SlimFit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2016
- 2,289
- 3,562
Ukisoma Kichwa cha uzi na hiki ulichokiandika hapa, mixer jamaa alivyojibu hapo juu, nakubaliana na wewe kwa 99.99%.Tuishi humu,
Iryn alikufa au alikuwa jini.
Ukisoma Kichwa cha uzi na hiki ulichokiandika hapa, mixer jamaa alivyojibu hapo juu, nakubaliana na wewe kwa 99.99%.Tuishi humu,
Iryn alikufa au alikuwa jini.
Mm nimekuelewa sana mkuu ikiwezekana njoo week end kbsa as usual , junior Ni muhimu kutuzwa kuliko kitu chochote [emoji41]
Nakubaliana na wew mkuu👍lryn yupo na Grizmen shemeji yenu toeni Shaka, simu kazima kutoa usumbufu
Mkuu Insider bado hujafahamu mrembo Iryn amepatwa na nini?Huja ni PM bado
Nilipokuwa katika harakati za kutafuta mwenza, Mama aliwahi niambia "huko mjini nenda taratibu mshaija, hii dunia ina mambo mengi si mchezo, sio kila king'aacho ni dhahabu."Majini huwa yanatoweka kiaina kama yalikupenda na hupendeki, kuna jamaa angu alishawah ingia ktk mhusiano n binti mmoja mzuri tena walikutana kitambaa cheupe binti anacrown yupo na mwenzie wakali kinomaa,
Jmaa alipelekwa adi wanapokaa unajuwa walevi na wavuta bangi wanavyojiamini jamaa alifika adi kwa ao mabinti
Binti mmoja ndo alimwelewa jamaa jamaa anavyosimulia demu ni mkali kinoma kweli mwisho wa siku demu akanda kwa mwana akamtunukia tunda vizuri ila alikatzwa sana kumwaga ndani , mwana anasimulia pisi ilikuwa inanukia vizuri ila ya baridi kinoma sasa usiku wamelala mlango jamaa kafunga kwa ndani
Mshkaji anakwaida ya kubatua ganja ndo avute apate usingizi ile kulala anaamka anajikuta mwenyewe na mlango upo vile vile closed kwa ndani
Cha kushangaza demu hayupo il aliacha mkufu flani wa gold tafuta kwa simu demu hapatikani kuanzia siku iyo adi leo akaenda pale alipopelekwa kuuliza watu hawajui na hawajawahi ona wasichana kama hao apo ktk iyo nyumba
Muda ukapita miez akaja kutana nae barabarani ktk ile gari ila alimkuta yule mwenzie tu jamaa ni dereva bajaji na anakesha alichoambiwa ulimkera dada angu na unabahati tangia apo ajawahi waona tena
Hii mbinu ya kivita mkuu ni kibokoMimi nlijiteka siku 4 nimejifungia kwenye apartment ni lishangazi toka mombasa...siku ya 5 nikampanga police namjua awashe simu yng na kumpigia wife aje central[emoji3][emoji3]wife kaja na huzuni anaambiwa mlimtishia mtu nitamuua kwahiyo afanye jitihada alete laki 2 nipewa dhamana
Wife chap katoa ndio nkaachiwa,kumbe kituoni nimeenda asubuhi hiyo ile laki 2 mimi nilimpa police laki nkarudi hom wife ananipa pole nyingi
Iryn alishamwambia insider kule Zanzibar kabla hawajarudi Dar kwamba "anataka abadilishe muundo wa maisha" [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nyaipu imeenda iyo
Kwa uchuu huu nipate jini mkali na anaela mi naunga humo😄😄😄😄Duh iryn ni jini[emoji2304]bora insider hukumla [emoji28][emoji2094]
Sahihi kabisaMnaosema Iryn ni jini mnaa maana gani ikiwa historia yake tunaijua kwa uchache, kama mama yake alikuwa mkuu wa Organization "X", Baba yake yake yupo South, pia mama Janet anamsimamia kwenye baadhi ya mambo.
EBU FIKIRIENI HILO