Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iryn ukoo wapi mumy yaani insider anahangaika ukuu......stori ni kali uwiiiih Kula chuma hiko 🔥🔥🔥💯
 
Maskini Lyn, sijui kapatwa na nini, ila insider ulifanya kauzembe fulani, jumatatu ulivyomkosa tu ungeanza kumsaka tena simu ya kwanza ungempigia yule mama wa Masaki sasa siku 3 zimepita ndio unashtuka[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Iryn yupo somewhere anamchora mista Insider anapima upepo kma mwamba anamzingatia au lah!
 
Mimi nlijiteka siku 4 nimejifungia kwenye apartment ni lishangazi toka mombasa...siku ya 5 nikampanga police namjua awashe simu yng na kumpigia wife aje central[emoji3][emoji3]wife kaja na huzuni anaambiwa mlimtishia mtu nitamuua kwahiyo afanye jitihada alete laki 2 nipewa dhamana
Wife chap katoa ndio nkaachiwa,kumbe kituoni nimeenda asubuhi hiyo ile laki 2 mimi nilimpa police laki nkarudi hom wife ananipa pole nyingi
 
Majini huwa yanatoweka kiaina kama yalikupenda na hupendeki, kuna jamaa angu alishawah ingia ktk mhusiano n binti mmoja mzuri tena walikutana kitambaa cheupe binti anacrown yupo na mwenzie wakali kinomaa,
Jmaa alipelekwa adi wanapokaa unajuwa walevi na wavuta bangi wanavyojiamini jamaa alifika adi kwa ao mabinti

Binti mmoja ndo alimwelewa jamaa jamaa anavyosimulia demu ni mkali kinoma kweli mwisho wa siku demu akanda kwa mwana akamtunukia tunda vizuri ila alikatzwa sana kumwaga ndani , mwana anasimulia pisi ilikuwa inanukia vizuri ila ya baridi kinoma sasa usiku wamelala mlango jamaa kafunga kwa ndani

Mshkaji anakwaida ya kubatua ganja ndo avute apate usingizi ile kulala anaamka anajikuta mwenyewe na mlango upo vile vile closed kwa ndani

Cha kushangaza demu hayupo il aliacha mkufu flani wa gold tafuta kwa simu demu hapatikani kuanzia siku iyo adi leo akaenda pale alipopelekwa kuuliza watu hawajui na hawajawahi ona wasichana kama hao apo ktk iyo nyumba

Muda ukapita miez akaja kutana nae barabarani ktk ile gari ila alimkuta yule mwenzie tu jamaa ni dereva bajaji na anakesha alichoambiwa ulimkera dada angu na unabahati tangia apo ajawahi waona tena
 
Nilipokuwa katika harakati za kutafuta mwenza, Mama aliwahi niambia "huko mjini nenda taratibu mshaija, hii dunia ina mambo mengi si mchezo, sio kila king'aacho ni dhahabu."
 
Hii mbinu ya kivita mkuu ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…