwahi home leo, na assigment za kufanya.”
MIMI: “Leo ndo una assignment sindio?”
Na mimi sikutaka kumsikiliza niliendelea kukanyaga mafuta mpaka tukafika pale kwenye ile beach. Ukweli hii beach sikumbuki jina lake inaitwaje kwakweli.
Tuliagiza wine na tuliendelea na story pale,
PRISCA: “Hivi Insider ulikuwa na maana gani kuanza kuongea yale maneno mbele ya Eva?”
MIMI: “Mbona unaogopa au kuna siri anakufichia?
PRISCA: “Siri gani? What are you talking about?”
MIMI: “Why are you afraid? you look so nervous.”
PRISCA: “Siwezi kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja, ila wewe unaweza kuwa na wanawake wa2 kwa wakati mmoja.”
MIMI: “Prisca naomba nikwambie Ukweli waziwazi hata kama nina Wanawake 2 ila tambua wote nawapenda na nina wivu kote. Sasa nikuone au nijue una mwanaume mwingine hutaamini nitakacho kufanya.”
PRISCA: “Insider I’m not a prostitute please.”
MIMI: “I didn’t call you that.”
PRISCA: “So what do you mean?”
MIMI: “I mean I don’t want to see you with another Man.”
PRISCA: “I can’t have another Man.”
MIMI: “Baada ya hapa si tunaondoka wote?”
PRISCA: “No I have assignments to do”
MIMI: “Prisca 1 hour inatosha sana kwangu please”
PRISCA: “I can’t do sex today maybe next time.”
MIMI: “It’s alright.”
PRISCA: “Let’s go muda unakwenda ujue then kazi zinanisubiri.”
Nilihisi Prisca ananibania tu ila sio kama alikuwa hataki ila alikuwa anataka kunikomoa. Tuliamua kuondoka muda ule maana giza lilikuwa lishaingia tayari.
Tulitoka pale nje na kwenda Parking na eneo hili lilionekana kutulia sana na mimi nilikuwa nimepark gari karibu na ukuta.
Wakati tumefika kwenye gari Prisca alizunguka upande wa kushoto ambako kulikuwa na ukuta na mimi nikamfata hukohuko upande wake kabla hata hajaingia kwenye gari.
Baada ya kumsogelea nilimbana kwenye gari vizuri kwa mikono
“Insiderrr unatak…kufanya nini….”
Mimi muda huu hata sikuwa nikimsikia bali nilianza kuzitomasa nazi zake, japo alikuwa akitoa upinzani ila alianza kuelewa mapigo taratibu na hapo bila kuchelewa nikampa ulimi. Baada ya mkono kufika ikulu ndo alipata akili akawa ananitoa dizaini kama hataki niendelee na lile jambo.
Nilimbana tena vizuri, mtoto laini kama yule asingeweza kunizidi nguvu. Na uzuri alikuwa amevaa gauni hivyo kwangu ilikuwa ni ushindi tayari. Na muda huu niliendelea kutalii ikulu yake vizuri kabisa na yeye alianza kutoa chem chem kwa mbali na nikasema hapa inatosha kuweka mti wangu ndani.
Muda huu nilikuwa niko sayari nyingine kabisa nilikuwa sielewi na mnara wa voda ulikuwa umesimama wima. Palepale niliibetua gauni yake kwa juu na nikamuinamisha chini kwa shuleni tulikuwaga tunaita shika buti.
“Insider please don’t do…..”
Na muda huu nilikuwa nishapenyeza mti wangu ndani muda sana na ulikuwa ukipata joto asili, na baada ya kumwagalia bustani yake nilijikuta akili ishaanza kurudi kwa kasi. Tulijiweka sawa kwa haraka sana muda ule na wakati narudi upande wangu ili niingie kwa gari kuna dada alikuwa anakuja upande wetu, yeye alikuwa amepark gari baada ya sisi. Dada alihisi kuna jambo lilikuwa likiendelea lakini mimi hata sikujali wala nini maana simjui.
Baada ya kuingia kwenye gari Prisca hakuonesha kumind hata kidogo.
PRISCA: “Hivi Insider ulikuwa unajiamini nini pale?”
MIMI: “Nimekwambia niko horny lakini huelewi hunionei hata huruma, naona ulikuwa unataka hicho nilichofanya.”
PRISCA: “Umeshindwa kuvumilia?”
Na muda huu Prisca alifungua zip ya surual yangu na kuendelea kuchezea bakora yangu, sikutaka kuuliza tena kama mwanaume nilitambua anachotaka hivyo niliendesha gari mpaka Lodge.
Naam, ni mtanange uliondelea kwa saa 1 na mechi ilikuwa ni ya kasi balaa, maana timu zote zilihitaji ushindi na mechi ilimalizika kwa sare. Muda huu ilikuwa saa 3 tayari, hivyo nilimrudisha Prisca kwao na yeye alionekana kubadilika sana hata furaha yake ilirudi kwa kasi sana muda huu.
Baada ya kurudi home kama kawaida niliingia bafuni kuoga na baada ya kutoka nilikuta missed call za Iryn, Mzee Pama na Mama yangu Mzazi na kwa upande wa Whatsapp nilikuta Muajemi kanipigia pia.
Na muda huu niliwaza nianze na nani lakini nilianza na mama yangu. Tuliongea na mama mambo mengi sana hasa ya kifamilia na mama alinisisitiza sana kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
Baada ya hapo nilimpigia simu Iryn na yeye alisema kesho kuna kazi natakiwa kwenda kuonana na Agent Posta kwaajili ya kuchukua mizigo.
Mzee Pama sikutaka kumpigia simu maana ulikuwa usiku, niliona sio heshima na busara hivyo nitampigia simu asubuhi.
Nilimpigia simu Muajemi na akasema Ijumaa mapema atakuwa Dar hivyo tutaonana akirudi. Nilipanga kumpiga kizinga cha pesa Muajemi ila niliwaza bila kumshawishi Iryn kwenda Zanzibar itakuwa ngumu na niliwaza siwezi ingilia maamuzi yake kwenye hili jambo.
********
Asubuhi nikiwa Posta niliwasiliana na Mzee Pama akanambia jumatano mchepuko wake anarudi hivyo nianze kuandaa mazingira mapema ya Driving school. Na mimi nikamwambia nitakwenda kufanya usajili leoleo akanambia kama kuna lolote nimjulishe.
Mchana Prisca alinipigia simu na baada ya kupokea tuliongea mengi tu na aliniuliza nina agenda gani na Mary.
MIMI: “Mary anataka nimpeleke Mikumi mwezi huu.”
PRISCA: “Honey naomba huo mpango ughairi atafute mtu mwingine wa kumpeleka sawa?”
MIMI: “Nilimuahidi lakini ujue, sitaenda usiwe na wasiwasi.”
PRISCA: “Sawa honey byee, see you later.”
Jioni mida ya saa 10 niliwasiliana na Iryn na akanipa namba za Agent maana alisema ni agent mwingine sio yule wa sikuzote.
Nilimpigia simu agent ni dada aliyepokea simu nikajitambulisha kwake na akasema niende ofisi zao zipo palepale Posta. Baada ya kufika pale alinipokea na nikaomba documents za mizigo.
MIMI: “Mzigo uko wapi?”
DADA: “Kuna store yetu ipo Kurasini nafikiri twende kule, mzigo ni mwingi inabidi utafute gari kubwa.”
MIMI: “Gari kubwa fuso au Canter?”
DADA: “Canter inatosha sana kuna Dereva nina kuunganisha naye muelewane.”
MIMI: “Kama Canter haina haja nina mtu wangu hapahapa Posta, acha niwasiliane naye nione namtumiaga siku zote.”
Niliwasiliana na Dereva wangu akanambia yuko around na leo hajapata kazi kabisa hivyo yuko tayari kufanya kazi. Na muda huu nilimpigia simu Iryn ili kumwuliza Mzigo unakwenda wapi na akasema wote unakwenda Masaki hivyo nitawasiliana na Mama Janeth.
Tulitoka pale Posta ofisini nikiwa na dada na tulikwenda moja kwa moja mpaka Kurasini uzuri store yao haikuwa mbali, ilikuwa Kurasini mwanzoni kabisa.
Dereva nilikuwa nishamwelekeza tayari hivyo tulimkuta pale na kazi ya upakiaji iliendelea, na wakati box zikipakiwa nilikuwa makini sana kuhesabu na baada ya kumaliza, hesabu ilikuwa sahihi kabisa.
Na muda huu Iryn alikuwa kashanitumia namba za Mama Janeth na baada ya kumpigia simu na kujitambulisha alinambia niende kwake moja kwa moja.
Ndani ya dakika 45 nilikuwa nimewasili pale Masaki na mzigo na tuliingia ndani kwa mama Janeth. Mzigo ndo ulikuwa unahifadhiwa hapa na palepale ushushaji uliendelea, kwa nje kulikuwa na chumba kikubwa kama store ndo mzigo ulikuwa unawekwa humo.
Na muda huu mimi nilikuwa nikiongea na Mama Janeth.
“Where have you been?, ni muda sijakuona.”
“Mama nilikuwa mkoani kusalimia wazazi mara moja.”
“Karibu sana, Iryn kashanambia masuala yote ya logistic na mizigo yatakuwa chini yako.”
“Ndiyo mama. Ahsante.”
Mama Janeth alikuwa ni mzungu ila alikuwa anakijua Kiswahili vizuri kabisa. Na muda huu Iryn alinipigia simu akanambia niende na box moja pale kwake.
Baada ya kumaliza kushusha mizigo nilifanya malipo kwa Dereva na mimi nikaaga kwa Mama Janeth. Nilitoka pale na break ilikuwa Kijitonyama kwa Iryn, nilitoa lile box na nikaliweka pale nje kibarazani.
Niliingia ndani na Iryn alikuwa jikoni akipika muda huu,
MIMI: “Ukiwa Jikoni unakuwa sexy sana.”
Na muda huu alikuwa akiimba wimbo wa Drake- “Don’t matter to me” ambao pia ulikuwa ukikika seblen kwenye speaker. Ni moja ya nyimbo ambayo alikuwa anapenda sana kuusikiliza kwenye playlist yake.
IRYN: “Insider pole na kazi, upo sharp sana mara hii usharudi Posta na kushusha mizigo.”
MIMI: “Mimi si Mjeshi? au umesahau tayari.”
IRYN: “Nakumbuka”
MIMI: “Unanipikia nini? Maana naskia njaa balaa.”
IRYN: “Napika makaroni ya nyama, hivi Insider una wasiliana na Muajemi?”
MIMI: “Last time kuzungumza naye alinambia yuko Saudia, vipi kuna nini?”
IRYN: “Anataka twende Zanzibar, mimi na wewe.”
MIMI: “Ohh wewe unaonaje?”
IRYN: “Nakusikiliza wewe twende au laah.”
MIMI: “Mimi nakusikiliza wewe Bossy wangu ukisema tunakwenda mimi siwezi kupinga ukisema No pia siwezi kubisha.”
IRYN: “Ngoja niangalie timetable zangu zikoje wewe unapenda kwenda?”
MIMI: “Mimi napenda maana sijawahi fika kabisa ndo itakuwa mara yangu ya kwanza.”
IRYN: “Mimi pia nilikwenda muda sana, afu nataka kuna jambo nilifanye ni ratiba yangu kila mwaka.”
MIMI: “Ni jambo gani?”
IRYN: “Itabidi twende kituo chochote cha watoto yatima chenye uhitaji sana. Naomba ufanye research Insider nakupa hii task.”
MIMI: “Haina shida nitafanya research na nitakutajia vituo wewe uchague.”
Nilikaa pale kwa Iryn mpaka saa 2 usiku na tulionekana kumisiana sana maana tulikuwa tukipiga sana story.
Nilirudi home muda huo na niliweza kuongea na Aggy na akanambia nijitahidi nimalizie finishing ile nyumba na yeye atakuwa mteja wangu.
Na muda huu mama J aliingia chumbani na alikuwa akiniangalia wakati naongea na simu.
WIFE: “Baba J unaongea na nani?”
MIMI: “Naongea na best yangu wa Dodoma ananisaidia kuangalia nyumba kule.”
WIFE: “Itabidi twende wote Dodoma namimi nikapajue.”
MIMI: “Sawa haina shida tutaangalia mwisho wa mwezi huu.”
WIFE: “Dogo anaendeleaje na bajaji?”
MIMI: “Amenambia anaendelea vizuri na weekend hii atatuma hela atakuwa anaingiza kwenye account yako. Naomba hizo Pesa uzitumie vizuri zikusaidie matumizi yako binafsi, mshahara wa dada, mtoto na masuala ya chakula hapa nyumbani. Mimi kwasasa nipambane na madeni.”
WIFE: “Sawa mmeingia mkataba wa kiasi gani kwa siku?”
MIMI: “25 kwasiku tumekubaliana hivyo”
Na muda huu niliandaa report ya kazi ya leo na kumtumia Iryn.
Usiku huu pia Iryn alipiga simu na akanambia nijiandae ijumaa tunakwenda Zanzibar wote.
Kumekucha, IRYN kakubali kwenda Zanzibar unafikiri nini kiliendelea kule?,
EPISODE 31[emoji116]
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu