Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,836
Nimependa hiiNjoo PM mkuu.
Nimependa hiiNjoo PM mkuu.
Bado una-supply mkuu tufanye biashara?Alfu insiders nilikuomba dili la kusupply vifaaa vya ujenzi kwenye site yako huku makulu hujanijibua mkp leo hi si dharau kbsa mkuu
Jaribu kum-search kwa jina lake. Siku nyingine sana 2014 kurudi nyumaHuyu lala1 nazipataje nyuzi zake nipitie
Simpati kwa jina lakeJaribu kum-search kwa jina lake. Siku nyingine sana 2014 kurudi nyuma
Sema hawa wataalamu wa huu mfumo kuna vitu walifanya wakapoteza baadhi ya data. Sijui itakuaje sasa.Simpati kwa jina lake
Andika @Lara1 sio lala1[emoji2][emoji2]Simpati kwa jina lake
Simpati kwa jina lake
Shukran mkuu![]()
Weekend Story! All is Fair in Love and War!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Msione niko kimya mkajua ma story hakuna, yapooo teleee! Mambo ni hiviiiiii! Napata ma story nawakumbukaje wapendaa ubuyuuuu. Napata mastory matamu matamuuu! Sababu tarehe 26 sio mbali wala nini, haina ubaya nikiandika one more story maana ndio ya sio inaweza kuwa...www.jamiiforums.com
Ndio rfk karibuBado una-supply mkuu tufanye biashara?
![]()
Weekend Story! All is Fair in Love and War!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Msione niko kimya mkajua ma story hakuna, yapooo teleee! Mambo ni hiviiiiii! Napata ma story nawakumbukaje wapendaa ubuyuuuu. Napata mastory matamu matamuuu! Sababu tarehe 26 sio mbali wala nini, haina ubaya nikiandika one more story maana ndio ya sio inaweza kuwa...www.jamiiforums.com
Kuna moja ya moto sana mwambie awatafutie inaitwa truth sijui nn.....Nimejarbu kusoma haipandi kbsa...tutag nyingine mkuu
Mdau alikuwa ameulizia id ya Lara1, nilitegemea baada ya hapo atakuwa anaweza kuangalia nyuzi zote zilizoanzishwa na id hiyo.Nimejarbu kusoma haipandi kbsa...tutag nyingine mkuu
Ee mkuu nitazipitia nyuzi zote huyo naona labda afahamu kuangalia nyuzi za hiyo IdMdau alikuwa ameulizia id ya Lara1, nilitegemea baada ya hapo atakuwa anaweza kuangalia nyuzi zote zilizoanzishwa na id hiyo.
Humu ni uwanjan mwa INSIDER na IRYN.
Hahaha binadamu bhanaEe mkuu nitazipitia nyuzi zote huyo naona labda afahamu kuangalia nyuzi za hiyo Id
Ngja niichek kwenye nyuz zakeKuna moja ya moto sana mwambie awatafutie inaitwa truth sijui nn.....
Sasa kama unajua haikutegemewa uombe tena tag kwa uzi mwingneHahaha binadamu bhana