Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Uzuri wako mkuu unaweza ukatushtukiza nakujua wewe hukawii kutuacha na Episode 1 ya kulalia
 

NAbi wana man, umetisha sana, 🙌🙌

Pokea maflower
 
Nimesoma hii story na bado naendelea nayo. Asante sana mkuu INSIDER MAN kwa kushare basi na kuchukua muda wako. Hakika kitu kimeshiba unastahiri tuzo mkuu.

Kweli JF ni mchanganyiko wa mitu mingi,kila mtu na zake. Cha kushangaza mtu anai-dis story mara ya kutunga mara vile. Pamoja na hayo mwamba hakuchoka kuchukua muda wake kuendelea kuwaelimisha.

Ajabu jitu linaponda linaponda halafu bado nalo lipo ubaoni linaendelea kusoma kimya kimya. Mitu kadri muda unavyoendelea mbele kuweni wastaarabu. Kama kitu umekiona hakifai kwako jikate kimya kimya sio mpaka uonyesha upumbavu wako wa kuponda ili uonekane mjanja. Hata kama umezoea kutukanwa tukanwa,badirika nenda na wakati. Hukipendi kitu fulani jikate kimya kimya kama ulivyokuja. Ifanye dunia mahala Salama pa kuishi,sio pa chuki chuki zisizo na maana.
 
Afu huyu INSIDER mwanzoni alikuwa anasema Iryn alikuwa anamuita gentleman,,,,ila huo u gentle hatuoni hapa mana aliahidi mwenyewe atakuwa anatoa episodes ijumaa,jmos na jumapili ila jmos hakuna kitu na jpil pia,,,huo ndo u gentle gani sasa akati you can't keep your promises
 
Una nyege mshindo hii mada.iliisha muda mbona
 
Umeongea ukweli wote mkuu. Serious ndio mambo yako hivyo kwa sasa JF
 
Mkuu INSIDER MAN wiki iliyoisha umeenda kinyume na utaratibu/mkataba wetu maana haukufikisha episode 3 kama tulivyoahidiana kabla. Basi naomba utulipe fidia ya episode yetu ya wiki iliyopita pindi ukiwa na muda au wikend hii kwa kuandika episodes 4.
Pia nashauri kutokana na ufinyu wa muda,siku utakayokuwa unapata muda weka zote 3 halafu utuachie alosto ya siku 6 mbeleni au kama itakuwa inakupendeza utakuwa unatupatia na bonus.
Shukrani.
 
Aisee najiuliza hii simulizi sio ya muda mrefu ni mwaka huu tu hawa akina prisca, maggy,maw2 na wengineo hua hawaiingii jf wakashtuka hata kufungua code kujua ni wao jamaa anawasimulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…