Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Chai zimo nyingi tu humu tukipata mapumziko si mbaya.Mkuu na chai ipo kidogo haiwezekani mlango unaojifunga kwa kad akaweza kufungua akiwa nje bila kufungua wewe ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuandika vizuri kumbe unajua[emoji1787][emoji1787]Kabisa mkuu story tamu sana hii inatufunza mamboo mengi sana kimahusiano kiuchumi kijamii .. I like it!
Huyo Prisca,,,,,bado hajafikia kiwango cha irene
Aliyeandika hiyo episode sio yeyeMkuu na chai ipo kidogo haiwezekani mlango unaojifunga kwa kad akaweza kufungua akiwa nje bila kufungua wewe ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uhuni ndo mna anza utapeli kidogo kidogo hivo mpaka mnakomaaNdugu zangu hii weekend ilikuwa tough sana kwa upande wangu ila niliwapa Episode 4. Kesho nitawapa Episode 2 then ratiba itaendelea kama kawaida, mimi pia namajukumu ya kufanya. Junior anahitaji matunzo na Pesa so lazima nichacharike kama mzazi.
Kitendo cha kuwapa epsode kila weekend ili niwe na muda wa kutosha wa kuwapa story nzuri huku nikihakikisha siruki matukio.
Insider niko jikoni kuweni na subira,
Haya npo nasubiri nimeshaagiza castle lite nyingine mbiliNdugu zangu hii weekend ilikuwa tough sana kwa upande wangu ila niliwapa Episode 4. Kesho nitawapa Episode 2 then ratiba itaendelea kama kawaida, mimi pia namajukumu ya kufanya. Junior anahitaji matunzo na Pesa so lazima nichacharike kama mzazi.
Kitendo cha kuwapa epsode kila weekend ili niwe na muda wa kutosha wa kuwapa story nzuri huku nikihakikisha siruki matukio.
Insider niko jikoni kuweni na subira,
Ilibidi nimcheki wasapp akanipa yote
Ana story nzuri sana Patrick
Poa poa bfNilisoma story zake nyingi yule Patrick ni mtunzi mzuri sana…
Bff usisahau kesho ila me nahisi nitaanza siku nyingine kuna mambo yameingiliana
Bless up man🤲Ndugu zangu hii weekend ilikuwa tough sana kwa upande wangu ila niliwapa Episode 4. Kesho nitawapa Episode 2 then ratiba itaendelea kama kawaida, mimi pia namajukumu ya kufanya. Junior anahitaji matunzo na Pesa so lazima nichacharike kama mzazi.
Kitendo cha kuwapa epsode kila weekend ili niwe na muda wa kutosha wa kuwapa story nzuri huku nikihakikisha siruki matukio.
Insider niko jikoni kuweni na subira,
Watu kama nyie ni wa kuchinja kabisaaaHaya npo nasubiri nimeshaagiza castle lite nyingine mbili
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] imebidi tu nichekeSawa na hongera sana mkuu. Sisi utatukumbuka saa ngapi maana tunaishi na wewe vizuri pia.
Huyu ni Insider wa mchongo ameingilia mechi.Tumsubirie Insider OG atiririke.NImeisoma makini kumbe sio insider wana man dadeki mkuu umetisha saana umeenda na bit sawa sawia
Kwann chiefWatu kama nyie ni wa kuchinja kabisaaa