Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kimeumana
Kimeng'atana
 

Salaleeeeh!

Kitumbua muda si mrefu kinaingia mchanga...
 


Nilijua Insider unazingua
kumbe bado sijakutana na Muajemi 🙌🙌🙌

Namlipia kidume Nauli na Hotel, sasa muda na bby atapata saa ngap,

Ona sasa anaogopa kulala, badala aende kwa Muajemi anaenda kwa driver uber.
 
Dadekiii Jini mkata kamba kaingia. Ishu ni moyo mzee Irene ashamfanya INSIDER MAN kuwa mume na Iryn aliumia kusikia jamaa ana mume lakini yote tisa ila kumi iryn kakubali kuwa mke wa pili, hakuna cha mfaransa wala muajemi.....mwamba wa iryn ni insider man 😁😅😅😅😅😅😅😅😅

Shusha vigongo.
 
Kuna watu wana uvumilivu sana jamn,mbuzi kaja kufia kwq muza supu sijui unatakaje kimasihara vile😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…