Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Muajemi mjanja sana
 
Mkuu INSIDER MAN nina ombi moja kwa niaba ya wadau wengi humu ndani. Ikifika siku ya kuandika episode uliyomla Iryn tunaomba utulize kichwa haswaa na uiandike kwa kina sana kama zile story za kwa rikiboy . Isitoshe episode nzima uongelee tukio hilo tu achana na akina mama mag,mama wawili,prisca, mary, mama j,mzee pamoja na request za uber,komaa na Iryn mwanzo mwisho ili tujue kama uzuri umeenda hadi ndani pia.
 
Tanzania yangu nakupenda twende nje kutafuta Hela ila tutarudi ,kicheko Cha sauti
 
Sikubaliani na wewe, lakini pia sikupingi!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Katika maombi yoooote wewe ombi lako ni legit....umefikiria mbali sana
 
Hahahahaha aisee rickboy amechafua sana hali ya hewa na story zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…