Kibayolojia, kukaa kwenye mazingira ya baridi kunasababisha mtu anakula mara kwa mara tena chakula kingi.Wazungu wanakula kama mchwa, huwezi amini migahawa inakesha hizi nchi 24/7,
Bolt ofisi yao ipo mikocheni mtaa wa maji maji nyumba namba 30Bolt siku hizo Awana ofisi...uber ofisi wanayo
Bolt na uber wa Bongo wanakuuliza upo wapi kisha unaelekea wapi wtf...
Mmeanza kuleta ujuaji kwenye story za watuThe first four episodes were narrated well with eye catching incidents, unfortunately episode #5 you included unnecessary incidents. In the coming episodes avoid narrating unnecessary stories
Hamna kaka. Kwenye uanaume ni kweli amezingua, ila kwenye 'uanaume' kwangu jamaa ni matured. Khuma kwenye sekta ya usafirishaji zimelostisha wengi sana. Na hii ndio subtle factor ya mafanikio kwenye sekta hii.Nimegundua huo mtalimbo wako ni doro!
Unaiachaje pisi kali!,ya kishua, kama prisca!
Then demu kajaa mwenyewe!? Una mushkeli wewe si bure, nimekuvua vyeo!....
Story imekosa ladha ile niliyokwisha ijenga kichwani kwangu na kumaliza kabla hujasimulia,....nikitarajia ufike pale nilipokwisha jenga picha yangu kichwani.
Umetuaibisha mashababi!
Unamlipa au eti Malizia Uzi[emoji57]acheni keroHaya mambo ya nitaendekea ndo yanakera uku malizia uzi mkuu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ushabab Demu humjui....ili kesho uanze kukonda Kwa stress.Nimegundua huo mtalimbo wako ni doro!
Unaiachaje pisi kali!,ya kishua, kama prisca!
Then demu kajaa mwenyewe!? Una mushkeli wewe si bure, nimekuvua vyeo!....
Story imekosa ladha ile niliyokwisha ijenga kichwani kwangu na kumaliza kabla hujasimulia,....nikitarajia ufike pale nilipokwisha jenga picha yangu kichwani.
Umetuaibisha mashababi!
Oya ujuaji wako toa hapa kwenye huu uzi, hizo unazosema unnecessary incidents ndio story yenyewe, we kama umeona ni unnecessary ni bora kukaa kimya na kutoendelea kusoma storyThe first four episodes were narrated well with eye catching incidents, unfortunately episode #5 you included unnecessary incidents. In the coming episodes avoid narrating unnecessary stories
Mwache atoe maoni yake. Ni haki yake kikatiba. Mbona unamfunga mdomo? Na wewe siyo mwenye uzi. Au unataka uwe chawa?Oya ujuaji wako toa hapa kwenye huu uzi, hizo unazosema unnecessary incidents ndio story yenyewe, we kama umeona ni unnecessary ni bora kukaa kimya na kutoendelea kusoma story
Simple tu kama kunywa maji bro.
Bolt wapo maji maji stret30 victoria walisha hamaNenda pale Victoria hawawez funga ofisi wakati bado App yao inafanya kazi
Sio kweli chuma yangu kwanza sijawai kufungua kioo zikapita dk3 kipo chini, mziki mnene ikeda ya kutosha....labda ukauzu. Hua sipendi stori kabisa na abiriaLabda utakua mchafu