Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mimi niko upande wa Muajemi, msaidie ampate mrembo...
Kama jamaa amekusaidia, wewe unashindwaje kulipa fadhila?
Kikubwa ujiridhishe na uaminifu wake.

Kwaiyo apa ngoma ndo mpaka Ijumaa au?
 
Kuna wimbi kubwa sana la wanawake wenye fursa za kipesa. Kama wewe ni mtafutaji hakikisha unacheza miguu yote .

Real recognize real ...Lucy alisha kuambia na kuku onya kuwa ukizembea utakosa vyote.

Wewe na Lucy..Lucy ndio alikua wa kwanza kufahamiana na irene hivyo basi Lucy anamjua vyema irene.

Irene anakuvutia upepo tu na anakupenda kweli ....ila ndugu yetu insider ni mbinafsi sana kwa mwamvuli wa utafutaji. Huyu irene alikujali hata nje ya mkataba wa kazi lakini wewe kumpa dudu tu ambayo hupungukiwi kitu uliona kazi.

Kifupi hadi hapa irene akikutafutia mwanaume mwingine ndio awe boss wako ndio akili itakukaa na huyo jamaa awe anakutuma kama mtoto ndio mzani utabalance
 
Hahahaha......Dudu Au sio
 
Nadhani hii simulizi haihusiani na matukio yaliopo bali yaliopita ... hapa hata tushauri vipi kama INSIDER MAN hakumla mrembo Iryn aandike hivyo hivyo bila kubadili ukweli kwa kuogopa kusemwa
 
Back
Top Bottom