Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Sema ilipoishia balaa (ingawa pia niko nyuma ya muda[emoji23])...najitahidi kukimbizana nayo..Hapo mfano Muajemi akiingia room, akimkuta Iryn! Itakuwa noma balaa...hapo sijui Insider atakuwa na neno gani kwa Muajemi!Eti
IRYN: “Insider naogopa kulala peke yangu nimekuja tulale wote.”
Ilibidi nishangae toka lini Iryn anaogopa kulala peke yake wakati anakaa peke yake pale kwake.
MIMI: “Leo ndo umeanza kuogopa kulala alone?”
IRYN: “Hamna nimejisikia tu kuja kwako au kama hutaki mimi nitaondoka.”
[emoji39][emoji39] kwa Hali hii dada Iryn kwa insider analika kiulanini kbs tumpe muda tu