Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wateja zangu wa Uber kipindi hicho kila wakija Tanzania lazima wanitafute tu. Toka juzi niko na Tajir wangu kutoka US kwasasa tunaelekea Bagamoyo na kurudi baada ya hapo tunakwenda kula bata.

Tuishi na watu vizuri ndugu zangu. Kwa leo najua siwezi kosa 300k mfukoni[emoji23]
 
Huyu hapa Katia timu
 
Acha bangi tushushie nondo
 
Sawa na hongera sana mkuu. Sisi utatukumbuka saa ngapi maana tunaishi na wewe vizuri pia.
 
Tushushie hata kidogo alosto mkuu 😊
 
Tutumie basi dollar izo kwenye tigo pesa maana tumechoka kutumia ela za madafu[emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Muajemi kwann lakini?? Bro nakata rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…