Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Kibayolojia, kukaa kwenye mazingira ya baridi kunasababisha mtu anakula mara kwa mara tena chakula kingi.Wazungu wanakula kama mchwa, huwezi amini migahawa inakesha hizi nchi 24/7,
Hata hapa Tanzania, watu waishio njombe, makete, mufindi na kwingineko kwenye baridi kali wanakula zaidi kuliko wanaoishi Dar kwenye joto au pwani kwa ujumla.